Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MATUKIO KATIKA PICHA ZIARA YA JAJI KIONGOZI MAHAKAMA-PWANI

 Jaji Kiongozi Dkt. Feleshi (wa pili kushoto) akisalimiana na watumishi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi, Pwani. Mhe. Jaji. Dkt. Feleshi amewataka Mahakimu na Watumishi wa Mahakama kwa ujumla kuongeza kasi ya usikilizaji wa mashauri ikiwa ni moja ya mbinu ya kukabiliana na ugonjwa hatari wa 'corona' unaoikabili dunia. Jaji Kiongozi  Dkt. Feleshi  akizungumza na mmoja wa Wazee wa Baraza (Wa kwanza kushoto) wa Mahakama ya Mwanzo Mailimoja.Jaji Kiongozi  Dkt. Feleshi  akijadiliana jambo  wakati wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Jaji Mfawidhi Mhe. SS Kihiyo afanya ziara mkoa wa pwani kukagua mahakama na magereza

 Jaji Mfawidhi  Mhe. SS Kihiyo (mwenye suti ya kijivu)  na ujumbe wake wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kukagua Magereza ya Mkuza, Kibaha, akiwa  katika ziara yake mkoa wa pwani .Jaji mfawidhi Mhe. SS Kihiyo na ujumbe wake wakiwa mbele ya jengo la Mahakama ya Mwanzo Kibaha Maili Moja ambako ametoa agizo kuwa shughuli za mahakama zitahamia mahakama yenye nafasi  kwani jengo hilo halifai kwa matumizi.Jaji Mfawidhi  Mhe. SS Kihiyo akiongea na watumishi katika ziara yake Mkoa wa...

 

11 years ago

Michuzi

Jaji Mfawidhi kanda ya Dar es Salaam ahitimisha ziara ya ukaguzi wa mahakama mkoa wa pwani

Jaji Mfawidhi kanda ya Dar es Salaam Mhe. SS Kihiyo akihitimisha ziara yake ya ukaguzi wa mahakama Mkoa wa Pwani. Pichani anakutana na Mhe. Ridhiwani  Mbunge wa Chalinze (wa kwanza kulia) Mhe. Shah Mbunge ea Mafia (hayupo pichani) na viongozi wengine  wakijadili changamoto mbalimbali na maboresho ya mahakama mkoa wa Pwani.Wengine ni Me. William Mutaki,msajili wa Kanda ya Dar es salaam,  na mahakimu katika kiwanja cha ndege cha Mafia muda mfupi kabla ya kuanza safari ya kurejea Dar es salaam

 

10 years ago

Dewji Blog

Matukio mbalimbali katika picha ziara ya Rais Kikwete nchini Uholanzi

h (1)

Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Watanzania waishio Uholanzi waliojitokeza kumlaki wakati akiwasili jijini The Hague, Uholanzi, leo Jumatatu Juni 8, 2015.

h (2)

h (3)

h (4)

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo na muhtasari wa ziara yake toka kwa Balozi wa Tanzania nchini Uholani Mhe Wilson  Masilingi baada ya kuwasili The Hague leo Jumatatu Juni 8, 2015.

h (5)

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa kampuni ya mafuta ya Shell Bw. Ben van Beurden jijini the Hague,...

 

5 years ago

Michuzi

MATUKIO KATIKA PICHA ZIARA YA MKUU WA MKOA WA ARUSHA ,MRISHO GAMBO WILAYANI NGORONGORO


Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo akizungumza baada ya kuweka jiwe la msingi kwenye Kiteule cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) 39 KJ -Kiteule cha Loliondo,kulia ni Mkuu wa Brigedi ya 303,Brigedia Omary Majani.
Kamishna wa uhifadhi wa Tanapa,Dk Allan Kijazi akipanda mti wa kumbukumbu baada ya hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi katika Kiteule cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) Loliondo
Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo(kushoto) akimsikiliza Kapteni Fadhil Mbulu ambaye ni...

 

5 years ago

Michuzi

MATUKIO KATIKA PICHA ZIARA YA WAZIRI MHAGAMA AKIKAGUA MAENDELEO YA UJENZI KIWANDA CHA BIDHAA ZA NGOZI KARANGA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akiwa ameongozana na wasimamizi wa mradi wa ujenzi wa Kiwanda cha bidhaa za Ngozi cha Karanga kwa lengo la kukagua maendeleo ya mradi huo.Meneja wa Kiwanda cha Bidhaa za Ngozi cha Karanga Bw. Masoud Omari (wa pili kulia) akifafanua jambo kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu...

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete amuapisha Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete akimuapisha Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Shaban Ally Lila leo jijini Dar es Salaam. Jaji Kiongozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jaji Shaban Ally Lila (kulia) akitia saini hati ya Kiapo mbele ya Rais Jakaya Kikwete wakati wa hafla ya kuapishwa kwake  leo jijini Dar es Salaam. Katikati mwenye miwani Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akishuhudia tukio hilo. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

 

10 years ago

Dewji Blog

Jaji Kiongozi atoa somo kwa watumishi wa mahakama, vyama vya waajiri na waajiriwa

Mahakama - 1

Jaji Kiongozi wa Mahakama ya Tanzania Mhe. Shaaban Lila akifungua mkutano maalum wa watendaji wa Mahakama Kuu Divisheni ya Kazi, Chama cha waajiri Tanzania (ATE) na Wafanyakazi (TUCTA) leo jijini Dar es salaam. Mkutano huo unalenga kuangalia na kutafuta majibu ya changamoto mbalimbali zinazohusu maslahi ya wafanyakazi na mashauri yanayopelekwa mahakama Kuu Divisheni ya Kazi nchini.

Mahakama - 5

Jaji Kiongozi wa Mahakama ya Tanzania Mhe. Shaaban Lila akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufungua...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani