Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hotuba Ya Mhe. Mwigulu Nchemba katika sherehe za Miaka 50 ya Muungano,jijini Washington DC

Mhe. Mwigulu Nchemba akizungumza katika moja ya hafla hapa Washington DC
Picha kwa hisani ya Vijimambo Blog Ifuatayo ni hotuba ya Mhe Mwigulu Nchemba. Naibu Waziri wa Fedha na Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (Tanzania Bara) aliyoitoa katika maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano hapa Washington DC. Audio hii ni kwa hisani ya Vijimambo Blog

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Hotuba ya Mhe. Mwigulu Nchemba katika sherehe za Muungano Washington DC

Untitled

Mhe. Mwigulu Nchemba akizungumza katika moja ya hafla hapa Washington DC.(Picha kwa hisani ya Vijimambo Blog).

Ifuatayo ni hotuba ya Mhe Mwigulu Nchemba.

Naibu Waziri wa Fedha na Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (Tanzania Bara) aliyoitoa katika maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano hapa Washington DC.

Audio hii ni kwa hisani ya Vijimambo Blog

 

10 years ago

Michuzi

Mhe Lowassa katika mkesha wa sherehe za miaka 51 ya muungano mjini Dubai leo

Waziri mkuu wa zamani na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akitoa salamu zake kwenye sherehe za miaka 51 ya muungano ambazo ziliandaliwa na jumuiya ya watanzania wanaoishi katika Falme za kiarabu (UAE) .Sherehe hizo zimefanyika leo Jumamosi ya mkesha wa kuamkia tarehe 26 siku ya muungano, katika hoteli ya Shangrila mjini Dubai

 

11 years ago

Michuzi

dkt makame na mwigulu nchemba warejea nyumbani baada ya kuhudhuria sherehe za muungano marekani

  Mhe. Dkt. Mwinyihaji Makame(wa pili kushoto)Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Zanzibar,Mhe.Mwigulu Nchemba(wa pili kulia),Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bw. Paul Mwafongo (Kulia)na Bw.Suleiman Saleh (kushoto), Maofisa wa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Washington DC wakiwasindikiza viongozi hao katika uwaja wa ndege wa Dulles,Washington DC, baada ya kuhudhuria sherehe za miaka 50 ya Muungano wa Tanzania zilizoandaliwa na Ubalozi Jumamosi na...

 

11 years ago

Michuzi

sherehe za miaka 50 ya Muungano zilivyoifana jijini Maputo Msumbiji

Na Adam Kinguti Ubalozi wa Tanzania nchini Msumbiji ukishirikiana na baadha ya Wawekezaji kutoka Tanzania, Bakhresa, Magodoro Dodoma, Macktech, Kampuni ya usafiri -Maning Nice pamoja na Jumuiya za Watanzania Msumbiji  na Swaziland walifanikisha sherehe za miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mwishoni mwa juma jijini Maputo.  Wageni waalikwa kutoka balozi mbalimbali nchini Msumbiji  walihudhuria sherehe hizo za miaka 50 ya Muungano  katika ubalozi wa Tanzania jijini Maputo

 

11 years ago

Michuzi

sherehe za miaka 50 ya Muungano zafana jijini Beijing, China

 Keki Maalumu kwa ajili ya sherehe hio  Balozi wa Tanzania nchini China, Luteni jenerali mstaafu Abdulrahman Shimbo akiwa na mgeni rasmi wa sherehe za miaka 50 ya Muungano jijini Beijing, China,  makamu mwenyekiti wa kamati kuu ya baraza la ushauri wa kisiasa ya watu China Mhe. Chen Yuan, wakizungumzia mahusiano yaliyopo kati ya CHina Na Tanzania kwa miaka 50 sasa.  Balozi wa Tanzania nchini China, Luteni jenerali mstaafu Abdulrahman Shimbo akihutubia wakati wa sherehe za miaka 50 ya...

 

11 years ago

GPL

SHEREHE ZA MIAKA 50 YA MUUNGANO ZAFANA JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia mkono wananchi waliohudhuria sherehe za miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na Viongozi mbali mbali wa ndani na nje ya nchi.  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride la Jeshi la wananchi… ...

 

10 years ago

Michuzi

sherehe za miaka 51 ya Muungano zafana jijini Dar es salaam leo

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akipunga mkono kuwasalimia wananchi wakati alipokuwa akiwasili kwenye Uwanja wa Uhuru, Jijini Dar es salaam, leo  kuhudhuria Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Kushoto ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Davis Mwamunyange Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akienelea kuwapungia mkono kwa furaha kuwasalimia wananchi Rais wa Zanzibar Dkt...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani