Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MOJA YA KIVUTIO KIKUBWA KATIKA SHEREHE ZA MIAKA 5O YA MUUNGANO

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Dar Es Salaam kuwa kivutio kikubwa cha wawekezaji na utalii miaka michache ijayo

2

Pichani ni Jengo litakalojengwa jijini Dar es salaam na litagharimu Dola za kimarekani milioni 77,kutakuwa na hoteli ya hadhi ya Nyota Tano, Ofisi za Biashara, kutakuwa na Sehemu ya kuegesha magari, jengo hili litatakuwa kivutio kwa Wawekezaji na Utalii.(23 Juni 2014).

3

Baadhi Malori na Vifaa vingine vya kutendea kazi vikiwa tayari kuahiria ujenzi huu unaanza mara moja baada ya zoezi la uwekaji wa jiwe la msingi kukamilika.

1

Mama Maria Nyerere akiwasili kwenye sherehe ya uwekaji jiwe la...

 

10 years ago

Mtanzania

Sherehe za Muungano zafana, majeshi yawa kivutio

Pg 2Patricia Kimelemeta na Jonas Mushi, Dar es Salaam
RAIS Jakaya Kikwete jana aliongoza maelfu ya Watanzania kuadhimisha sherehe za miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, huku vikosi vya majeshi ya ulinzi na usalama vikiwa kivutio kikubwa.
Tofauti na ilivyozoelekea miaka yote ambako vikosi vya ulinzi na usalama huwa vinakuwa kundi moja tu vikiwa vimevalia sare maalumu za sherehe, jana kulikuwa na makundi mawili tofauti yakiwa na zana nyingi na za kisasa zinazotumika katika utendaji wa...

 

10 years ago

Michuzi

Mhe Lowassa katika mkesha wa sherehe za miaka 51 ya muungano mjini Dubai leo

Waziri mkuu wa zamani na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akitoa salamu zake kwenye sherehe za miaka 51 ya muungano ambazo ziliandaliwa na jumuiya ya watanzania wanaoishi katika Falme za kiarabu (UAE) .Sherehe hizo zimefanyika leo Jumamosi ya mkesha wa kuamkia tarehe 26 siku ya muungano, katika hoteli ya Shangrila mjini Dubai

 

11 years ago

Michuzi

Hotuba Ya Mhe. Mwigulu Nchemba katika sherehe za Miaka 50 ya Muungano,jijini Washington DC

Mhe. Mwigulu Nchemba akizungumza katika moja ya hafla hapa Washington DC
Picha kwa hisani ya Vijimambo Blog Ifuatayo ni hotuba ya Mhe Mwigulu Nchemba. Naibu Waziri wa Fedha na Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (Tanzania Bara) aliyoitoa katika maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano hapa Washington DC. Audio hii ni kwa hisani ya Vijimambo Blog

 

11 years ago

Michuzi

UBALOZI WA TANZANIA KATIKA UMOJA WA FALME ZA KIARABU (UAE) WASHEREHEKEA SHEREHE ZA MIAKA 50 MUUNGANO WA TANZANIA

Balozi wa Tanzania katika Umoja wa Falme za Kiarabu,Mhe. Mbarouk Nassor Mbarouk (kushoto) akimpokea mgeni rasmi wa sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano Tanzania, Mheshimiwa Dr. Hadef Jawa’n Al Dhaheri, Waziri wa Sheria wa UAE,katika hafla iliyofanyika hivi karibuni katika Hoteli ya Intercontinental,Abu Dhabi. Balozi Mbarouk akiwa na Chief of Protocol wa UAE Mhe. Shihab Al Faheem. Balozi Mbarouk akimuongoza Mgeni rasmi Mhe. Dr. Hadef Jawa’n Al Dhaheri, Waziri wa Sheria wa Umoja...

 

11 years ago

Michuzi

SHEREHE ZA MIAKA 50 YA MUUNGANO ZAFANYIKA PARIS UFARANSA

Watanzania waishio nchini Ufaransa walikutana Jumamosi mchana tarehe 26 Aprili nyumbani kwa Balozi wa Tanzania mjini Paris ili kusherehekea miaka 50 ya muungano kati ya Zanzibar na Tanganyika. Balozi wa Tanzania Nchini Ufaranza,Mh. Begum Karim Taj akipokea keki maalum kwa ajili ya sherehe hizo za Muungano wa Tanzania katika hafla iliyofanyika nyumbani kwa Balozi,Mjini Paris Ufaransa. Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa akiwa na watoto mjini Paris. Mh. Balozi Begum Taj akiwa na baadhi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani