Ndugai, Masaburi, Ritha Mlaki wajitosa uspika
Idadi ya makada wa CCM waliojitokeza kuwania uspika wa Bunge la Kumi na Moja imeongezeka kutoka tisa hadi 19.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo17 Nov
Ni Ndugai, wengine 7 uspika
UCHAGUZI wa Spika wa Bunge la Tanzania unatarajiwa kufanyika leo ambapo wagombea wanane kutoka vyama tofauti wamejitosa kuwania nafasi hiyo katika Bunge la 11 linalotarajiwa kuanza leo mjini hapa.
9 years ago
Mtanzania16 Nov
Ndugai, Abdallah Mwinyi wapenya uspika
*Naibu Mwansheria Mkuu naye apitishwa na CC
*Sitta atafakari sababu za kukatwa kwake, Dk. Nchimbi, Masaburi ‘Out’
NA DEBORA SANJA, DODOMA.
KAMATI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CC), imepitisha majina matatu ya wanachama wake waliomba kugombea nafasi ya uspika wa Bunge.
Majina yaliyopitishwa ni aliyekuwa Naibu Spika katika Bunge la 10, Job Ndugai, mtoto wa Rais mstaafu wa awamu ya pili, Abdullah Ali Mwinyi pamoja na Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dk. Tulia Akson.
Kupitishwa kwa majina...
9 years ago
Mwananchi17 Nov
Ndugai, Ole Medeye kuchuana uspika
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-JKHzTtDIccM/Vkm6374H5hI/AAAAAAAArdA/st_qZygFbKI/s72-c/2.jpg)
WABUNGE WA CCM WAAMUA KWA PAMOJA NAFASI YA USPIKA NI JOB NDUGAI
![](http://2.bp.blogspot.com/-JKHzTtDIccM/Vkm6374H5hI/AAAAAAAArdA/st_qZygFbKI/s640/2.jpg)
Katibu wa NEC (CCM) Itikadi na Uenezi ambaye pia ni mbunge wa Mtama, Nape Nnauye alisema “Kamati ya Wabunge wote wa CCM imekamilisha kazi yake ya kwanza kuchambua na kupitisha moja kati ya majina matatu yaliyoteuliwa na Kamati Kuu. “Kama tulivyoona wagombea wawili walijitoa, hivyo Job Ndugai amepitishwa kwa kauli moja kugombea nafasi ya uspika. Tunamuombea...
11 years ago
Tanzania Daima31 Dec
Madam Ritha atoa ujumbe kufunga mwaka
MKURUGENZI wa Kampuni ya Benchmark Production, waandaaji wa shindano la Bongo Star Search (BSS), Ritha Poulsen ‘Madam Ritha’ amesema ujasiri ni kitu cha muhimu katika maisha ya binadamu ambacho kitamfanya...
9 years ago
VijimamboMASABURI ASEMA CHAGUA DOUBLE M
10 years ago
Raia Tanzania23 Jul
Masaburi atishia ubunge wa Mnyika
KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Didas Masaburi, ametamba kuwa ana uwezo wa kupambana na kumng’oa Mbunge wa Ubungo, John Mnyika (Chadema) kwenye Uchaguzi Mkuu ujao.
Akizungumza katika mkutano na wanafunzo wa vyuo vikuu mbalimbali jijini Dar es Salaam jana, Dk. Masaburi ambaye ni Meya wa Jiji la Dar es Salaam aanayemaliza muda wake alisema amefanya utafiti wa kutosha na kugundua kuwa anakubalika na anaweza kulibadili jimbo hilo.
Jimbo la Ubungo kwa miaka mitano iliyopita...