Tanzania imeshindwa kuzifanya nyayo za binadamu wa kale kivutio cha utalii
Kwa miaka 20 Tanzania imezifukia futi tano chini ya ardhi nyayo za binadamu wa kale na kupoteza mamilioni ya fedha ambazo zingepatikana kwa watalii kwenda kuziona
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi29 May
Kivutio kipya cha utalii Serengeti
10 years ago
Habarileo09 Dec
Ataka kambi ya wapigania Uhuru kuwa kivutio cha utalii
MKUU wa Wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma, Alfred Msovella amesema iko haja ya kambi ya wapigania Uhuru ya Kongwa kuendelezwa kiwe kitovu cha watafiti na utalii.
11 years ago
Dewji Blog25 Jun
Dar Es Salaam kuwa kivutio kikubwa cha wawekezaji na utalii miaka michache ijayo
Pichani ni Jengo litakalojengwa jijini Dar es salaam na litagharimu Dola za kimarekani milioni 77,kutakuwa na hoteli ya hadhi ya Nyota Tano, Ofisi za Biashara, kutakuwa na Sehemu ya kuegesha magari, jengo hili litatakuwa kivutio kwa Wawekezaji na Utalii.(23 Juni 2014).
Baadhi Malori na Vifaa vingine vya kutendea kazi vikiwa tayari kuahiria ujenzi huu unaanza mara moja baada ya zoezi la uwekaji wa jiwe la msingi kukamilika.
Mama Maria Nyerere akiwasili kwenye sherehe ya uwekaji jiwe la...
5 years ago
MichuziRAIS DK SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA HABARI UTALII NA MAMBO YA KALE ZANZIBAR
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Dk. Ali Mohamed. Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, wakati wa kuwasilisha Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020, uliofanyika ukumbi wa Ikulu leo 19-2-2020, Jijini Zanzibar.WAKURUGENZI wa Idara na Mashirika...
9 years ago
MichuziUTALII WA NDANI: IRENTE VIEW POINT LUSHOTO TANGA, MOJA YA KIVUTIO AMBACHO WATU WENGI HAWAIJUI
Mmoja wa walinzi akiandika akiwakatia risiti wageni mbalimbali waliotembelea eneo hilo. Mmoja wa wandishi wa Blogs za Mikoa Fredy Tony Njeje akiwa amefika kujionea eneo hilo.Watu wengi wamekuwa na utaratibu wa kukalili kuwa...
10 years ago
Vijimambo08 Dec
BODI YA UTALII TANZANIA (TTB) TIMU YA MPIRA WA MIGUU YA SUNDERLAND (SAFC) ZATANGAZA UTALII WA TANZANIA UINGEREZA
10 years ago
Dewji Blog08 Dec
Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) na Timu ya mpira wa miguu ya Sunderland (SAFC) zatangaza utalii wa Tanzania Uingereza
Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mh. Peter Kallaghe na Garry Hutchinson Mkurugenzi wa Biashara wa timu ya mpira ya Sunderland wakionyesha jezi ya iliyoandikwa Tanzania yenye rangi za timu hiyo wakati wa uzinduzi rasmi wa matangazo ya Utalii wa Tanzania yanayotangazwa katika uwanja wa timu hiyo kutoka kulia ni Meneja wa Masoko wa Bodi ya Utalii Bw. Geofrey Meena, Teddy Mapunda mjumbe wa Bodi ya wakurugenzi ya (TTB) na kutoka kushoto ni Mdau wa Utalii Bw. Nestor Mapunda na Kaimu Mkurugenzi...
10 years ago
Vijimambo31 Dec
REGINALD MENGI HUTUMIA KISINGIZIO CHA UTETEZI WA WANYONGE KUZIFANYA CHUKI ZAKE BINAFSI ZIWE NI UGOMVI WA KITAIFA
10 years ago
MichuziMAONYESHO YA CHUO CHA UTALII TANZANIA YAFANA JIJINI DAR ES SALAAM LEO.