Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAKAMU WA RAIS MHE SAMIA AWASILI MKOANI GEITA KUANZA ZIARA LEO

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Mkuu wa Mkoa Geita Mhe. Fatma Mwassa alipowasili Uwanja wa Ndege wa GGM Geita leo Januari 04,2016 kwa ajili ya kuanza ziara ya siku mbili  ya kukagua  na kuzindua miradi ya maendeleo Mkoani humo. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na akina mama wa UWT Geita alipowasili Uwanja wa ndege wa GGM Geita Leo Januari 04, 2016 kwa ajili ya kuanza ziara ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU AZINDUA MIRADI YA MAENDELEO MKOANI GEITA

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza jambo na Mganga Mfawidhi wa Hospitali teule ya Mkoa wa Geita, Dkt. Adam Sijaona, wakati alipofanya ziara kwenye wadi ya wagonjwa wa upasuaji ya wanaume, katika Hospitali hiyo iliyojengwa kwa ufadhili wa Kampuni ya Geita Gold Mining (GGM). PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI, GEITA.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasalimia baadhi ya wananchi wa Mji wa Geita...

 

9 years ago

Michuzi

Makamu wa Rais Mh. Samia Suluhu Azindua Miradi ya Maendeleo Mkoani Geita leo

MAKAMU wa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu, leo Januari 5, 2016 amezindua miradi ya maendeleo katika mkoa wa Geita iliyofadhiliwa na mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGM) kwa ushirikiano na serikali ya Tanzania.
Mradi mkubwa wa maji wenye thamani ya Tshs 12Billion uliojengwa kwa ushirikiano kati ya Mgodi na serikali ambao utapunguza tatizo la maji safi na salama kwa mkoa wa Geita kwa zaidi ya asilimia 35% umezinduliwa, ambapo kwa mara ya kwanza, wananchi wa Geita wataweza...

 

9 years ago

Michuzi

MKAMU WA RAIS SAMIA AKAMILISHA ZIARA YAKE MKOANI GEITA.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitembelea na kukagua chanzo na mtambo wa kuchujia maji unaofadhiliwa na kampuni ya Uchimbaji ya Geita Gold Mining (GGM) kabla ya kuzindua mtambo huo katika kijiji cha Nyankanga Mkoani Geita. kushoto Mkurugenzi Mkuu wa GGM Terry Melpeter, kulia Mwenyekiti wa CCM Mkoa Geita King Msukuma.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na wananchi wa kijiji cha Kalangalala...

 

5 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AHITIMISHA ZIARA YA KICHAMA MKOA WA DSM


Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM ya Mkoa wa Dar es Salaam alipowasili katika Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam leo Juni 27,2020 kwa ajili ya mkutano wa majumuisho ya ziara yake ya Kichama katika Mkoa wa Dar es Salaam.Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu...

 

5 years ago

CCM Blog

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AFANYA ZIARA NA KUZUNGUMZA NA KAMATI YA CCM KIGAMBONI


Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na  aliyekuwa Mwenyekiti wa Bavicha Wilaya ya Kigamboni na Diwani wa Viti Maalim  Bibi Stella Masanja  baada ya kukihama Chama cha Chadema na kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM leo Juni 22,2020 wakati Makamu wa Rais alipokuwa katika ziara ya Kichama Mkoa wa Dar es salaam kwa ajili ya kuzungumza na Wajumbe wa...

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AWASILI WILAYANI IGUNGA MKOANI TABORA JIONI LEO,KUANZA ZIARA YA SIKU 10 MKOANI HUMO.

 Pichani Kulia ni  Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Tabora,Ndugu Hassani Wakasubi akimpokea mgeni wake,Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana na Ujumbe wake alipowasili jioni ya leo katika kijiji cha Makomelo wilayani Igunga mkoani Tabora kwa ziara ya siku 10,ya Kuimarisha uhai wa chama,kukagua miradi  ya Maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya CCM,Kukagua maandalizi ya uchaguzi za serikali za mitaa pamoja na kusikiliza kero za Wananchi.   Mkuu wa Mkoa wa Tabora,Mh.Fatma Mwasa...

 

11 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWASILI JAPAN JIONI HII KUANZA ZIARA YA SIKU SITA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na Balozi wa Tanzania, nchini Japan, Salome Sijaona, mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Haneda, Tokyo, nchini Japan kwa ajili ya kuanza ziara ya siku sita. Kulia ni mke wa makamu, Mama Asha Bilal. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasili kwenye Uwanja wa ndege wa Haneda, Tokyo, kwa ajili ya kuanza ziara ya siku sita. Kushoto...

 

10 years ago

Michuzi

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad awasili nchini Qatar kwa ziara ya siku nne ya kiserikali.

 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Seif Sharif Hamad, akiwa na ujumbe wa SMZ mjini Doha kwa ajili ya kuanza ziara ya kiserikali nchini Qatar. Mke wa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mama Awena Sinani Massoud (kushoto), akiwa na viongozi wengine wa SMZ tayari kwa kuanza ziara nchini Qatar.Waziri wa Nchi, ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Fatma Abdulhabib Ferej, akibadilishana mawazo na maofisa wa mambo ya nje, tayari kwa kuanza ziara nchini Qatar....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani