Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MHE. JAJI KIONGOZI ZIARANI MKOANI GEITA

 Mhe. Fakih Jundu, Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania (kushoto) Akitia sahihi katika kitabu cha wageni alipotembelea Mahakama ya Wilaya GEITA mapema Leo, kulia Mhe. Jaji Mwangesi, Kaimu Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza.  Baadhi ya Watumishi wakimsikiliza Mhe. Jaji Kiongozi mapema Leo Hakimu Mkazi Mfawidhi Mahakama ya Wilaya GEITA, Mhe. Kamugisha akisoma risala katika Mkutano wa Mhe. Jaji Kiongozi na Watumishi mapema Leo. (Picha na Mary Gwera, Mahakama ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Othman ziarani mkoa wa morogoro

 Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Othman akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe. Joel Bendera alipofika ofisini kwake yeye pamoja na msafara ulioambatana nae katika ziara ya kutembelea baadhi ya Mahakama zilizopo katika Mkoa huo.


 Mhe. Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Tanzania akisalimiana na Watumishi na pamoja na baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Magole Wilaya ya Kilosa alipofika kutembelea katika Mahakama ya Mwanzo Magole iliyokumbwa na mafuriko hivi karibuni, aliye...

 

9 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS MHE SAMIA AWASILI MKOANI GEITA KUANZA ZIARA LEO

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Mkuu wa Mkoa Geita Mhe. Fatma Mwassa alipowasili Uwanja wa Ndege wa GGM Geita leo Januari 04,2016 kwa ajili ya kuanza ziara ya siku mbili  ya kukagua  na kuzindua miradi ya maendeleo Mkoani humo. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na akina mama wa UWT Geita alipowasili Uwanja wa ndege wa GGM Geita Leo Januari 04, 2016 kwa ajili ya kuanza ziara ya...

 

9 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU AZINDUA MIRADI YA MAENDELEO MKOANI GEITA

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza jambo na Mganga Mfawidhi wa Hospitali teule ya Mkoa wa Geita, Dkt. Adam Sijaona, wakati alipofanya ziara kwenye wadi ya wagonjwa wa upasuaji ya wanaume, katika Hospitali hiyo iliyojengwa kwa ufadhili wa Kampuni ya Geita Gold Mining (GGM). PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI, GEITA.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasalimia baadhi ya wananchi wa Mji wa Geita...

 

10 years ago

GPL

MHE. JAJI MKUU AHITIMISHA ZIARA YAKE MKOANI TABORA

Mhe. Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Tanzania akisaini kitabu cha wageni mara alipowasili Mahakama ya Wilaya ya Sikonge mkoani Tabora, katika Mahakama hiyo Mje. Jaji Mkuu alipata fursa ya kuongea na Watumishi ambapo aliwasisitiza kufanya kazi kwa weledi kwa kuzingatia misingi na taratibu za Kimahakama ili kutimiza wajibu wa utoaji haki sawa kwa wananchi. Kulia ni Mhe. Amir Mruma, Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu, Kanda ya...

 

5 years ago

Michuzi

JAJI KIONGOZI AONGOZA WAOMBOLEZAJI MAZISHI YA JAJI MSTAAFU MUSHI

 Jaji Kiongozi   wa Mahakama Kuu ya Tanzani, Mhe. Dkt. Eliezer Feleshi (wa kwanza kushoto) akiwaongoza   baadhi ya Majaji wa Mahakama ya Tanzania kuubeba mwili wa marehemu , Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Nathaniel Melkizedek Mushi, kwa ajili ya mazishi, alifariki dunia Machi 11, mwaka huu nyumbani kwake Mailisita Moshi Mjini, ambapo pia mazishi yake yalifanyika katika eneo hilo, mwanzoni mwa wiki hii mkoani Kilimanjaro. Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzani, Mhe....

 

5 years ago

Michuzi

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AMUAPISHA DKT. MWIGULU LAMECK NCHEMBA KUWA WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA. CHATO MKOANI GEITA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mbunge wa Iramba Magharibi) kuwa Waziri wa Katiba na Sheria. Hafla iliyofanyika Wilayani Chato Mkoani Geita , Mei 03, 2020.Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mbunge wa Iramba Magharibi) akila kiapo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Waziri wa Katiba na Sheria. Hafla iliyofanyika Wilayani Chato Mkoani Geita , ,...

 

11 years ago

Habarileo

Jaji Lila awa Jaji Kiongozi

RAIS Jakaya Kikwete amemteua Jaji Shabani Lila (53) kuwa Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu kuanzia leo. Jaji Lila anajaza nafasi iliyoachwa wazi na Jaji Fakih Jundu, ambaye anastaafu kwa mujibu wa sheria.

 

5 years ago

Michuzi

KANALI MSTAAFU NDUGU NGEMELA LUBINGA AFANYA ZIARA WILAYA YA CHATO NA MBOGWE GEITA MKOANI GEITA.




Mlezi wa Mkoa wa Geita Ndugu. Ngemela Lubinga ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM (Siasa na Uhusiano wa Kimataifa) amefanya ziara wilayani Chato na Mbogwe Mkoani Geita. 
Wilayani Chato Ndugu Lubinga amekagua na kujionea upanuzi wa Hospital ya Wilaya ya Chato pamoja na maendeleo ya mradi wa ujenzi wa majengo matano ambao umekamilika kwa asilimia 97%. 
Aidha amekagua pia maendeleo ya ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Mlimani ambao umejengwa kwa nguvu ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani