CCM yamuonya tena Lowassa
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema vitendo vinavyofanywa na Mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa ni ukiukwaji wa Katiba na kanuni za chama hicho.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo09 Sep
NEC sasa yamuonya Lowassa
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema kitendo kilichofanywa na mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa cha kuomba kura kwa kuwataka waumini wa madhehebu ya Kilutheri kumchagua yeye, kamwe hakikubaliki.
9 years ago
Mwananchi06 Oct
Lowassa: Sina tena rafiki CCM
10 years ago
Mtanzania30 Mar
Lowassa achomoza tena urais
![Edward Lowassa](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Edward-Lowassa-300x193.jpg)
Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa
Na Veronica Romwald, Dar es Salaam
WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa (CCM) kwa mara nyingine amechomoza na kushika nafasi ya kwanza kwa kupata kura 752 sawa na asilimia 22.8 ya kura 3,298 katika nafasi ya kiongozi anayefaa kuwa rais wa Tanzania.
Lowassa amepata kura hizo katika ripoti ya utafiti uliopewa jina la Vigezo na Matarajio ya Wananchi katika Kufanya Maamuzi ya Kuchagua Viongozi Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2015.
Utafiti huo...
9 years ago
Vijimambo07 Sep
LOWASSA AZUA SINTOFAHAMU BAADA YA KUSEMA CCM OYEE KWENYE MKUTANO WA UKAWA MSINDAI NAE NI KAMA LOWASSA JITIRIRIKIE MWENYEWE
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2860850/highRes/1112336/-/maxw/600/-/r63lu6z/-/lowasa_akilini.jpg)
Tabora/Manyoni/Dar. Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema anayeungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa jana alizua sintofahamu baada ya kusema; “CCM oyee”, kauli iliyowafanya wananchi hao kukaa...
10 years ago
Mwananchi15 May
Wabunge wahoji tena Lowassa kutosafishwa
9 years ago
Mwananchi31 Aug
Tukishindwa sasa basi tena- Lowassa
9 years ago
Mtanzania02 Oct
Edward Lowassa aiteka tena Dar
MAELFU ya wakazi wa Dar es Salaam jana waliacha shughuli zao zote na kujiunga katika msafara wa mgombea urais wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, ambaye alikuwa na mikutano ya kampeni katika majimbo ya Temeke, Segerea, Ubungo na Kawe.
Lowassa aliwasili Temeke katika Uwanja vya Mwembeyanga saa 05:20 asubuhi ambako alilakiwa na mamia ya wananchi waliofika kumsikiliza.
Akifuatana na Waziri Mkuu Mstaafu, Fredrick Sumaye...
10 years ago
Mwananchi16 Mar
Staili ya Chegeni yatumika tena kumshawishi Edward Lowassa
10 years ago
Vijimambo20 Jul
Wabunge marafiki wa Lowassa wajitosa tena kuwania ubunge.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Edward-20July2015.jpg)
Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliokuwa wakimuunga mkono Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, katika harakati za kusaka urais, wamechukua fomu za kuomba kuteuliwa kuwania ubunge kupitia chama hicho.
Kabla ya hapo, kulikuwa na uvumi kuwa wabunge hao hawatachukua fomu kutokana na kukatwa kwa Lowassa katika kinyang’anyiro cha urais.
Baadhi ya wabunge hao ambao wamechukua fomu hizo na kuzirejesha jana ni pamoja na Kangi Lugola (Mwibara), Andrew Chenge...