Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mnyika atishia kushtaki

MBUNGE wa Ubungo John Mnyika amemtaka Waziri Mkuu ambaye ni Msimamizi Mkuu wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utaokafanyika Desemba mwaka huu, kufanya marekebisho ya kanuni za uchaguzi kwa kuwa zina upungufu mwingi, la sivyo atafungua kesi mahakamani kupinga kanuni hizo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mnyika atishia kuwataja vigogo

Wakati huohuo, Waziri Kivuli wa Nishati na Madini, John Mnyika ametishia kuwataja kwa majina vigogo wa Serikali na CCM aliosema wako nyuma ya ‘kashfa’ kuhusu mgogoro huo ili waweze kuhojiwa kwa umma iwapo Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo hatajitokeza kufafanua kauli alizozitoa bungeni kutuhumu IPTL.

 

10 years ago

Raia Tanzania

Masaburi atishia ubunge wa Mnyika

KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Didas Masaburi, ametamba kuwa ana uwezo wa kupambana na kumng’oa Mbunge wa Ubungo, John Mnyika (Chadema) kwenye Uchaguzi Mkuu ujao.

Akizungumza katika mkutano na wanafunzo wa vyuo vikuu mbalimbali jijini Dar es Salaam jana, Dk. Masaburi ambaye ni Meya wa Jiji la Dar es Salaam aanayemaliza muda wake alisema amefanya utafiti wa kutosha na kugundua kuwa anakubalika na anaweza kulibadili jimbo hilo.

Jimbo la Ubungo kwa miaka mitano iliyopita...

 

10 years ago

Habarileo

Waendesha pikipiki kushtaki Jiji

UMOJA wa waendesha pikipiki Mkoa wa Dar es Salaam umekusudia kufungua kesi katika Mahakama Kuu kupata taarifa ya mipaka ya Mjini Kati (CBD) baada ya juhudi za mawasiliano na Hamashauri ya Jiji kushindikana.

 

10 years ago

Habarileo

RC atishia kukwamisha bajeti

MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Magesa MulongoMKUU wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo ametishia kutopitisha bajeti ya halmashauri ya wilaya ya Magu, iwapo kijiji cha Kahangara hakitakuwemo kwenye bajeti ya kuvutiwa maji ya bomba.

 

10 years ago

Vijimambo

Muuguzi atishia kuvunja karantini

Muuguzi aliyewekwa chini ya karantini alipowasili Marekani baada ya kuwatibu wagonjwa wa Ebola nchini Sierra Leone ametishia kutoka nyumbani kwake alikozuiliwa iwapo masharti ya kumzuilia hayataondolewa.

Kaci Hickox, ambaye hadi kufikia sasa amekuwa akishirikiana na maafisa wa afya wa jimbo la Maine, anasema kuwa yeye ni mzima kabisa na hana dalili zo zote za maradhi hayo.

Hali yake imemulika tofauti kubwa zilizopo kati ya idara za afya za Serikali ya Taifa na Serikali za majimbo katika...

 

9 years ago

Mwananchi

Maxime atishia kuiondoa Mtibwa

Kocha wa Mtibwa Sugar, Mecky Maxime ametoa vitisho kwa waandaaji wa Kombe la Mapinduzi kuwa endapo kikosi chake kitaendelea kupokonywa ushindi kwa makosa ya waamuzi anaweza asikubali kuja na kikosi chake katika msimu ujao wa mashindano hayo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbunge CCM atishia kujiuzulu

MBUNGE wa Nyang’hwale mkoani Geita, Hussein Amar (CCM), ametishia kujiuzulu ikiwa serikali haitawawajibisha watendaji wa Wizara ya Maji, na wale wa halmashauri ya wilaya hiyo wanaotuhumiwa kuhujumu mamilioni ya fedha...

 

11 years ago

Habarileo

Simba atishia usalama wa wanakijiji

WAKAZI wa kijiji cha Pera, kata ya Pera, wilaya ya Bagamoyo, mkoani Pwani, wapo katika hatari ya kupoteza maisha kutokana na simba kuonekana kijijini hapo akitishia maisha yao.

 

11 years ago

Mwananchi

Kocha wa Mgambo atishia kuondoka

Kocha wa Mgambo Shooting, Bakari Shime amesema kwamba atajiengua kuinoa timu hiyo baada ya kumalizika kwa Ligi Kuu msimu huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani