Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ataka kambi ya wapigania Uhuru kuwa kivutio cha utalii

MKUU wa Wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma, Alfred Msovella amesema iko haja ya kambi ya wapigania Uhuru ya Kongwa kuendelezwa kiwe kitovu cha watafiti na utalii.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Dar Es Salaam kuwa kivutio kikubwa cha wawekezaji na utalii miaka michache ijayo

2

Pichani ni Jengo litakalojengwa jijini Dar es salaam na litagharimu Dola za kimarekani milioni 77,kutakuwa na hoteli ya hadhi ya Nyota Tano, Ofisi za Biashara, kutakuwa na Sehemu ya kuegesha magari, jengo hili litatakuwa kivutio kwa Wawekezaji na Utalii.(23 Juni 2014).

3

Baadhi Malori na Vifaa vingine vya kutendea kazi vikiwa tayari kuahiria ujenzi huu unaanza mara moja baada ya zoezi la uwekaji wa jiwe la msingi kukamilika.

1

Mama Maria Nyerere akiwasili kwenye sherehe ya uwekaji jiwe la...

 

11 years ago

Mwananchi

Kivutio kipya cha utalii Serengeti

Hifadhi ya Taifa ya Serengeti ndiyo hifadhi kongwe hapa nchini. Hii ndiyo yenye umaarufu mkubwa ndani na nje ya bara la Afrika.

 

10 years ago

Mwananchi

Tanzania imeshindwa kuzifanya nyayo za binadamu wa kale kivutio cha utalii

Kwa miaka 20 Tanzania imezifukia futi tano chini ya ardhi nyayo za binadamu wa kale na kupoteza mamilioni ya fedha ambazo zingepatikana kwa watalii kwenda kuziona

 

9 years ago

Michuzi

UTALII WA NDANI: IRENTE VIEW POINT LUSHOTO TANGA, MOJA YA KIVUTIO AMBACHO WATU WENGI HAWAIJUI

Hapa ndipo kileleni na Mwonekano wa Irente   Hii ni Miamba mikubwa iliyopo Irente na moja ya kivutio kikubwa katika eneo hili kwa upande kwa Kushoto.Eneo hili wakazi wa Irente wanaliita Pango ambapo watu wengi wanapenda kupigia pichaHii ni njia ya kuelekea Pangoni 
Mmoja wa walinzi akiandika akiwakatia risiti wageni mbalimbali waliotembelea eneo hilo. Mmoja wa wandishi wa Blogs za Mikoa Fredy Tony Njeje akiwa amefika kujionea eneo hilo.Watu wengi wamekuwa na utaratibu wa kukalili kuwa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Uhuru Kenyatta: Wataalamu wanakadiria kilele cha corona kuwa Agosti au Septemba Kenya

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ameelezea wasi wasi wake kuhusu ongezeko la idadi ya watu walioambukuzwa virusi vya corona katika taifa hilo la Afrika Mashariki.

 

9 years ago

Mtanzania

Waziri ataka kambi ya kudumu

kigwangal3NA CHRISTINA GAULUHANGA, DAR ES SALAAM

NAIBU Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, DK. Hamis Kigwangala, ameipa miezi sita Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam kujenga kambi ya kudumu ya wagonjwa wa Kipundupindu.

Agizo hilo la Dk. Kigwangala linakwenda kinyume na mtazamo wa Rais Dk. John Magufuli ambaye amekuwa akihimiza suala la usafi ili kutokomeza ugonjwa wa kipindupindu nchini.

Katika kuhakikisha ugonjwa huo unatokomezwa, Rais Magufuli alifuta sherehe za Uhuru za...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MAGUFULI AHUDHURIA MAHAFALI YA KUMI YA KIDATO CHA SITA KATIKA SHULE YA SEKONDARI YA CHATO, AAHIDI MAJENGO YA KAMBI YA MKANDARASI KUWA MALI YA SHULE YA MAGUFULI

 Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Chato Mkoani Geita, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapongeza wanafunzi wa kidato cha Sita katika Shule ya Sekondari ya Chato wanaotarajiwa kuhitimu masomo yao mwezi ujao. Wanafunzi wa kidato cha Sita katika Shule ya Sekondari ya Chato Mkoani Geita wanaotarajiwa kuhitimu masomo yao mwezi ujao wakiimba wimbo maalum wa Shule hiyo katika Mahafali ya 10 shuleni hapo.

 Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Chato Mheshimiwa Dkt....

 

5 years ago

Michuzi

CHUO KIKUU CHA SAUT NA KAMPUNI YA REAL PR SOLUTIONS WASAINI MAKUBALIANO YA UTEKELEZAJI WA PAMOJA MPANGO WA MAFUNZO KWA WADAU WA UTALII UJULIKANAO “UTALII MPYA WAKATI NA BAADA YA CORONA" .

Programu ya mafunzo ya kuhusu namna bora ya kuendesha, kukuza na kutambua fursa zilizopo kwenye sekta ya utalii hapa nchini inatarajiwa kuzinduliwa hivi karibuni jijini  Mwanza.
Zaidi, mafunzo hayo yanalenga pia kuandaa wadau wa utalii hapa nchini ili waweze kutoa huduma zao kwa weledi huku wakizingatia kanuni za kiafya pindi sekta hiyo itakapoimarika baada ya kuathirika kwa kiasi kikubwa  kutokana na janga la ugonjwa wa homa ya mapafu (COVID0-19) unaosababishwa na virus vya corona ambalo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani