JAJI KIONGOZI ATAKA KESI ZA JINAI KUSIKILIZWA MFULULIZO
![](https://1.bp.blogspot.com/-TLIAKqIh76w/XoH-DNlg-JI/AAAAAAALlmI/N6wrPwBif1sb2XwzFMMELxsh9Q1sV7C8gCLcBGAsYHQ/s72-c/2.jpg)
Na Magreth Kinabo- MahakamaJaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Eliezer Feleshi amewataka Mahakimu kusikiliza kesi za jinai kwa mfululizo ili kuweza kupunguza msongamano wa mahabusu, na kuepukana na maambukizi ya Virusi Corona.
Jaji Kiongozi alitoa agizo hilo leo mara baada ya kutembelea mahakama mbalimbali za Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kwa ajili ya ukaguzi maalum. “Anzeni kusikiliza kesi za jinia mfululizo, itasaidia tusiwe na msongamano wa mahabusu, na wale wanaostahili...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-TLIAKqIh76w/XoH-DNlg-JI/AAAAAAALlmI/N6wrPwBif1sb2XwzFMMELxsh9Q1sV7C8gCLcBGAsYHQ/s72-c/2.jpg)
JAJI KIONGOZO ATAKA KESI ZA JINAI KUSIKILIZWA MFULULIZO
Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Eliezer Feleshi, amewataka Mahakimu kusikiliza kesi za jinai kwa mfululizo ili ya kuweza kupunguza msongamano wa mahabusu, na kuepukana na maambukizi ya Virusi Corona.
Jaji Kiongozi alitoa agizo hilo leo mara baada ya kutembelea mahakama mbalimbali za Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kwa ajili ya ukaguzi maalum.
“Anzeni kusikiliza kesi za jinia mfululizo, itasaidia tusiwe na msongamano wa mahabusu, na wale wanaostahili...
10 years ago
Mtanzania13 Mar
Jalada kesi ya Zitto laitwa kwa Jaji Kiongozi
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salam
SAKATA la kufukuzwa uanachama kwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema), limechukua sura mpya baada ya Jaji Kiongozi, Shabani Lila kuitisha jalada la kesi yake hali inayoonyesha kupitiwa upya kwa kesi hiyo.
Wiki hii Mahakama Kuu ilitupilia mbali ombi la Zitto la kutaka Kamati Kuu ya Chadema kutomjadili na hatimaye kumfukuza uanachama wake baada ya makada wenzake, Samson Mwigamba aliyekuwa Mwenyekiti wa Mkoa wa Arusha na Profesa Kitila Mkumbo...
9 years ago
Mwananchi17 Nov
Jaji Kiongozi aagiza kesi zote za uchaguzi ziishe Machi mwakani
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-CaSOybLRPdw/XnJKuo0BrvI/AAAAAAALkUc/OW43cid0J7kdyJiJD5_7NktsRzSziX9BACLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200316-WA0070.jpg)
JAJI KIONGOZI AONGOZA WAOMBOLEZAJI MAZISHI YA JAJI MSTAAFU MUSHI
![](https://1.bp.blogspot.com/-CaSOybLRPdw/XnJKuo0BrvI/AAAAAAALkUc/OW43cid0J7kdyJiJD5_7NktsRzSziX9BACLcBGAsYHQ/s640/IMG-20200316-WA0070.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-xLiFUuXCFJ8/XnJKu7g_35I/AAAAAAALkUk/P8U595vEeloIgViJ9NWxVfNOlcSfw18dwCLcBGAsYHQ/s640/IMG-20200316-WA0068.jpg)
11 years ago
Michuzi20 Jul
11 years ago
Habarileo21 Jul
Jaji Lila awa Jaji Kiongozi
RAIS Jakaya Kikwete amemteua Jaji Shabani Lila (53) kuwa Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu kuanzia leo. Jaji Lila anajaza nafasi iliyoachwa wazi na Jaji Fakih Jundu, ambaye anastaafu kwa mujibu wa sheria.
10 years ago
GPLKESI YA JINAI YA SHEIKH PONDA YAAHIRISHWA
10 years ago
Mtanzania18 May
Kesi ya Wakenya kusikilizwa Arusha
Na Mtua Salira, EANA
KESI ya mauaji na unyang’anyi wa kutumia silaha inayowakabili raia wa Kenya waliotiwa mbaroni nchini Msumbiji na kuhamishiwa Tanzania miaka tisa iliyopita, itasikilizwa na Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR) Arusha Mei, 21, 2015.
Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari na mahakama hiyo mjini hapa jana, ilisema kesi hiyo ijulikanayo kama Onyango na wenzake tisa, wanadaiwa kutenda makosa hayo mjini Moshi na itasikilizwa kwa siku moja.
Wakenya hao...
10 years ago
Mwananchi02 Feb
Kesi ya Ponda kusikilizwa leo