Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jaji Ramadhani awavuruga wagombea urais CCM

Dar es Salaam. Hatua ya Jaji Mkuu wa zamani wa Tanzania, Augustino Ramadhani kujitosa kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kuwania urais imewavuruga wagombea wenzake wa urais na kuibua mjadala mzito katika maeneo mbalimbali nchini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Jaji Ramadhani afunguka uteuzi wa urais CCM

Jaji mstaafu Augustine Ramadhani amesema anaheshimu matokeo ya uteuzi wa mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa kuwa malezi aliyopitia ndivyo yanavyomwelekeza.

 

10 years ago

Vijimambo

Jaji Mkuu mstaafu Augustino Ramadhani ajitosa kuwania urais kwa tiketi ya CCM

Hatimaye aliyekuwa Jaji mkuu wa Tanzania,Jaji Augustino Ramadhan amechukua rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya wana CCM ili apitishwe kuwania nafasi ya urais hapo mwezi wa kumi.

 

10 years ago

Mwananchi

Jaji Warioba awananga wagombea urais CCM

. Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amewashangaa makada wanaojinadi kuwa ni wasafi na waadilifu, akisema sifa hizo zinatakiwa zitolewe na jamii.

 

10 years ago

Habarileo

Jaji Ramadhani achomoza urais

Jaji Mkuu mstaafu, Agustino Ramadhani akionesha mkoba wenye fomu ya kuomba ridhaa ya chama chake kimteue kugombea nafasi ya Urais baada ya kukabidhiwa kwenye Makao Makuu ya CCM, mjini Dodoma jana. Kulia ni mkewe, Saada Ramadhani. (Picha na Fadhili Akida).JAJI Mkuu mstaafu wa Tanzania, Agustino Ramadhani (70) ambaye kwa sasa ni Rais wa Mahakama ya Afrika, amepandisha joto la urais ndani ya CCM, baada ya jana kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama hicho kupeperusha bendera ya CCM katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.

 

10 years ago

Mwananchi

UCHAGUZI CCM 2015: Agustino Ramadhani Jaji Mkuu mstaafu

>Jaji Augustino Ramadhani alizaliwa Desemba 28, 1945 mjini Unguja, Zanzibar akiwa mtoto wa pili kati ya wanane waliozaliwa kwa wazazi wake. Baba yake ni Mathew Douglas Ramadhani, raia wa Zanzibar aliyefariki dunia mwaka 1962.

 

10 years ago

Michuzi

CCM KUMEKUCHA JAJI RAMADHARA AVURUGA MWELEKEO WA WAGOMBEA


CV YA JUDGE RAMADHANI Nimezaliwa Desemba 28, mwaka 1945 Zanzibar mjini nikiwa ni mtoto wa pili kati ya watoto wanane, wa kike wanne na wanaume wanne. Ni Mkristo wa dhehebu la Anglikana. 
Nimesoma shule mbalimbali za msingi Mpwapwa mkoani Dodoma 1952 -1953 nikaenda Town School-Tabora nikasoma darasa la tatu hadi la nne mwaka 1954-1956 na darasa la sita na saba nilisoma Kazel Hill sasa inatwa Shule ya Msingi Itetemia mwaka 1957-1958. Na darasa la nane tu mwaka 1959 nikarudi...

 

10 years ago

Mwananchi

Kivumbi wagombea urais 42 wa CCM

Hiki ni kivumbi. Kati ya wagombea 42 waliojitokeza kuwania urais kupitia CCM, anatakiwa kubaki mmoja tu na mchakato wa kuchukua na kurejesha fomu unafungwa kesho.

 

10 years ago

Habarileo

Wagombea urais CCM wafikia 28

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman KinanaIDADI ya wagombea nafasi ya Urais kupitia CCM sasa imefikia 28 baada ya jana makada wengine sita kuchukua fomu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani