Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dar Es Salaam kuwa kivutio kikubwa cha wawekezaji na utalii miaka michache ijayo

2

Pichani ni Jengo litakalojengwa jijini Dar es salaam na litagharimu Dola za kimarekani milioni 77,kutakuwa na hoteli ya hadhi ya Nyota Tano, Ofisi za Biashara, kutakuwa na Sehemu ya kuegesha magari, jengo hili litatakuwa kivutio kwa Wawekezaji na Utalii.(23 Juni 2014).

3

Baadhi Malori na Vifaa vingine vya kutendea kazi vikiwa tayari kuahiria ujenzi huu unaanza mara moja baada ya zoezi la uwekaji wa jiwe la msingi kukamilika.

1

Mama Maria Nyerere akiwasili kwenye sherehe ya uwekaji jiwe la...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Ataka kambi ya wapigania Uhuru kuwa kivutio cha utalii

MKUU wa Wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma, Alfred Msovella amesema iko haja ya kambi ya wapigania Uhuru ya Kongwa kuendelezwa kiwe kitovu cha watafiti na utalii.

 

10 years ago

Habarileo

Dar kuwa na umeme wa uhakika miaka miwili ijayo

WIZARA ya Nishati na Madini, imewahakikishia wakazi wa Dar es Salaam kuwa na umeme wa uhakika ndani ya miaka miwili, huku ikianza kuachana na mpango wa kuwa na nguzo za miti badala yake kutumia za zege.

 

11 years ago

Mwananchi

Kivutio kipya cha utalii Serengeti

Hifadhi ya Taifa ya Serengeti ndiyo hifadhi kongwe hapa nchini. Hii ndiyo yenye umaarufu mkubwa ndani na nje ya bara la Afrika.

 

10 years ago

Mwananchi

Tanzania imeshindwa kuzifanya nyayo za binadamu wa kale kivutio cha utalii

Kwa miaka 20 Tanzania imezifukia futi tano chini ya ardhi nyayo za binadamu wa kale na kupoteza mamilioni ya fedha ambazo zingepatikana kwa watalii kwenda kuziona

 

10 years ago

Michuzi

MAONYESHO YA CHUO CHA UTALII TANZANIA YAFANA JIJINI DAR ES SALAAM LEO.

Afisa Mtendaji Mkuu wa Chuo Cha Utalii  Tanzania,  Rosada Msoma akizungumza na wanafunzi na wakufunzi wa chuo cha Utalii(hawapo pichani) katika maonyesho ya utalii yaliyofanyika katika chuo hicho kampasi ya Bustani leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Naibu Mkurugenzi wa Fedha wa chuo cha utalii Tanzania Neema Kusiga, (watano katikati),Afisa Mtendaji Mkuu wa Chuo Cha Utalii  Tanzania,  Rosada Msoma akiwa na wakufunzi wa Chuo cha Utalii Tanzania kutoka kampasi tatu za chuo hicho iliyofanyika...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wanafunzi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) wahamasisha utalii wa ndani kwa vitendo

Mnyama Ngiri akiwa amejipumzisha kwenye tope kama alivyokutwa na kamera yetu.

Baadhi ya Wanafunzi  wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM) wamefanya ziara ya siku mbili ya kitalii katika hifadhi ya taifa ya Saadani pamoja na sehemu ya kihistoria ya Kaole iliyopo Bagamoyo ikiwa ni sehemu ya kujifunza pamoja na kuhamasisha utalii wa ndani.

Wanafunzi hao kutoka katika “Collage” tofauti tofauti ikiwemo utalii, uchumi na biashara waliofanya ziara hiyo ikiwa chini ya mwamvuli wa University of Dar...

 

10 years ago

Dewji Blog

Maadhimisho ya siku ya mtoto wa kichwa kikubwa na mgongo wazi duniani yafanyika jijini Dar es salaam

1

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) Dkt. Othmani Kiloloma akiwaeleza waandishi wa habari(hawapo pichani) majukumu wanayotekeleza katika kuhakikisha wanakabiliana na tatizo la Mgongo wazi na Vichwa vikubwa ikiwamo kutoa elimu bora kwa madaktari wanaosomea somo hilo, kwenda mikoani kutoa tiba kwa watoto wenye matatizo hayo,wakati wa maadhimisho ya siku ya mtoto wa kichwa kikubwa na na Mgongo wazi duniani jana Jijini Dar es salaam....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani