Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


magic fm yaongea na jaji kiongozi

 JAJI KIONGOZI WA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA MHE. SHABAAN A. LILA WA KWANZA KULIA NA MTENDAJI MKUU WA MAHAKAMA BW. HUSSEIN A. KATTANGA WAKIWA NDANI YA STUDIO ZA MAGIC FM JIJINI DAR ES SALAAM KWENYE KIPINDI ASB KINACHOENDESHWA NA WATANGAZAJI OREST KAWAU, MARY EDWARD NA KIBWANA DACHI.

 WATANGAZAJI WA KIPINDI CHA MORNING MAGIC , MARY EDWARD NA OREST KAWAU WAKIWA NDANI YA MAGIC FM WAKATI WA MAHOJIANO NA JAJI KIONGOZI WA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA MHE. JAJI SHABAAN A. LILA NA MTENDAJI MKUU WA MAHAKAMA...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

JAJI KIONGOZI AONGOZA WAOMBOLEZAJI MAZISHI YA JAJI MSTAAFU MUSHI

 Jaji Kiongozi   wa Mahakama Kuu ya Tanzani, Mhe. Dkt. Eliezer Feleshi (wa kwanza kushoto) akiwaongoza   baadhi ya Majaji wa Mahakama ya Tanzania kuubeba mwili wa marehemu , Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Nathaniel Melkizedek Mushi, kwa ajili ya mazishi, alifariki dunia Machi 11, mwaka huu nyumbani kwake Mailisita Moshi Mjini, ambapo pia mazishi yake yalifanyika katika eneo hilo, mwanzoni mwa wiki hii mkoani Kilimanjaro. Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzani, Mhe....

 

11 years ago

Habarileo

Jaji Lila awa Jaji Kiongozi

RAIS Jakaya Kikwete amemteua Jaji Shabani Lila (53) kuwa Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu kuanzia leo. Jaji Lila anajaza nafasi iliyoachwa wazi na Jaji Fakih Jundu, ambaye anastaafu kwa mujibu wa sheria.

 

11 years ago

Michuzi

MHE. JAJI KIONGOZI ZIARANI MKOANI GEITA

 Mhe. Fakih Jundu, Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania (kushoto) Akitia sahihi katika kitabu cha wageni alipotembelea Mahakama ya Wilaya GEITA mapema Leo, kulia Mhe. Jaji Mwangesi, Kaimu Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza.  Baadhi ya Watumishi wakimsikiliza Mhe. Jaji Kiongozi mapema Leo Hakimu Mkazi Mfawidhi Mahakama ya Wilaya GEITA, Mhe. Kamugisha akisoma risala katika Mkutano wa Mhe. Jaji Kiongozi na Watumishi mapema Leo. (Picha na Mary Gwera, Mahakama ya...

 

5 years ago

Michuzi

JAJI KIONGOZI AZUNGUMZA NA UJUMBE WA BENKI YA DUNIA



 Jaji   Kiongozi   wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Dkt. Eliezer Feleshi ( wa kwanza kulia) akizungumza leo na ujumbe wa Benki ya Dunia (WB)  kuhusu mafanikio yaliyopatikana katika ripoti ya utafiti juu ya usikilizaji na umalizaji  wa mashauri ya jinai kwa wakati. Wa pili kulia ni Msajili wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Sharmillah Sirwatt na...

 

5 years ago

CCM Blog

JAJI KIONGOZI ATAKA KESI ZA JINAI KUSIKILIZWA MFULULIZO


Na Magreth Kinabo- MahakamaJaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Eliezer Feleshi amewataka Mahakimu kusikiliza kesi za jinai kwa mfululizo ili kuweza kupunguza msongamano wa mahabusu, na kuepukana na maambukizi ya Virusi Corona.
Jaji Kiongozi alitoa agizo hilo leo mara baada ya kutembelea mahakama mbalimbali za Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kwa ajili ya ukaguzi maalum. “Anzeni kusikiliza kesi za jinia mfululizo, itasaidia tusiwe na msongamano wa mahabusu, na wale wanaostahili...

 

10 years ago

Mtanzania

Jalada kesi ya Zitto laitwa kwa Jaji Kiongozi

kabweNa Mwandishi Wetu, Dar es Salam
SAKATA la kufukuzwa uanachama kwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema), limechukua sura mpya baada ya Jaji Kiongozi, Shabani Lila kuitisha jalada la kesi yake hali inayoonyesha kupitiwa upya kwa kesi hiyo.
Wiki hii Mahakama Kuu ilitupilia mbali ombi la Zitto la kutaka Kamati Kuu ya Chadema kutomjadili na hatimaye kumfukuza uanachama wake baada ya makada wenzake, Samson Mwigamba aliyekuwa Mwenyekiti wa Mkoa wa Arusha na Profesa Kitila Mkumbo...

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete amuapisha Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete akimuapisha Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Shaban Ally Lila leo jijini Dar es Salaam. Jaji Kiongozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jaji Shaban Ally Lila (kulia) akitia saini hati ya Kiapo mbele ya Rais Jakaya Kikwete wakati wa hafla ya kuapishwa kwake  leo jijini Dar es Salaam. Katikati mwenye miwani Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akishuhudia tukio hilo. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

 

5 years ago

Michuzi

MATUKIO KATIKA PICHA ZIARA YA JAJI KIONGOZI MAHAKAMA-PWANI

 Jaji Kiongozi Dkt. Feleshi (wa pili kushoto) akisalimiana na watumishi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi, Pwani. Mhe. Jaji. Dkt. Feleshi amewataka Mahakimu na Watumishi wa Mahakama kwa ujumla kuongeza kasi ya usikilizaji wa mashauri ikiwa ni moja ya mbinu ya kukabiliana na ugonjwa hatari wa 'corona' unaoikabili dunia. Jaji Kiongozi  Dkt. Feleshi  akizungumza na mmoja wa Wazee wa Baraza (Wa kwanza kushoto) wa Mahakama ya Mwanzo Mailimoja.Jaji Kiongozi  Dkt. Feleshi  akijadiliana jambo  wakati wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani