Jaji Mfawidhi kanda ya Dar es Salaam ahitimisha ziara ya ukaguzi wa mahakama mkoa wa pwani

Michuzi
Jaji Mfawidhi kanda ya Dar es Salaam Mhe. SS Kihiyo akihitimisha ziara yake ya ukaguzi wa mahakama Mkoa wa Pwani. Pichani anakutana na Mhe. Ridhiwani Mbunge wa Chalinze (wa kwanza kulia) Mhe. Shah Mbunge ea Mafia (hayupo pichani) na viongozi wengine wakijadili changamoto mbalimbali na maboresho ya mahakama mkoa wa Pwani.Wengine ni Me. William Mutaki,msajili wa Kanda ya Dar es salaam, na mahakimu katika kiwanja cha ndege cha Mafia muda mfupi kabla ya kuanza safari ya kurejea Dar es salaam
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
Jaji Mfawidhi Mhe. SS Kihiyo afanya ziara mkoa wa pwani kukagua mahakama na magereza



10 years ago
VijimamboKATIBU MKUU WA CHADEMA DR WILBROAD SLAA APEWA UCHIFU WA MKOA WA DAR ES SALAAM NA WAZEE WA KANDA YA PWANI
Wazee wa Kimila Ali Mahita Mwinyikambi (kulia) na Athumani Rajab Uloleulole kwa niaba ya Wazee wa Pwani wakimtazama Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Willibroad Slaa baada ya kumvisha nguo za kimila na kumkabidhi silaha za jadi ikiwa ni ishara ya kumtawaza kuwa Chifu wa Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani na kumpatia jina la Chifu Mwinyikambi
5 years ago
Michuzi
MATUKIO KATIKA PICHA ZIARA YA JAJI KIONGOZI MAHAKAMA-PWANI



10 years ago
Michuzi
JK aapisha jaji mmoja wa mahakama ya rufani na 13 wa mahakama kuu Ikulu jijini Dar es salaam

10 years ago
Michuzi
KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AHITIMISHA ZIARA YAKE MKOA WA KAGERA,LEO KUVAMIA MKOA WA GEITA

Katibu Mkuuu wa CCM Abdulrahman Kinana amehitimisha ziara yake hiyo ya kukagua...
10 years ago
Michuzi
TANGAZO KWA UMMA, MAWAKILI NA WADAU WOTE WA MAHAKAMA KUU, KANDA YA DAR ES SALAAM

TUNAPENDA KUTOA TAARIFA RASMI KUWA KUANZIA TAREHE 1 JULAI, 2015 SHUGHULI ZA USIKILIZAJI WA MASHAURI KWA NJIA YA USULUHISHI (ALTERNATIVE DISPUTE RESOLUTION – ADR) ZIMEHAMIA KWENYE JENGO LA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC HOUSE), GHOROFA YA TATU MTAA WA SAMORA JIJINI DAR ES SALAAM. JENGO HILO KWA SASA LINATUMIWA PIA NA MAHAKAMA KUU, DIVISHENI YA ARDHI.
KWA MAELEZO NA UFAFANUZI PIGA SIMU NA. 022 2111131 AU 022 2110927 AU 0754 454600 NA BARUA PEPE...
10 years ago
Vijimambo
MAHAKAMA KUU KANDA YA DAR ES SALAAM IMETUPILIA MBALI KESI YA IPTL DHIDI YA DAVID KAFULILA

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali kesi namba 301 iliyofunguliwa na Kampuni ya kufua Umeme ya IPTL, PAP pamoja na Mkurugenzi wa Kampuni ya PAP Bw Harbinder Singh Sethi dhidi ya Mbunge wa Kigoma Kusini Mhe David Kafulila kwa madai kuwa Kafulila alichafua jina kampuni hizo na muhusika huyo kwamba walichota zaidi ya 300bn kwenye akaunt ya Tegeta escrow kinyume cha sheria na taratibu.
Katika shauri hilo, Kampuni ya IPTL,PAP na Herbinder Singh Sethi walitaka Mahakama...
10 years ago
GPL
MHE. JAJI MKUU AHITIMISHA ZIARA YAKE MKOANI TABORA