MASABURI ASEMA CHAGUA DOUBLE M
Gari maalum la kampeni za mgombe Ubunge wa Jimbo la Ubungo jijini Dar es Salaam kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Didas Masaburi likipita eneo la Manzese kuhamasisha wananchi kushiriki mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM, Jangwani juzi.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ubungo kupitia Chama Cha Mapinduzi, Dk Didas Masaburi akiwapungia mikono wapiga kura wa jimbo lake wakati alipoongoza msafara wa wanaCCM wa jimbo hilo kuelekea viwanja vya Jangwani, Dar es Salaam kumsikiliza mgombea urais wa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-*rf1dO92wzfx-ck8GUcFIokINNgGHOfSulOG7Egb*5YLE1XqDo6klUjsHQ0jHJ87Dxux8KVMDweOAQjCQhLp*8EKhTXRsco/CCM.jpg?width=750)
10 years ago
Raia Tanzania23 Jul
Masaburi atishia ubunge wa Mnyika
KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Didas Masaburi, ametamba kuwa ana uwezo wa kupambana na kumng’oa Mbunge wa Ubungo, John Mnyika (Chadema) kwenye Uchaguzi Mkuu ujao.
Akizungumza katika mkutano na wanafunzo wa vyuo vikuu mbalimbali jijini Dar es Salaam jana, Dk. Masaburi ambaye ni Meya wa Jiji la Dar es Salaam aanayemaliza muda wake alisema amefanya utafiti wa kutosha na kugundua kuwa anakubalika na anaweza kulibadili jimbo hilo.
Jimbo la Ubungo kwa miaka mitano iliyopita...
10 years ago
Habarileo25 Feb
Masaburi azungumzia Dar ijayo
MEYA wa Jiji la Dar e s Salaam, Dk Didas Masaburi amesema katika miaka 50 ijayo Jiji litakuwa na muonekano tofauti likiwa la kisasa, safi na lenye kuwafurahisha wakazi wote katika nyanja mbalimbali.
10 years ago
Habarileo14 Dec
Dk Masaburi afunguka kuhusu urais
MEYA wa Jiji la Dar es Salaam, Dk Didas Masaburi amesema kuwa atampigia debe mgombea urais atakayeonesha nia ya kuendeleza Serikali za Mitaa.
9 years ago
VijimamboChagua Tigo Pesa
Na Dotto Mwaibale
KAMPUNI ya simu ya mkononi ya...
9 years ago
Mwananchi17 Dec
Masaburi akubali yaishe kwa Kubenea
9 years ago
Mtanzania17 Dec
Masaburi afuta kesi dhidi ya Kubenea
Na Patricia Kimelemeta, Dar es Salaam
MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, imefuta kesi ya madai ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa Ubungo.
Kesi hiyo ilifunguliwa na aliyekuwa mgombea wa jimbo hilo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Didas Masaburi dhidi ya mbunge wa jimbo hilo, Saed Kubenea (Chadema).
Uamuzi wa maombi ya kufuta kesi hiyo uliwasilishwa mahakamani hapo jana na wakili wa Dk. Masaburi, Clement Kihoko mbele ya Jaji Lugano Mwandambo.
Wakili Kihoko alisema kuwa...
9 years ago
Vijimambo21 Sep
9 years ago
Mwananchi13 Nov
Ndugai, Masaburi, Ritha Mlaki wajitosa uspika