Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lowassa achomoza tena urais

Edward Lowassa

Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa

Na Veronica Romwald, Dar es Salaam
WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa (CCM) kwa mara nyingine amechomoza na kushika nafasi ya kwanza kwa kupata kura 752 sawa na asilimia 22.8 ya kura 3,298 katika nafasi ya kiongozi anayefaa kuwa rais wa Tanzania.
Lowassa amepata kura hizo katika ripoti ya utafiti uliopewa jina la Vigezo na Matarajio ya Wananchi katika Kufanya Maamuzi ya Kuchagua Viongozi Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2015.
Utafiti huo...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Jaji Ramadhani achomoza urais

Jaji Mkuu mstaafu, Agustino Ramadhani akionesha mkoba wenye fomu ya kuomba ridhaa ya chama chake kimteue kugombea nafasi ya Urais baada ya kukabidhiwa kwenye Makao Makuu ya CCM, mjini Dodoma jana. Kulia ni mkewe, Saada Ramadhani. (Picha na Fadhili Akida).JAJI Mkuu mstaafu wa Tanzania, Agustino Ramadhani (70) ambaye kwa sasa ni Rais wa Mahakama ya Afrika, amepandisha joto la urais ndani ya CCM, baada ya jana kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama hicho kupeperusha bendera ya CCM katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.

 

10 years ago

Vijimambo

Lemutuz 'Kambi ya Urais ya LOWASSA Hamko Vizuri au Mgombea Wenu ni Bogas..Jipangeni Tena Upya'


LE MUTUZ LIVE STRAIGHT TALK:- morning guys kuna wanaotafsiri kwamba namchukia mgombea wao kumbe Mimi ninakata FACTS mti wenye matunda ndio unaorushiwa maweso wafuasi wake jifunzeni hoja the FACT is a leading Candidate supposedly hawezi kuogopa Debate infact yeye ndiye aliyetakiwa kupigania Debate ziwe nyingi kusudi Taifa tumuelewe vizuri kwamba Hakuiba Richmond kulikuwa na njama za kutaka cheo chake ndio maana aliwaachia good now asimame kwenye debate atuhakikishie kwamba akipata Uraisi...

 

10 years ago

Habarileo

CCM yamuonya tena Lowassa

 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape NnauyeCHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema vitendo vinavyofanywa na Mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa ni ukiukwaji wa Katiba na kanuni za chama hicho.

 

11 years ago

BBCSwahili

Bouteflika atagombea tena urais

Kiongozi mkongwe wa Algeria asema ataka kuania tena uongozi katika uchaguzi ujao

 

10 years ago

Mwananchi

Wabunge wahoji tena Lowassa kutosafishwa

Dodoma/Dar.  Siku moja baada ya Ikulu kulaumiwa bungeni kwa kuwasafisha baadhi ya vigogo waliohusishwa na kashfa ya escrow, mbunge mwingine ameibuka akihoji kwa nini Edward Lowassa asisafishwe dhidi ya kashfa ya Richmond iliyomfanya aachie wadhifa wa uwaziri mkuu.

 

9 years ago

Mwananchi

Lowassa: Sina tena rafiki CCM

Mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa amesema hana rafiki yeyote CCM kwani yeye tayari alishapakia basi la Chadema.

 

9 years ago

Mtanzania

Edward Lowassa aiteka tena Dar

lowasaMAELFU ya wakazi wa   Dar es Salaam jana waliacha shughuli zao zote na kujiunga katika msafara wa mgombea urais wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, ambaye alikuwa na mikutano ya kampeni  katika majimbo ya Temeke, Segerea, Ubungo na Kawe.

Lowassa aliwasili Temeke katika Uwanja vya Mwembeyanga saa 05:20 asubuhi ambako alilakiwa na mamia ya wananchi waliofika kumsikiliza.

Akifuatana na Waziri Mkuu Mstaafu, Fredrick Sumaye...

 

9 years ago

Mwananchi

Tukishindwa sasa basi tena- Lowassa

Mgombea urais wa Chadema anayeungwa mkono na vyama vinavyounda Ukawa, Edward Lowassa amesema kama Watanzania watashindwa kufanya mabadiliko kwa kupiga kura kuing’oa CCM madarakani mwaka huu, hawataweza kufanya hivyo tena, huku akihoji kama vyama tawala mbalimbali katika nchi za bara la Afrika vimeng’oka madarakani: “Kwa nini isiwe CCM”.

 

10 years ago

GPL

BLATTER ASHINDA TENA URAIS WA FIFA

Sepp Blatter baada ya ushindi. Blatter akiwa na mpinzani wake Prince Ali bin al-Hussein wa Jordan. SEPP Blatter ameshinda tena Urais wa FIFA kwa awamu ya tano baada ya kumshinda mpinzani wake Prince Ali bin al-Hussein wa Jordan. Blatter amepata kura 133 dhidi ya 73 za mpinzani wake huyo katika raundi ya kwanza ya kinyang'anyiro hicho kilichofanyika nchini Uswizi leo licha ya kukumbwa na skendo za… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani