Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kivutio kipya cha utalii Serengeti

Hifadhi ya Taifa ya Serengeti ndiyo hifadhi kongwe hapa nchini. Hii ndiyo yenye umaarufu mkubwa ndani na nje ya bara la Afrika.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Ataka kambi ya wapigania Uhuru kuwa kivutio cha utalii

MKUU wa Wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma, Alfred Msovella amesema iko haja ya kambi ya wapigania Uhuru ya Kongwa kuendelezwa kiwe kitovu cha watafiti na utalii.

 

10 years ago

Mwananchi

Tanzania imeshindwa kuzifanya nyayo za binadamu wa kale kivutio cha utalii

Kwa miaka 20 Tanzania imezifukia futi tano chini ya ardhi nyayo za binadamu wa kale na kupoteza mamilioni ya fedha ambazo zingepatikana kwa watalii kwenda kuziona

 

11 years ago

Dewji Blog

Dar Es Salaam kuwa kivutio kikubwa cha wawekezaji na utalii miaka michache ijayo

2

Pichani ni Jengo litakalojengwa jijini Dar es salaam na litagharimu Dola za kimarekani milioni 77,kutakuwa na hoteli ya hadhi ya Nyota Tano, Ofisi za Biashara, kutakuwa na Sehemu ya kuegesha magari, jengo hili litatakuwa kivutio kwa Wawekezaji na Utalii.(23 Juni 2014).

3

Baadhi Malori na Vifaa vingine vya kutendea kazi vikiwa tayari kuahiria ujenzi huu unaanza mara moja baada ya zoezi la uwekaji wa jiwe la msingi kukamilika.

1

Mama Maria Nyerere akiwasili kwenye sherehe ya uwekaji jiwe la...

 

11 years ago

Michuzi

serengeti breweries yazindua kilaji kipya cha platinum


 Wadau wakifurahia uzinduzi wa kilaji kipya cha Serengeti Platinum katika kiota cha maraha cha Escape 1 Mikocheni Mlalakuwa jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo  Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL),Ephraim Mafuru (kulia) akiungana na wadau kukaribisha kilaji hicho kipya  Fashifashi za uzinduzi wa kilaji kipya. Chupa hiyo ilishushwa na helikopta   Vijana wa THT wakinogesha hafla hiyo Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL),Ephraim Mafuru...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Zanzibar atembelea kituo kipya cha kurushia matangazo cha Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC).

Na Abdulla Ali, Maelezo-Zanzibar  Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Zanzibar Mhe. Said Ali Mbarouk amesema zaidi ya shilingi milioni 100 za Kitanzania zinahitajika ili kukamilisha ujenzi wa kituo kipya cha kurushia matangazo cha Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC).  Hayo ameyasema wakati wa ziara yake ya kutembelea kituo hicho kilichopo Bungi Wilaya ya Kati Unguja. Amesema lengo la ziara hiyo ni kuangalia ufanisi wa kazi kwa watendaji wa kituo hicho na kusisitiza kuwa ni...

 

10 years ago

GPL

WAZIRI WA HABARI, UTAMADUNI, UTALII NA MICHEZO ZANZIBAR ATEMBELEA KITUO KIPYA CHA KURUSHIA MATANGAZO CHA SHIRIKA LA UTANGAZAJI ZANZIBAR (ZBC)

Chumba cha mitambo ya kurushia matangazo (Transmitter) kilichopo katika Kituo cha Bungi, Unguja. Fundi mkuu wa kituo hicho Nd. Ali Aboud Talib akitoa maelezo ya kiufundi kwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Zanzibar Mhe. Said Ali Mbarouk wa kushoto.…

 

9 years ago

Michuzi

UTALII WA NDANI: IRENTE VIEW POINT LUSHOTO TANGA, MOJA YA KIVUTIO AMBACHO WATU WENGI HAWAIJUI

Hapa ndipo kileleni na Mwonekano wa Irente   Hii ni Miamba mikubwa iliyopo Irente na moja ya kivutio kikubwa katika eneo hili kwa upande kwa Kushoto.Eneo hili wakazi wa Irente wanaliita Pango ambapo watu wengi wanapenda kupigia pichaHii ni njia ya kuelekea Pangoni 
Mmoja wa walinzi akiandika akiwakatia risiti wageni mbalimbali waliotembelea eneo hilo. Mmoja wa wandishi wa Blogs za Mikoa Fredy Tony Njeje akiwa amefika kujionea eneo hilo.Watu wengi wamekuwa na utaratibu wa kukalili kuwa...

 

5 years ago

Michuzi

CHUO KIKUU CHA SAUT NA KAMPUNI YA REAL PR SOLUTIONS WASAINI MAKUBALIANO YA UTEKELEZAJI WA PAMOJA MPANGO WA MAFUNZO KWA WADAU WA UTALII UJULIKANAO “UTALII MPYA WAKATI NA BAADA YA CORONA" .

Programu ya mafunzo ya kuhusu namna bora ya kuendesha, kukuza na kutambua fursa zilizopo kwenye sekta ya utalii hapa nchini inatarajiwa kuzinduliwa hivi karibuni jijini  Mwanza.
Zaidi, mafunzo hayo yanalenga pia kuandaa wadau wa utalii hapa nchini ili waweze kutoa huduma zao kwa weledi huku wakizingatia kanuni za kiafya pindi sekta hiyo itakapoimarika baada ya kuathirika kwa kiasi kikubwa  kutokana na janga la ugonjwa wa homa ya mapafu (COVID0-19) unaosababishwa na virus vya corona ambalo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani