Ndugai, Abdallah Mwinyi wapenya uspika
*Naibu Mwansheria Mkuu naye apitishwa na CC
*Sitta atafakari sababu za kukatwa kwake, Dk. Nchimbi, Masaburi ‘Out’
NA DEBORA SANJA, DODOMA.
KAMATI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CC), imepitisha majina matatu ya wanachama wake waliomba kugombea nafasi ya uspika wa Bunge.
Majina yaliyopitishwa ni aliyekuwa Naibu Spika katika Bunge la 10, Job Ndugai, mtoto wa Rais mstaafu wa awamu ya pili, Abdullah Ali Mwinyi pamoja na Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dk. Tulia Akson.
Kupitishwa kwa majina...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo17 Nov
Ni Ndugai, wengine 7 uspika
UCHAGUZI wa Spika wa Bunge la Tanzania unatarajiwa kufanyika leo ambapo wagombea wanane kutoka vyama tofauti wamejitosa kuwania nafasi hiyo katika Bunge la 11 linalotarajiwa kuanza leo mjini hapa.
9 years ago
Mwananchi17 Nov
Ndugai, Ole Medeye kuchuana uspika
9 years ago
Mwananchi13 Nov
Ndugai, Masaburi, Ritha Mlaki wajitosa uspika
10 years ago
Raia Mwema25 Jun
Makinda, Anna Abdallah, Ndugai ‘out’
SPIKA wa Bunge la Tanzania, Anne Makinda, Naibu wake, Job Ndugai na mmoja wa wabunge wakongwe hap
Mwandishi Wetu
9 years ago
Michuzi
WABUNGE WA CCM WAAMUA KWA PAMOJA NAFASI YA USPIKA NI JOB NDUGAI

Katibu wa NEC (CCM) Itikadi na Uenezi ambaye pia ni mbunge wa Mtama, Nape Nnauye alisema “Kamati ya Wabunge wote wa CCM imekamilisha kazi yake ya kwanza kuchambua na kupitisha moja kati ya majina matatu yaliyoteuliwa na Kamati Kuu. “Kama tulivyoona wagombea wawili walijitoa, hivyo Job Ndugai amepitishwa kwa kauli moja kugombea nafasi ya uspika. Tunamuombea...
10 years ago
Habarileo12 Jul
Magufuli, Balozi Amina, Migiro wapenya tatu bora
WAJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), ya CCM waliokutana jana mjini hapa, walipigia kura majina matano ya wawania urais kupitia chama hicho, ambapo Dk John Magufuli, aliongoza na kufuatiwa na Balozi Amina Salum Ali na Dk Asha-Rose Migiro.
9 years ago
Mtanzania13 Nov
Makinda aukimbia uspika
*Aingia mitini dakika za mwisho licha ya kampeni
*Mpambano mkali kwa Sitta, Nchimbi, Ndugai
Na Patricia Kimelemeta, Dar es Salaam
VITA ya kuwania uspika wa Bunge, imepamba moto huku Spika anayemaliza muda wake Anne Makinda, akishindwa kuchukua fomu kwa ajili ya kuwania nafasi hiyo, tofauti na ilivyotarajiwa.
Habari zilizolifikia MTANZANIA jana jioni zinaeleza kuwa, Makinda ameshindwa kuchukua fomu kutokana na ushauri aliopata kutoka kwa watu wake wa karibu wakiwamo makada wenye heshima...
9 years ago
Mwananchi16 Nov
Sitta aenguliwa uspika
9 years ago
CCM Blog11 Nov