Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jaji Ramadhani awa mchungaji Anglikana

>Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino Ramadhani ametawazwa kuwa Mchungaji wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Zanzibar na kusema ameshangazwa na mashambulizi ya tindikali dhidi ya viongozi wa dini Visiwani humo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Chilongani awa askofu Anglikana

KANISA la Anglikana Dayosisi ya Central Tanganyika (Dodoma), limemchagua Mchungaji Dk. Dickson Chilongani kuwa Askofu wa sita wa Dayosisi hiyo katika mkutano Maalum. Dk .Chilongani amechaguliwa kufuatia kifo cha aliyekuwa...

 

11 years ago

Habarileo

Mchungaji Anglikana mbaroni tuhuma za mauaji

MCHUNGAJI mstaafu wa Kanisa la Anglikana, Usharika wa Mfarasi kata ya Madilu wilayani Ludewa, mkoani Njombe, Petro Chambachamba (87) anashikiliwa Polisi akihusishwa kwenye kesi ya mauaji. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Njombe, Fulgence Ngonyani, amesema jana kuwa Chambachamba pamoja na watu wengine wanane, wamekamatwa wakihusishwa na mauaji yaliyotokea Februari 25, mwaka huu saa 8 mchana katika kijiji cha Mfarasi.

 

11 years ago

Habarileo

Jaji Lila awa Jaji Kiongozi

RAIS Jakaya Kikwete amemteua Jaji Shabani Lila (53) kuwa Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu kuanzia leo. Jaji Lila anajaza nafasi iliyoachwa wazi na Jaji Fakih Jundu, ambaye anastaafu kwa mujibu wa sheria.

 

10 years ago

GPL

AUNT FIFI AWA MCHUNGAJI

Na Mwandishi Wetu
BAADA ya kuona filamu zinazidi kuwa za kihuni, msanii wa siku nyingi kwenye tasnia ya filamu Bongo, Tumaini Alfred ‘Aunt Fifi’ ameamua kugeukia upako na hadi sasa ameshawaombea watu mbalimbali wenye ukimwi, viziwi na kupona kabisa. Aliyekuwa msanii wa Filamu Bongo, Tumaini Alfred ‘Aunt Fifi’. Akizungumza na Amani, Aunt Fifi alisema amekuwa akipita nyumba hadi nyumba kwa ajili ya...

 

10 years ago

Habarileo

Jaji Ramadhani achomoza urais

Jaji Mkuu mstaafu, Agustino Ramadhani akionesha mkoba wenye fomu ya kuomba ridhaa ya chama chake kimteue kugombea nafasi ya Urais baada ya kukabidhiwa kwenye Makao Makuu ya CCM, mjini Dodoma jana. Kulia ni mkewe, Saada Ramadhani. (Picha na Fadhili Akida).JAJI Mkuu mstaafu wa Tanzania, Agustino Ramadhani (70) ambaye kwa sasa ni Rais wa Mahakama ya Afrika, amepandisha joto la urais ndani ya CCM, baada ya jana kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama hicho kupeperusha bendera ya CCM katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.

 

10 years ago

Raia Mwema

Siku Jaji Ramadhani alipomkatalia Rais

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) ni merikebu inayoelea shelabela katika bahari iliyochafuka.

Ahmed Rajab

 

10 years ago

Tanzania Daima

MC Mkongwe ampongeza Jaji Augustino Ramadhani

MSHEREHESHAJI maarufu nchini, MC Mackie G. Mdachi ‘MC Mkongwe’ amempongeza Mwanafani mwenzao Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino Ramadhani kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu. Akizungumza...

 

10 years ago

Raia Mwema

Kwa nini haikuwa Jaji Ramadhani?

KUNA swali linahitaji kujibiwa na ninaamini linastahili kujibiwa.

Lula wa Ndali Mwananzela

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani