Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wa urais CCM sasa wafikia 40

Kada wa CCM, Helena Elinawinga akipokea fomu za kuomba kugombea urais baada ya kukabidhiwa na Katibu wa NEC-CCM Oganaizesheni, Dk Muhammed Seif Khatib, Makao Makuu ya CCM, mjini Dodoma jana. (Picha na Fadhili Akida).KATIKA hali isiyo ya kawaida, kada anayeomba nafasi ya kuwania kuteuliwa na CCM kuwa mgombea wa urais wa chama hicho, Helena Elinewinga jana alichukua fomu huku akikataa kuzungumza na waandishi wa habari.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Wagombea urais CCM wafikia 28

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman KinanaIDADI ya wagombea nafasi ya Urais kupitia CCM sasa imefikia 28 baada ya jana makada wengine sita kuchukua fomu.

 

10 years ago

Mwananchi

5 years ago

Michuzi

WANAWAKE WAWILI WAJITOKEZA KUCHUKUA FOMU YA URAIS CCM ZANZIBAR,MAKADA WAFIKIA 26

-WALIOREJESHA FOMU WAFIKIA WANNE

NA ANDREW CHALE, ZANZIBAR.

WANAMAMA wawili  wamejitokeza leo 24 Juni kuchukua fomu ya kuwania kugombea Urais wa Zanzibar  kupitia tiketi ya Chama  Cha Mapinduzi CCM.

Mwanamama wa kwanza ni Husna Attai Masoud aliwasili viwanja vya Afisi Kuu ya CCM -Zanzibar  zilizopo eneo la  Kisiwandui majira ya saa Nne akiwa amesindikizwa na wapambe wake watano wote  Wanamama akiwemo dereva aliyewaendesha na

kisha kupanda hadi gorofa ya pili kwa Katibu wa Idara ya Organization...

 

10 years ago

Vijimambo

Moto wa Lowassa sasa watikisa CCM. Nape aibuka, ataka asikaribishe makundi kumshawishi urais.

Kufuatia makundi mbalimbali yanayojitokeza kwenda nyumbani kwa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, kumshawishi kugombea urais, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema hatua hiyo itamfanya akose sifa za kugombea nafasi hiyo.

Akizungumza na waandishi wa habari waliopo katika msafara wa Katibu Mkuu wa CCM waliotaka ufafanuzi kuhusu hali hiyo, Katibu wa Halmashauri Kuu (Nec), Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, alisema matendo yanayoendelea kufanywa na Lowassa, ambaye ni Mbunge wa Monduli ni...

 

9 years ago

Habarileo

Wataka Uspika sasa wafikia 21

IDADI ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanaoomba kuteuliwa kugombea nafasi ya Uspika na Unaibu Spika katika Bunge la 11 linalotarajiwa kuanza wiki ijayo, inazidi kuongezeka ambapo hadi sasa wamechukua fomu wanachama takribani 21.

 

10 years ago

Mwananchi

Waliokufa sasa wafikia tisa

Majeruhi wa moto uliotokana na mlipuko wa lori la mafuta eneo la Mbagala Rangi Tatu jijini Dar es Salaam wameendelea kupoteza maisha baada ya wawili zaidi kufariki dunia na kufanya idadi yao kufikia tisa.

 

9 years ago

Habarileo

Wenye simu sasa wafikia milioni 32

SERIKALI imesema idadi ya watumiaji wa huduma za mawasiliano nchini, imeendelea kuongezeka kutoka laini za simu za viganjani milioni 2.96 mwaka 2005 hadi kufikia milioni 32.1 Desemba mwaka jana.

 

10 years ago

Habarileo

Wenye CPA sasa wafikia 6,002

JUMLA ya watahiniwa 356 wamefaulu mtihani wa shahada ya juu ya uhasibu nchini (CPA) na kufanya watahiniwa waliofaulu mitihani hiyo kufikia 6,002 tangu mitihani hiyo ilipoanza mwaka 1975.

 

10 years ago

Mwananchi

Waliokufa ajali ya basi Mafinga sasa wafikia 50

Idadi ya watu waliofariki dunia katika ajali ya Basi la Majinjah imeongezeka na kufikia 50. Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Amina Masenza alisema maiti zilizotambuliwa na zile zilizobakia, walipohesabu waligundua idadi yao kufikia 50.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani