BLATTER AJIUZULU FIFA
Rais wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), Sepp Blatter. Zurich, Uswis RAIS wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), Sepp Blatter, jana alijiuzulu cheo chake kutokana na kashfa ya rushwa iliyolikumba shirikisho hilo.Blatter alitangaza kujiuzulu jana jioni zikiwa ni siku nne tangu alipochaguliwa kwa mara ya tano kuiongoza Fifa. Alitangaza uamuzi huo kwenye makao makuu wa Fifa mjini Zurich akiwa ametumikia cheo cha urais...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLBLATTER AJIUZULU URAIS FIFA
10 years ago
Africanjam.ComRAISI WA FIFA SEPP BLATTER AJIUZULU KUFUATIA KASHFA YA UFISADI
Rais wa shirikisho la soka duniani FIFA Sepp Blatter amejiuzulu kama rais wa shirikisho hilo kufuatia kashfa ya ufisadi.Akitangaza kujiuzulu,kwake Sepp Blatter mwenye umri wa miaka 79 ameitisha kikao cha dharura mara moja ili kumchagua rais mpya.Blatter alichaguliwa tena wiki iliopita licha ya maafisa wake saba wakuu kukamatwa siku mbili kabla ya uchaguzi .
Lakini alisema kuwa mamlaka yake hayaungwi mkono na kila mtu. Shirikisho la FIFA lilikumbwa na mgogoro wa kukamatwa kwa maafisa wake...
11 years ago
BBCSwahili11 Jun
Ulaya wataka Blatter ajiuzulu kwa usemi
10 years ago
BBCSwahili17 Dec
Mchunguzi wa FIFA ajiuzulu
10 years ago
Mwananchi03 Jun
Blatter kujiuzulu Fifa
9 years ago
BBCBlatter appeals against Fifa ban
9 years ago
BBCBlatter faces suspension by Fifa
9 years ago
Mtanzania09 Oct
Hayatou amrithi Blatter Fifa
ZURICH, USWISI
RAIS wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Issa Hayatou, ameteuliwa kuongoza Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) kwa muda baada ya rais wa sasa, Sepp Blatter,kusimamishwa kazi.
Hayatou raia wa Cameroon, amefungua historia mpya barani Afrika kwa kiongozi wa soka barani humu kupata nafasi ya juu kuongoza shirikisho hilo.
Blatter alisimamishwa kazi juzi usiku na Kamati ya Maadili ya Fifa kwa siku 90 (miezi mitatu) sambamba na Katibu Mkuu, Jerome Valcke na Makamu wa Rais, Michel...
9 years ago
BBCSwahili27 Sep
FIFA:Blatter na Platini wachunguzwa