Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JAJI KIONGOZI AONGOZA WAOMBOLEZAJI MAZISHI YA JAJI MSTAAFU MUSHI

 Jaji Kiongozi   wa Mahakama Kuu ya Tanzani, Mhe. Dkt. Eliezer Feleshi (wa kwanza kushoto) akiwaongoza   baadhi ya Majaji wa Mahakama ya Tanzania kuubeba mwili wa marehemu , Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Nathaniel Melkizedek Mushi, kwa ajili ya mazishi, alifariki dunia Machi 11, mwaka huu nyumbani kwake Mailisita Moshi Mjini, ambapo pia mazishi yake yalifanyika katika eneo hilo, mwanzoni mwa wiki hii mkoani Kilimanjaro. Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzani, Mhe....

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Mama Salma Kikwete aongoza mazishi ya Jaji Mstaafu Lewis Makame, Tanga

IMG_8851

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimfariji Mama Mary Mbaga Makame, mjane wa Marehemu Jaji Lewis Mhina Makame mara baada ya kuwasili kijijini Tongwe, wilayani Muheza  kwa ajili ya mazishi tarehe 23.8.2014.

IMG_8853

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimfariji Mama Mary Mbaga Makame, mjane wa Marehemu Jaji Lewis Mhina Makame mara baada ya kuwasili kijijini Tongwe, wilayani Muheza  kwa ajili ya mazishi tarehe 23.8.2014.

IMG_8869

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiaga mwili wa Marehemu Jaji Lewis Makame kijijini...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS MSTAAFU BENJAMIN MKAPA AONGOZA WAOMBOLEZAJI KATIKA MAZISHI YA MEJA JENERALI HERMAN LUPOGO

 Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa na mkewe wakiweka shada la maua katika kaburi la Meja Jenerali mstaafu, Herman Lupogo wakati wa mazishi yake katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. Meja Lupogo alifariki Oktoba 19 katika hospitali ya Jeshi ya Lugalo. 
 Mke wa marehemu akiweka shada la maua. Familia ikiweka shada la maua. Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange akiweka shada la maua. Mashada ya maua yakiwekwa. Heshima kwa marehemu Meja Jenerali Herman Lupogo.
PICHA...

 

10 years ago

Michuzi

MH. PINDA AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA JAJI MAKAME

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimian na Mawaziri Wakuu, Wastaafu, Frederick Sumaye na Jaji Joseph Warioba (wapili kulia) kabla ya kuzungumza kwa niaba ya serikali na kutoa heshima za mwisho kwa Mwenyekiti Mstaafu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, marehemu Jaji Lewis Makame kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam August 22, 2014. Kulia nI jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na jaji Mkuu Mohamed Chande Othman (kulia) na Mawaziri...

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda aongoza waombolezaji kutoa heshima za mwisho kwa Jaji Makame

PG4A2667

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimian na Mawaziri Wakuu, Wastaafu, Frederick Sumaye na Jaji Joseph Warioba (wapili kulia)  kabla ya kuzungumza kwa niaba ya serikali na  kutoa heshima za mwisho kwa Mwenyekiti Mstaafu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi,  marehemu Jaji Lewis Makame kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam August 22, 2014. Kulia ni jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed  Chande Othman. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A2677

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akisalimiana na jaji Mkuu Mohamed...

 

10 years ago

GPL

MAMA SALMA KIKWETE AONGOZA SHUGHULI YA MAZISHI YA JAJI LEWIS MAKAME

Mama Salma Kikwete akimsindikiza Mjane wa Marehemu Jaji Lewis Makame, Mama Mary Makame kuweka udongo kwenye kaburi la mumewe. Mama Salma Kikwete akitoa salamu ya pole kwa wafiwa mara baada ya shughuli ya utiaji udongo kaburini kukamilika.…

 

11 years ago

Habarileo

Jaji Lila awa Jaji Kiongozi

RAIS Jakaya Kikwete amemteua Jaji Shabani Lila (53) kuwa Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu kuanzia leo. Jaji Lila anajaza nafasi iliyoachwa wazi na Jaji Fakih Jundu, ambaye anastaafu kwa mujibu wa sheria.

 

10 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE AONGOZA SHUGHULI YA MAZISHI YA JAJI LEWIS MAKAME KIJIJINI KWAKE HUKO TONGWE - MUHEZA

 Mama Salma Kikwete akimsindikiza Mjane wa Marehemu Jaji Lewis Makame, Mama Mary Makame kuweka udongo kwenye kaburi. Mama Salma Kikwete akiwa na  Mjane wa Marehemu Jaji Lewis Makame, Mama Mary Makame  Mama Salma Kikwete akitoa salamu ya pole kwa wafiwa mara baada ya shughuli ya utiaji udongo kaburini kukamilika. Mjane wa Marehemu Jaji Lewis Makame, Mama Mary akiweka shada la maua kwenye kaburi la mume wake Marehemu Jaji Lewis Makame wakati nwa ibada ya mazishi iliyofanyika huko Tongwe katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani