Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jaji Ramadhani achomoza urais

Jaji Mkuu mstaafu, Agustino Ramadhani akionesha mkoba wenye fomu ya kuomba ridhaa ya chama chake kimteue kugombea nafasi ya Urais baada ya kukabidhiwa kwenye Makao Makuu ya CCM, mjini Dodoma jana. Kulia ni mkewe, Saada Ramadhani. (Picha na Fadhili Akida).JAJI Mkuu mstaafu wa Tanzania, Agustino Ramadhani (70) ambaye kwa sasa ni Rais wa Mahakama ya Afrika, amepandisha joto la urais ndani ya CCM, baada ya jana kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama hicho kupeperusha bendera ya CCM katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Jaji Ramadhani afunguka uteuzi wa urais CCM

Jaji mstaafu Augustine Ramadhani amesema anaheshimu matokeo ya uteuzi wa mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa kuwa malezi aliyopitia ndivyo yanavyomwelekeza.

 

10 years ago

Mwananchi

Jaji Ramadhani awavuruga wagombea urais CCM

Dar es Salaam. Hatua ya Jaji Mkuu wa zamani wa Tanzania, Augustino Ramadhani kujitosa kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kuwania urais imewavuruga wagombea wenzake wa urais na kuibua mjadala mzito katika maeneo mbalimbali nchini.

 

10 years ago

Vijimambo

Jaji Mkuu mstaafu Augustino Ramadhani ajitosa kuwania urais kwa tiketi ya CCM

Hatimaye aliyekuwa Jaji mkuu wa Tanzania,Jaji Augustino Ramadhan amechukua rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya wana CCM ili apitishwe kuwania nafasi ya urais hapo mwezi wa kumi.

 

10 years ago

Mtanzania

Lowassa achomoza tena urais

Edward Lowassa

Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa

Na Veronica Romwald, Dar es Salaam
WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa (CCM) kwa mara nyingine amechomoza na kushika nafasi ya kwanza kwa kupata kura 752 sawa na asilimia 22.8 ya kura 3,298 katika nafasi ya kiongozi anayefaa kuwa rais wa Tanzania.
Lowassa amepata kura hizo katika ripoti ya utafiti uliopewa jina la Vigezo na Matarajio ya Wananchi katika Kufanya Maamuzi ya Kuchagua Viongozi Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2015.
Utafiti huo...

 

10 years ago

Raia Mwema

Kwa nini haikuwa Jaji Ramadhani?

KUNA swali linahitaji kujibiwa na ninaamini linastahili kujibiwa.

Lula wa Ndali Mwananzela

 

10 years ago

Tanzania Daima

MC Mkongwe ampongeza Jaji Augustino Ramadhani

MSHEREHESHAJI maarufu nchini, MC Mackie G. Mdachi ‘MC Mkongwe’ amempongeza Mwanafani mwenzao Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino Ramadhani kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu. Akizungumza...

 

10 years ago

Raia Mwema

Siku Jaji Ramadhani alipomkatalia Rais

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) ni merikebu inayoelea shelabela katika bahari iliyochafuka.

Ahmed Rajab

 

11 years ago

Mwananchi

Jaji Ramadhani awa mchungaji Anglikana

>Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino Ramadhani ametawazwa kuwa Mchungaji wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Zanzibar na kusema ameshangazwa na mashambulizi ya tindikali dhidi ya viongozi wa dini Visiwani humo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani