Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jaji Ramadhani afunguka uteuzi wa urais CCM

Jaji mstaafu Augustine Ramadhani amesema anaheshimu matokeo ya uteuzi wa mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa kuwa malezi aliyopitia ndivyo yanavyomwelekeza.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Jaji Ramadhani awavuruga wagombea urais CCM

Dar es Salaam. Hatua ya Jaji Mkuu wa zamani wa Tanzania, Augustino Ramadhani kujitosa kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kuwania urais imewavuruga wagombea wenzake wa urais na kuibua mjadala mzito katika maeneo mbalimbali nchini.

 

10 years ago

Vijimambo

Jaji Mkuu mstaafu Augustino Ramadhani ajitosa kuwania urais kwa tiketi ya CCM

Hatimaye aliyekuwa Jaji mkuu wa Tanzania,Jaji Augustino Ramadhan amechukua rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya wana CCM ili apitishwe kuwania nafasi ya urais hapo mwezi wa kumi.

 

10 years ago

Habarileo

Jaji Ramadhani achomoza urais

Jaji Mkuu mstaafu, Agustino Ramadhani akionesha mkoba wenye fomu ya kuomba ridhaa ya chama chake kimteue kugombea nafasi ya Urais baada ya kukabidhiwa kwenye Makao Makuu ya CCM, mjini Dodoma jana. Kulia ni mkewe, Saada Ramadhani. (Picha na Fadhili Akida).JAJI Mkuu mstaafu wa Tanzania, Agustino Ramadhani (70) ambaye kwa sasa ni Rais wa Mahakama ya Afrika, amepandisha joto la urais ndani ya CCM, baada ya jana kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama hicho kupeperusha bendera ya CCM katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.

 

10 years ago

Mwananchi

UCHAGUZI CCM 2015: Agustino Ramadhani Jaji Mkuu mstaafu

>Jaji Augustino Ramadhani alizaliwa Desemba 28, 1945 mjini Unguja, Zanzibar akiwa mtoto wa pili kati ya wanane waliozaliwa kwa wazazi wake. Baba yake ni Mathew Douglas Ramadhani, raia wa Zanzibar aliyefariki dunia mwaka 1962.

 

9 years ago

Mwananchi

Membe afunguka kuanguka urais CCM

Waziri wa Mambo ya Nje ya Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe amezungumzia kinyang’anyiro cha urais ndani ya CCM, akifananisha kushindwa kwake na kifo cha ghafla.

 

10 years ago

Mwananchi

Uteuzi wa mgombea Urais,CCM inapita njia nyembamba

Ndugu wasomaji wangu leo, siku ambayo CCM inatarajiwa kumteua na kumtangaza mgombea wake wa urais, nimeona niendelee kuandika kuhusu chaguo lao litakuwaje bila kuathiriwa na mgogoro wa vizazi, Edward Ngoyai Lowassa, makundi na mitandao, ubara na uzanzibari na mwisho kabisa ukanda.

 

10 years ago

Michuzi

PINDA ACHUKUWA FOMU YA KUWANIA UTEUZI WA CCM KUGOMBEA URAIS

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza baada ya kuchukuwa   fomu ya kuwania uteuzi wa CCM  ili awe mgombea wake wa urais katika uchaguzi mkuu ujao  kwenye ofisi kuu ya CCM mjini Dodoma. Kulia ni mkewe mama Tunu PindaSehemu ya wageni wakimsikiliza Mhe Pinda  wakati alipozungumza na waandishi wa habari baada ya kuchukuwa fomu ya kuwania uteuzi wa CCM  ili awe mgombea wake wa urais katika uchaguzi mkuu ujao  kwenye ofisi kuu ya CCM mjini Dodoma Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani