MB DOG AFUNGUKA KUHUSU NANCY SUMARI!
![](http://api.ning.com:80/files/QgF49CmXFSbLLp7Dg2oOzJGZhadbDLVliv7eh0N4JPFPnsiyxI7QQT5lKuiWRdcPe8dfhL6p0jZX-*ghLbsbSFnJ35X7VWEp/mddog.jpg)
AMERUDI TIP TOP? Nakukubali sana MB Dog, je, ni kweli umerudi kwenye kundi lako ulilolihama la Tip Top? Juma Kauga, Mwanza, 0655160467 MB DOG: Ni kweli niko nao kwa ajili ya kusimamia kazi zangu maana ndiyo niliyoanza nao. Msanii wa kitambo katika fani ya Bongo Fleva, MB Dog akipozi. CHANGAMOTO MB Dog katika maisha yako ya nyumbani hupendi vitu gani ukifanyiwa na watu wasiokutakia mambo mema katika mafanikio yako...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo Movies30 Dec
JB Afunguka ya Moyoni Kuhusu Richie
![Richie na JB](http://www.bongomovies.com/wp-content/uploads/2015/12/JB22.jpg)
Richie na JB
JB ameandika haya kwenye ukurasa wake mtandaoni mara baada ya kuweka picha hiyo hapo juu akiwa na Richie.
“Wakati tunaelekea kutimiza miaka 15 ya Jerusalem films company nitakuwa nawashukuru watu ambao kwa kiasi kikubwa wamegusa maisha na kutoa mchango kwa Jerusalem, wa kwanza ni huyu Richie.
Wewe ni ndugu yangu umenifanyia mengi sana, kwa kifupi kama kuna kitu unataka kutoka kwangu nikakukatalia kabisa akisema huyu naweza kubadlisha mawazo.
Chochote kizuri unachokipenda kwenye...
9 years ago
Mwananchi22 Dec
Kagame afunguka kuhusu Katiba
10 years ago
Habarileo14 Dec
Dk Masaburi afunguka kuhusu urais
MEYA wa Jiji la Dar es Salaam, Dk Didas Masaburi amesema kuwa atampigia debe mgombea urais atakayeonesha nia ya kuendeleza Serikali za Mitaa.
11 years ago
Mwananchi27 May
Waziri afunguka kuhusu kisima
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rkFK1BYzsGhElR6a555u53xYD7LS9Zb*mZ34cyu64XjwjZTGJAbds7CmDjt9894U9qPjOCCtEPCa3GrKssnfnes*oWPZ5g9r/kim.jpg?width=650)
Kim Poulsen... afunguka kuhusu Simba
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LWw0InctTwm1fj0xdPSt6Z28lyz3GI5H2BXU1SoN5fOIpS4uivUYB6LalC-9zMUd7mcmzdFsbEcxvL0PFJzCq3zK1bhs*JEP/KIPA.jpg?width=650)
Kipa Simba afunguka kuhusu ushoga
10 years ago
GPL26 Feb