Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jalada kesi ya Zitto laitwa kwa Jaji Kiongozi

kabweNa Mwandishi Wetu, Dar es Salam
SAKATA la kufukuzwa uanachama kwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema), limechukua sura mpya baada ya Jaji Kiongozi, Shabani Lila kuitisha jalada la kesi yake hali inayoonyesha kupitiwa upya kwa kesi hiyo.
Wiki hii Mahakama Kuu ilitupilia mbali ombi la Zitto la kutaka Kamati Kuu ya Chadema kutomjadili na hatimaye kumfukuza uanachama wake baada ya makada wenzake, Samson Mwigamba aliyekuwa Mwenyekiti wa Mkoa wa Arusha na Profesa Kitila Mkumbo...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

JAJI KIONGOZI ATAKA KESI ZA JINAI KUSIKILIZWA MFULULIZO


Na Magreth Kinabo- MahakamaJaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Eliezer Feleshi amewataka Mahakimu kusikiliza kesi za jinai kwa mfululizo ili kuweza kupunguza msongamano wa mahabusu, na kuepukana na maambukizi ya Virusi Corona.
Jaji Kiongozi alitoa agizo hilo leo mara baada ya kutembelea mahakama mbalimbali za Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kwa ajili ya ukaguzi maalum. “Anzeni kusikiliza kesi za jinia mfululizo, itasaidia tusiwe na msongamano wa mahabusu, na wale wanaostahili...

 

10 years ago

Mwananchi

UTATA: Jalada la kesi ladaiwa kuibiwa kwa msajili

>Uzembe unadaiwa kufanywa Mahakama Kuu, Kanda ya Moshi, baada ya jalada moja la kesi kudaiwa kuibwa katika mazingira tata kutoka ofisi ya msajili wa wilaya.

 

9 years ago

Mwananchi

Jaji Kiongozi aagiza kesi zote za uchaguzi ziishe Machi mwakani

Majaji na mahakimu kote nchini wameagizwa kumaliza kesi zote zinazohusiana na masuala ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, ifikapo mwishoni mwa Machi 2016

 

5 years ago

BBCSwahili

Zitto Kabwe: Mahakama yamkuta na kesi ya kujibu kiongozi wa ACT-Wazalendo

Zitto anakabiliwa na mashtaka matatu ya uchochezi anayodaiwa kuyatenda Oktoba 2018.

 

5 years ago

Michuzi

JAJI KIONGOZI AONGOZA WAOMBOLEZAJI MAZISHI YA JAJI MSTAAFU MUSHI

 Jaji Kiongozi   wa Mahakama Kuu ya Tanzani, Mhe. Dkt. Eliezer Feleshi (wa kwanza kushoto) akiwaongoza   baadhi ya Majaji wa Mahakama ya Tanzania kuubeba mwili wa marehemu , Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Nathaniel Melkizedek Mushi, kwa ajili ya mazishi, alifariki dunia Machi 11, mwaka huu nyumbani kwake Mailisita Moshi Mjini, ambapo pia mazishi yake yalifanyika katika eneo hilo, mwanzoni mwa wiki hii mkoani Kilimanjaro. Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzani, Mhe....

 

11 years ago

Habarileo

Jaji Lila awa Jaji Kiongozi

RAIS Jakaya Kikwete amemteua Jaji Shabani Lila (53) kuwa Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu kuanzia leo. Jaji Lila anajaza nafasi iliyoachwa wazi na Jaji Fakih Jundu, ambaye anastaafu kwa mujibu wa sheria.

 

10 years ago

Dewji Blog

Jaji Kiongozi atoa somo kwa watumishi wa mahakama, vyama vya waajiri na waajiriwa

Mahakama - 1

Jaji Kiongozi wa Mahakama ya Tanzania Mhe. Shaaban Lila akifungua mkutano maalum wa watendaji wa Mahakama Kuu Divisheni ya Kazi, Chama cha waajiri Tanzania (ATE) na Wafanyakazi (TUCTA) leo jijini Dar es salaam. Mkutano huo unalenga kuangalia na kutafuta majibu ya changamoto mbalimbali zinazohusu maslahi ya wafanyakazi na mashauri yanayopelekwa mahakama Kuu Divisheni ya Kazi nchini.

Mahakama - 5

Jaji Kiongozi wa Mahakama ya Tanzania Mhe. Shaaban Lila akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufungua...

 

10 years ago

Michuzi

magic fm yaongea na jaji kiongozi

 JAJI KIONGOZI WA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA MHE. SHABAAN A. LILA WA KWANZA KULIA NA MTENDAJI MKUU WA MAHAKAMA BW. HUSSEIN A. KATTANGA WAKIWA NDANI YA STUDIO ZA MAGIC FM JIJINI DAR ES SALAAM KWENYE KIPINDI ASB KINACHOENDESHWA NA WATANGAZAJI OREST KAWAU, MARY EDWARD NA KIBWANA DACHI.

 WATANGAZAJI WA KIPINDI CHA MORNING MAGIC , MARY EDWARD NA OREST KAWAU WAKIWA NDANI YA MAGIC FM WAKATI WA MAHOJIANO NA JAJI KIONGOZI WA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA MHE. JAJI SHABAAN A. LILA NA MTENDAJI MKUU WA MAHAKAMA...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani