Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kagame afunguka kuhusu Katiba

Rais wa Rwanda Paul Kagame amewataka raia wa nchi hiyo kuendelea kuwa na ujasiri na kujiamini wakati wa kufanya maamuzi yanayohusiana na hatima ya taifa lao akisisitiza kuwa wao ndiyo wenye dhamana ya kufanya hivyo na wala siyo watu wengine

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mwanamuziki kamanda ras makunja afunguka kuhusu mabadiliko ya katiba na pia uraia pacha

Mwanamuziki Ebrahim Makunja aka Kamanda Ras Makunja mtunzi,mwimbaji kiongozi wa bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma africa band aka FFU Ughaibuni yenye makao yake nchini Ujerumani, amefunguka na machache yafuatayo kuhusu mabadiliko ya katiba mpya ya Tanzania na haki za raia wa Tanzania:
Akizungumza kutoka katika makao yake mjini Oldenburg,Ujerumani.Kamanda Ras Makunja wa kikosi kazi FFU-Ughaibuni alisemaKuwa: MCHAKATO WA KATIBA MPYA UMEWAFANYA WATANZANIAWENGI KUSOMA KATIBA YA...

 

10 years ago

Vijimambo

MAAZIMIO YA KAMATI KUU YA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO KUHUSU MCHAKATO WA KATIBA NA KURA YA MAONI KUHUSU KATIBA INAYOPENDEKEZWA

Dar es Salaam, Oktoba 16, 2014
UTANGULIZI
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imekutana katika kikao chake cha kawaida na kujadili, pamoja na mambo mengine, mchakato wa Katiba Mpya. Kamati Kuu imepata taarifa ya kina juu ya mchakato ulivyoendeshwa katika hatua mbali mbali wakati wa kutungwa kwa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba na marekebisho yake na, baadaye, Sheria ya Kura ya Maoni.
Aidha, Kamati Kuu imepata taarifa ya mchakato ulivyokuwa katika hatua ya kuundwa kwa Tume...

 

9 years ago

Bongo Movies

JB Afunguka ya Moyoni Kuhusu Richie

Richie na JB

Richie na JB

JB ameandika haya kwenye ukurasa wake mtandaoni mara baada ya kuweka picha hiyo hapo juu akiwa na Richie.
“Wakati tunaelekea kutimiza miaka 15 ya Jerusalem films company nitakuwa nawashukuru watu ambao kwa kiasi kikubwa wamegusa maisha na kutoa mchango kwa Jerusalem, wa kwanza ni huyu Richie.
Wewe ni ndugu yangu umenifanyia mengi sana, kwa kifupi kama kuna kitu unataka kutoka kwangu nikakukatalia kabisa akisema huyu naweza kubadlisha mawazo.
Chochote kizuri unachokipenda kwenye...

 

11 years ago

Mwananchi

Waziri afunguka kuhusu kisima

Naibu Waziri Tamisemi, Agrey Mwanri amesema kisima kimoja kati ya viwili vilivyojengwa kwa gharama ya Sh393milioni katika kijiji cha Kanondo Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa kimebomoka kutokana na tetemeko la ardhi.

 

10 years ago

Habarileo

Dk Masaburi afunguka kuhusu urais

MEYA wa Jiji la Dar es Salaam, Dk Didas Masaburi amesema kuwa atampigia debe mgombea urais atakayeonesha nia ya kuendeleza Serikali za Mitaa.

 

10 years ago

GPL

Kim Poulsen... afunguka kuhusu Simba

Kocha Kim Poulsen. Na Saleh Ally
KOCHA Kim Poulsen amefunguka kwa mara ya kwanza na kuweka wazi kuwa amefanya mazungumzo na Simba.Poulsen raia wa Denmark, amefanya mahojiano maalum na Championi Jumatano, jana mchana na kusema anaangalia kati ya ofa mbili, moja ya Simba na pili kwao Denmark na bado hajafikia uamuzi sahihi. Awali, gazeti hili liliandika kuhusiana na ujio wa Poulsen aliyewahi kuinoa Taifa Stars, anayekuja...

 

11 years ago

GPL

Kipa Simba afunguka kuhusu ushoga

Kipa wa zamani wa Simba, Andrew Ntalla. Na Sweetbert Lukonge
WIKI iliyopita, kipa wa zamani wa Kagera Sugar na Simba, Andrew Ntalla alielezea mikasa aliyokutana nayo kwenye Klabu ya Simba, nyakati ngumu na ahadi hewa kutoka kwa viongozi waklabu hiyo likiwemo suala la kukosa mahali pa kuishi wakati aliahidiwa kupewa nyumba ya kuishi.
Endelea… NILIPOTOKA kwenye ile gesti ya Manzese ambayo walikuwa wamenipangia kisha...

 

10 years ago

GPL

MB DOG AFUNGUKA KUHUSU NANCY SUMARI!

AMERUDI TIP TOP?
Nakukubali sana MB Dog, je, ni kweli umerudi kwenye kundi lako ulilolihama la Tip Top? Juma Kauga, Mwanza, 0655160467
MB DOG: Ni kweli niko nao kwa ajili ya kusimamia kazi zangu maana ndiyo niliyoanza nao. Msanii wa kitambo katika fani ya Bongo Fleva, MB Dog akipozi. CHANGAMOTO
MB Dog katika maisha yako ya nyumbani hupendi vitu gani ukifanyiwa na watu wasiokutakia mambo mema katika mafanikio yako...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani