Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


sherehe za miaka 51 ya Muungano zafana jijini Dar es salaam leo

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akipunga mkono kuwasalimia wananchi wakati alipokuwa akiwasili kwenye Uwanja wa Uhuru, Jijini Dar es salaam, leo  kuhudhuria Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Kushoto ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Davis Mwamunyange Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akienelea kuwapungia mkono kwa furaha kuwasalimia wananchi Rais wa Zanzibar Dkt...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

SHEREHE ZA MIAKA 50 YA MUUNGANO ZAFANA JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia mkono wananchi waliohudhuria sherehe za miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na Viongozi mbali mbali wa ndani na nje ya nchi.  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride la Jeshi la wananchi… ...

 

11 years ago

Michuzi

sherehe za miaka 50 ya Muungano zafana jijini Beijing, China

 Keki Maalumu kwa ajili ya sherehe hio  Balozi wa Tanzania nchini China, Luteni jenerali mstaafu Abdulrahman Shimbo akiwa na mgeni rasmi wa sherehe za miaka 50 ya Muungano jijini Beijing, China,  makamu mwenyekiti wa kamati kuu ya baraza la ushauri wa kisiasa ya watu China Mhe. Chen Yuan, wakizungumzia mahusiano yaliyopo kati ya CHina Na Tanzania kwa miaka 50 sasa.  Balozi wa Tanzania nchini China, Luteni jenerali mstaafu Abdulrahman Shimbo akihutubia wakati wa sherehe za miaka 50 ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Sherehe za Miaka 50 ya uhai wa Bendi Msondo Ngoma zafana Jijini DarMsondo Ngoma zafana Jijini Dar

Bendi Kongwe ya Muziki wa Dansi hapa nchini iliyodumu kwa miaka 50 toka kuanzishwa kwake mwaka 1964,Msondo Ngoma Music Band imesherehekea Jubilei yake hiyo iliyofanyika Novemba 1,2014 katika viwanja vya TCC Club,Chang’ombe jijini Dar es Salaam na kuwakutanisha mashabiki wake lukuki kutoka sehemu mbali mbali.

Mgeni Rasmi katika Sherehe hizo ya kusherehekea Jubilei ya miaka 50 ya Bendi ya Msondo Ngoma,alikuwa ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Prof. Elisante...

 

11 years ago

Michuzi

Sherehe za Kuadhimisha Siku ya Afrika Zafana jijini Dar es Salaam

 Wanafunzi wakiwa wamebeba bendera mbalimbali za nchi za Afrika na ile ya Umoja wa Afrika wakiwa katika maandamano kuelekea Viwanja vya Karimjee.   Waheshimiwa Mabalozi wa Nchi za Afrika nchini Tanzania wakiwa katika maandamano ya kuadhimisha Siku ya Afrika  Waheshimiwa Mabalozi wa Nchi za Afrika nchini Tanzania wakiwa katika maandamano ya kuadhimisha Siku ya Afrika  Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim (Mb) aliyevaa suti ya rangi ya...

 

11 years ago

Michuzi

SHEREHE ZA MIAKA 50 YA MUUNGANO WA TANZANIA,ZAFANA SANA NCHINI OMAN

Ubalozi wa Tanzania mjini Muscat, Oman chini ya Uongozi wa Mheshimiwa Balozi Ali Ahmed Saleh, hivi karibuni , uliandaa sherehe iliyofana sana ya kuadhimisha miaka 50 ya Muungano. Sherehe hii ilifanyika katika ukumbi wa Jibrin kwenye hotel ya kitalii ya Intercontinental  Muscat.
Mgeni rasmi katika sherehe hii alikuwa Mheshimiwa Ahmed  bin Nassor bin Hamad Al Mahrazi,  Waziri wa  Utalii wa Oman aliyeongoza ujumbe mzito wa Serikali ya Oman ambao pia ulijumuisha , Mheshimiwa  Said bin Saleh...

 

11 years ago

Michuzi

SHEREHE ZA MIAKA 50 YA MUUNGANO ZAFANA UJERUMANI, PROFESA MUHONGO MGENI RASMI

 Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (Mb.) (kushoto) akiingia katika ukumbi wa Deustche Bank uliopo Berlin, Ujerumani kabla ya kuzindua rasmi sherehe za jubilee ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Kulia ni balozi wa Tanzania Ujerumani Mhe. Philip Marmo.

 Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (Mb) akizungumza na  baadhi ya wajumbe waliohudhuria  sherehe hizo

 Kikundi cha ngoma za sanaa kutoka Jeshi la Wananchi Tanzania kikitumbuiza  kabla ya kuanza kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani