AUNT FIFI AWA MCHUNGAJI
![](http://api.ning.com:80/files/R5SqbRTCmAFZJjaCFhsaQDt5JMtWDpq64UQgBgsrPhlSAcEbxD*ioJxaTJBZCTnxPN3kK1SdrPtrrmAGCvc28jSHmRwmoaEP/AuntFifi.gif)
Na Mwandishi Wetu BAADA ya kuona filamu zinazidi kuwa za kihuni, msanii wa siku nyingi kwenye tasnia ya filamu Bongo, Tumaini Alfred ‘Aunt Fifi’ ameamua kugeukia upako na hadi sasa ameshawaombea watu mbalimbali wenye ukimwi, viziwi na kupona kabisa. Aliyekuwa msanii wa Filamu Bongo, Tumaini Alfred ‘Aunt Fifi’. Akizungumza na Amani, Aunt Fifi alisema amekuwa akipita nyumba hadi nyumba kwa ajili ya...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi29 Dec
Jaji Ramadhani awa mchungaji Anglikana
11 years ago
Habarileo15 Apr
Kinana awa mbogo
KATIBU Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana, amejikuta akigeuka mbogo na kuwaomba radhi wakazi wa kata ya Kirema, wilayani Mpanda mkoani Katavi, baada ya kubaini kuwa, watendaji wa Serikali wamempatia zabuni ya ujenzi wa bandari nne mkandarasi asiye na uwezo kifedha na kitaalamu.