Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MHE. JAJI MKUU AHITIMISHA ZIARA YAKE MKOANI TABORA

Mhe. Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Tanzania akisaini kitabu cha wageni mara alipowasili Mahakama ya Wilaya ya Sikonge mkoani Tabora, katika Mahakama hiyo Mje. Jaji Mkuu alipata fursa ya kuongea na Watumishi ambapo aliwasisitiza kufanya kazi kwa weledi kwa kuzingatia misingi na taratibu za Kimahakama ili kutimiza wajibu wa utoaji haki sawa kwa wananchi. Kulia ni Mhe. Amir Mruma, Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu, Kanda ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KINANA AMALIZA ZIARA YAKE MKOANI TABORA,ALA CHAKULA CHA MAMALISHE KUWAUNGA MKONO,AHITIMISHA ZIARA YAKE KWA MKUTANO MKUBWA WA HADHARA/

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Uwanja wa Stendi Kuu ya Zamani mjini Tabora, baada ya kumaliza ziara yake ya siku 11 katika mkoa huo, ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua, kuhimiza na kusukuma miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata  Ilani ya CCM, kukagua maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa pamoja na kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi Wakazi wa Mji wa Tabora Mjini  wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwenye...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AHITIMISHA ZIARA YAKE MKOANI KAGERA

Waziri Mkuu, Miengo Pinda akitazama ngoma ya Kihaya kabla ya kuondoka kwenye uwanja wa ndege wa Bukoba Oktoba 5, 2014 ambako alikuwa mgeni rasmi kwenye sherehe za siku ya walimu duniani zilizofanyika kitaifa kwenye uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba Oktoba 5, 2014. Wengine kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Mbunge wa Luangwa, Kassim Majaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Kanali Mstaafu, Fabiana Massawe. Waziri Mkuu, Mizengo...

 

10 years ago

Michuzi

JAJI MKUU AENDELEA NA ZIARA YA KIKAZI MKOANI TABORA

Mhe. Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Tanzania (kulia), akijadili jambo na Mhe. Ludovick Mwananzila, Mkuu wa Mkoa wa Tabora alipotembelea Ofisi ya Mkoa wa Tabora alipokuwa katika ziara yake ya kikazi ya kutembelea Mahakama mkoani humo. Mhe. Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Tanzania (kulia), Mhe. Ludovick Mwananzila, Mkuu wa Mkoa wa Tabora (katikati), Mhe. Jaji Amir Mruma, Jaji Mfawidhi, Mahakama Kuu, Kanda ya Tabora (kushoto), wakitoa nje ya jengo la Ofisi ya Mkuu wa Tabora, mara baada...

 

10 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuu Pinda ahitimisha ziara yake mkoani Kagera

PG4A3928

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama ngoma ya Kihaya kabla ya kuondoka kwenye uwanja  wa ndege wa Bukoba Oktoba 5, 2014 ambako alikuwa mgeni rasmi kwenye sherehe za siku ya walimu duniani zilizofanyika kitaifa kwenye uwanja wa Kaitaba  mjini Bukoba Oktoba 5, 2014.  Wengine kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi  na mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama, Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Mbunge wa Luangwa, Kassim Majaliwa...

 

10 years ago

Michuzi

JAJI MKUU AWASILI MKOANI TABORA KATIKA ZIARA YA KIKAZI

Mhe. Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Tanzania, akisalimiana na Naibu Msajili wa Mahakama Kuu, Kanda ya Tabora, Mhe. Simba alipowasili MKOANI Tabora leo kwa ajili ya ziara ya kutembelea Mahakama mkoani humo. Mhe. Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Tanzania, akisalimiana na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Tabora, Bi. Suzan Kaganda alipowasili mapema Leo mkoani Tabora kwa ajili ya ziara. Baadhi ya Watumishi wa Mahakama mkoani Tabora wakisubiri kumpokea Mhe. Jaji Mkuu . Mhe. Mohamed Chande...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA NA UJUMBE WAKE AHITIMISHA ZIARA YAKE YA MIKOA MITATU MKOANI KILIMANJARO.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi wa Moshi mjini kwenye mkutano wa hadhara Bomambuzi viwanja vya shule ya msingi Mandela na kuwaambia kuwa wamekuwa na ushabiki kwa miaka 20 imefika wakati sasa kuamua kuchagua maendeleo kwa manufaa ya maisha yao.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana akiwa ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wamekamilisha ziara yao ya mikoa mitatu ikiwemo Dodoma,Arusha na Kilimanjaro,Ziara hiyo ililenga Kuimarisha,kutekeleza na...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AHITIMISHA ZIARA YAKE KWA KISHINDO MKOANI ARUSHA,AVUNA WANACHAMA WAPYA ZAIDI YA 4000

Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Monduli,Amani Ole Torongei,akizungumza jambo mbele ya umati wa watu waliofika katika mkutano wa hadhara uliofanyika jioni ya leo huku akionesha fulana ya CHADEMA akieleza kuwa amechoka kuwa mtumwa.Amani alitangaza kukihama chama chake na kutangaza rasmi kuhamia chama cha CCM,ambapo pia alikabidhi kadi yake ya awali kwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana na kukabidhiwa kadi mpya ya chama hicho cha CCM.Aliyekuwa Mwenyekiti wa wilaya ya Ngorongoro kupitia...

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AWASILI WILAYANI NZEGA KUENDELEA NA ZIARA YAKE YA SIKU KUMI MKOANI TABORA

Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akipokelewa na Mbunge wa jimbo la Nzega,Mh.Hamis Kingwangala mapema leo asubuhi katika kijiji cha Ziba,mpakani mwa Igunga na Nzega, wakati Ndugu Kinana na Ujumbe wake akiwa ameambatana na Katibu wa NEC,Itikadi, Siasa na Uenezi CCM Taifa,Nape Nnauye mara baada ya kuwasili wilayani humo kuendelea na ziara yake ya siku 10 mkoani Tabora.Kinana amewasilia wilayani Nzega akitokea wilayani Igunga mkoani Tabora.   Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani