Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BLATTER ASHINDA TENA URAIS WA FIFA

Sepp Blatter baada ya ushindi. Blatter akiwa na mpinzani wake Prince Ali bin al-Hussein wa Jordan. SEPP Blatter ameshinda tena Urais wa FIFA kwa awamu ya tano baada ya kumshinda mpinzani wake Prince Ali bin al-Hussein wa Jordan. Blatter amepata kura 133 dhidi ya 73 za mpinzani wake huyo katika raundi ya kwanza ya kinyang'anyiro hicho kilichofanyika nchini Uswizi leo licha ya kukumbwa na skendo za… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Blatter anawania Urais wa FIFA

Rais wa shirikisho la soka duniani FIFA, Sepp Blatter,anagombea kiti cha urais katika uchaguzi wa shirikisho hilo unaotarajiwa kufanyika leo huko Zurich Uswisi.

 

10 years ago

GPL

BLATTER AJIUZULU URAIS FIFA

Rais wa FIFA, Sepp Blatter ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo. Sepp Blatter akiwapongeza wajumbe wa FIFA baada ya kushinda nafasi hiyo siku sita zilizopita. MTIKISIKO, Rais wa FIFA Sepp Blatter (79) ametangaza kujiuzulu nafasi yake ya Urais wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) kufuatia kashfa ya rushwa. Taarifa iliyotolewa leo makao makuu ya FIFA mjini Zurich, Uswisi, Blatter amesema anaondoka baada ya miaka 17… ...

 

9 years ago

Mtanzania

Blatter ampa Platini urais Fifa

sepp-blatter-fifaRAIS wa Shirikisho la Soka Duniani (Fifa), Sepp Blatter, amesema anaamini Michel Platini ana nafasi kubwa ya kuwa rais wa shirikisho hilo.

Blatter mwenye umri wa miaka 79, alitangaza kujiuzulu wadhifa wake ikiwa ni siku nne tu mara baada ya kuchaguliwa kuwa rais kwa awamu ya tano, sababu za kutangaza kujiuzulu ni kutokana na kashfa ya rushwa.

Platini kwa sasa yupo kati ya watu watano ambao wanawania nafasi hiyo ya urais, ambapo uchaguzi utafanyika Februari 26 mwakani.

Hata hivyo, Platini na...

 

11 years ago

BBCSwahili

Blatter Ataka muhula wa 5 urais Fifa

Rais wa shirikisho la kanda FIFA, Sepp Blatter, amesema yuko tayari kuendelea na wadhfa huo kwa muhula mwengine wa 5.

 

10 years ago

Mwananchi

Urais Fifa:Kuipenda Afrika kulivyomponza Blatter

Mwaka 1996, Shirikisho la Soka Afrika (Fifa), lilikuwa linaongozwa na raia wa England, Stanley Rous na mwaka huo England ndiyo ilitwaa ubingwa wa dunia.

 

10 years ago

BBCSwahili

Dilma Rousseff ashinda tena Urais Brazil

Rais wa Brazil Dilma Rousseff amechaguliwa tena kuiongoza nchi hiyo, katika uchaguzi uliojaa ushindani mkali.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mwana wa Mfalme ajitosa tena urais FIFA

Mwanamfalme wa Jordan Ali Bin Al-Hussain ametangaza kuwa atasimama kuwania nafasi ya Urasi wa Shirikisho la kandanda duniani FIFA kurithi nafasi ya Rais wa sasa anayestaafu Sepp Blatter.

 

10 years ago

GPL

BLATTER AJIUZULU FIFA

Rais wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), Sepp Blatter. Zurich, Uswis
RAIS wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), Sepp Blatter, jana alijiuzulu cheo chake kutokana na kashfa ya rushwa iliyolikumba shirikisho hilo.Blatter alitangaza kujiuzulu jana jioni zikiwa ni siku nne tangu alipochaguliwa kwa mara ya tano kuiongoza Fifa. Alitangaza uamuzi huo kwenye makao makuu wa Fifa mjini Zurich akiwa ametumikia cheo cha urais...

 

10 years ago

Mwananchi

Blatter kujiuzulu Fifa

Zurich, Uswisi. Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (Fifa), Sepp Blatter ametangaza kuwa atajiuzulu nafasi yake hiyo kutokana na kashfa ya rushwa iliyolikumba shirikisho hilo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani