Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wagombea urais CCM wafikia 28

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman KinanaIDADI ya wagombea nafasi ya Urais kupitia CCM sasa imefikia 28 baada ya jana makada wengine sita kuchukua fomu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Wa urais CCM sasa wafikia 40

Kada wa CCM, Helena Elinawinga akipokea fomu za kuomba kugombea urais baada ya kukabidhiwa na Katibu wa NEC-CCM Oganaizesheni, Dk Muhammed Seif Khatib, Makao Makuu ya CCM, mjini Dodoma jana. (Picha na Fadhili Akida).KATIKA hali isiyo ya kawaida, kada anayeomba nafasi ya kuwania kuteuliwa na CCM kuwa mgombea wa urais wa chama hicho, Helena Elinewinga jana alichukua fomu huku akikataa kuzungumza na waandishi wa habari.

 

10 years ago

Mwananchi

5 years ago

Michuzi

WANAWAKE WAWILI WAJITOKEZA KUCHUKUA FOMU YA URAIS CCM ZANZIBAR,MAKADA WAFIKIA 26

-WALIOREJESHA FOMU WAFIKIA WANNE

NA ANDREW CHALE, ZANZIBAR.

WANAMAMA wawili  wamejitokeza leo 24 Juni kuchukua fomu ya kuwania kugombea Urais wa Zanzibar  kupitia tiketi ya Chama  Cha Mapinduzi CCM.

Mwanamama wa kwanza ni Husna Attai Masoud aliwasili viwanja vya Afisi Kuu ya CCM -Zanzibar  zilizopo eneo la  Kisiwandui majira ya saa Nne akiwa amesindikizwa na wapambe wake watano wote  Wanamama akiwemo dereva aliyewaendesha na

kisha kupanda hadi gorofa ya pili kwa Katibu wa Idara ya Organization...

 

10 years ago

Mwananchi

Wagombea urais CCM wagonga 40

Dodoma/Dar. Mtafiti binafsi na kada wa CCM, Helena Elinawinga (41), amejitokeza kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama chake kuwania urais na kusema amefikia uamuzi huo ili kupunguza kujirudiarudia kwa adhabu za vifo kwa viongozi.

 

10 years ago

Mtanzania

Wagombea urais CCM wavurugwa

Abdulrahman Kinana

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana

NA ELIYA MBONEA, ARUSHA

KATIKA kile kinachoonekana ni kuvuruga kambi za wagombea urais mwaka 2015, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepangua makatibu wa mikoa 17 kwa kuwahamisha vituo vyao vya kazi.

Makatibu hao ni pamoja na Mary Chatanda aliyekuwa Mkoa wa Arusha, ambaye kwa sasa amehamishiwa Singida.

Chatanda kwa muda mrefu amekuwa na msuguano ndani ya Umoja wa Vijana wa CCM Mkoa wa Arusha, huku kiini chake kikidaiwa ni misimamo tofauti ya vijana hao...

 

10 years ago

Mwananchi

Kivumbi wagombea urais 42 wa CCM

Hiki ni kivumbi. Kati ya wagombea 42 waliojitokeza kuwania urais kupitia CCM, anatakiwa kubaki mmoja tu na mchakato wa kuchukua na kurejesha fomu unafungwa kesho.

 

10 years ago

Habarileo

Wagombea urais CCM kitanzini

Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwapungia maelfu ya wananchi wakati akiingia katika uwanja wa Maji Maji mjini Songea mkoani Ruvuma jana, kuongoza kilele cha sherehe za kuadhimisha Miaka 38 ya Kuzaliwa kwa CCM.MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete amewaonya wanachama wa chama hicho, kuheshimu Katiba ya chama na kufuata taratibu katika kugombea nafasi za kuteuliwa katika uchaguzi wa mkuu ili wasije kukilaumu chama, endapo wataenguliwa na hivyo kushindwa kutimiza ndoto zao.

 

10 years ago

Vijimambo

MDAHALO WA WAGOMBEA URAIS WA CCM KUTOFIKA

IMG-20150608-WA0032Leo June 08 2015 kulikuwa na mdahalo wa Wagombea wa Urais TZ ambao wanawakilisha CCM.. Mdahalo ulianza saa moja jioni Hyatt Regency Dar lakini Wagombea wengi hawakufika aliyefika ni Mgombea mmoja tu, Balozi Amina Salum Ali, wapo waliotoa sababu za kutofika lakini wengine hakukuwa na taarifa yoyote.Ali Mufuruki ni mwenyekiti wa Waandaaji wa Mdahalo huo, hiki ndio alichokisema baada ya kutokea kwa hali hiyo>>>”Sauti yake nimeirekodi pia na unaweza kuisikiliza...

 

10 years ago

Mwananchi

Dk Hoseah awanyatia wagombea urais CCM

Dar es Salaam. Wakati viongozi wajuu wa CCM wakiendelea kulalamikia makada wanaowatuhumu kutumia fedha kujifagilia njia ya urais, mkurugenzi wa Takukuru, Dk Edward Hoseah amesema taasisi yake inakusanya taarifa zote za wanachama wa chama hicho tawala wanaotuhumiwa kutumia mlungula.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani