Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jaji Lila awa Jaji Kiongozi

RAIS Jakaya Kikwete amemteua Jaji Shabani Lila (53) kuwa Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu kuanzia leo. Jaji Lila anajaza nafasi iliyoachwa wazi na Jaji Fakih Jundu, ambaye anastaafu kwa mujibu wa sheria.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

JAJI KIONGOZI AONGOZA WAOMBOLEZAJI MAZISHI YA JAJI MSTAAFU MUSHI

 Jaji Kiongozi   wa Mahakama Kuu ya Tanzani, Mhe. Dkt. Eliezer Feleshi (wa kwanza kushoto) akiwaongoza   baadhi ya Majaji wa Mahakama ya Tanzania kuubeba mwili wa marehemu , Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Nathaniel Melkizedek Mushi, kwa ajili ya mazishi, alifariki dunia Machi 11, mwaka huu nyumbani kwake Mailisita Moshi Mjini, ambapo pia mazishi yake yalifanyika katika eneo hilo, mwanzoni mwa wiki hii mkoani Kilimanjaro. Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzani, Mhe....

 

11 years ago

Mtanzania

Jaji Lila awataka waandishi kuzingatia maadili

Jaji Shaaban Lila

Jaji Shaaban Lila

Veronica Romwald na Grace Shitundu, Dar es Salaam

VYOMBO vya habari nchini vimetakiwa kuzingatia maadili, weledi na miiko ya uandishi wa habari ili kuepusha migogoro inayoweza kuhatarisha amani ya nchi.

Agizo hilo limetolewa Dar es Salaam mwishoni mwa wiki na Jaji Shaaban Lila, wakati akizindua Bodi mpya ya Baraza la Habari Tanzania (MCT).

Alisema vyombo vya habari vinapaswa kutotumika na vyama vya siasa kwa kuandika habari zenye mrengo mmoja na kuepuka habari za...

 

11 years ago

Mwananchi

Jaji Ramadhani awa mchungaji Anglikana

>Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino Ramadhani ametawazwa kuwa Mchungaji wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Zanzibar na kusema ameshangazwa na mashambulizi ya tindikali dhidi ya viongozi wa dini Visiwani humo.

 

10 years ago

Michuzi

magic fm yaongea na jaji kiongozi

 JAJI KIONGOZI WA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA MHE. SHABAAN A. LILA WA KWANZA KULIA NA MTENDAJI MKUU WA MAHAKAMA BW. HUSSEIN A. KATTANGA WAKIWA NDANI YA STUDIO ZA MAGIC FM JIJINI DAR ES SALAAM KWENYE KIPINDI ASB KINACHOENDESHWA NA WATANGAZAJI OREST KAWAU, MARY EDWARD NA KIBWANA DACHI.

 WATANGAZAJI WA KIPINDI CHA MORNING MAGIC , MARY EDWARD NA OREST KAWAU WAKIWA NDANI YA MAGIC FM WAKATI WA MAHOJIANO NA JAJI KIONGOZI WA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA MHE. JAJI SHABAAN A. LILA NA MTENDAJI MKUU WA MAHAKAMA...

 

10 years ago

Michuzi

JAJI AUGUSTINO RAMADHAN AWA RAISI WA MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA BINADAMU

Na Mahmoud Ahmad,Arusha
Mahakama ya Afrika ya haki za binadamu imemteua Jaji mkuu mstaafu wa Tanzania Agustino Ramadhan kuwa rais wa mahakama hiyo kwa kipindi cha miaka miwili uteuzi huounaanza mara moja baada ya aliyekuwa rais wa mahakama hiyo Sophia Akuffo wa Ghana kumaliza muda wake.
Jaji Ramadhani Mtanzania wa kwanza kushikilia kiti hicho tangia kuanzishwa kwa mahakama hiyo baada ya kupata kura 7 kwa kura nne dhidi ya mpinzania wake katika nafasi hiyo ya rais wa mahakama hiyo huku nafasi...

 

11 years ago

Michuzi

MHE. JAJI KIONGOZI ZIARANI MKOANI GEITA

 Mhe. Fakih Jundu, Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania (kushoto) Akitia sahihi katika kitabu cha wageni alipotembelea Mahakama ya Wilaya GEITA mapema Leo, kulia Mhe. Jaji Mwangesi, Kaimu Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza.  Baadhi ya Watumishi wakimsikiliza Mhe. Jaji Kiongozi mapema Leo Hakimu Mkazi Mfawidhi Mahakama ya Wilaya GEITA, Mhe. Kamugisha akisoma risala katika Mkutano wa Mhe. Jaji Kiongozi na Watumishi mapema Leo. (Picha na Mary Gwera, Mahakama ya...

 

5 years ago

Michuzi

JAJI KIONGOZI AZUNGUMZA NA UJUMBE WA BENKI YA DUNIA



 Jaji   Kiongozi   wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Dkt. Eliezer Feleshi ( wa kwanza kulia) akizungumza leo na ujumbe wa Benki ya Dunia (WB)  kuhusu mafanikio yaliyopatikana katika ripoti ya utafiti juu ya usikilizaji na umalizaji  wa mashauri ya jinai kwa wakati. Wa pili kulia ni Msajili wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Sharmillah Sirwatt na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani