Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waendesha pikipiki kushtaki Jiji

UMOJA wa waendesha pikipiki Mkoa wa Dar es Salaam umekusudia kufungua kesi katika Mahakama Kuu kupata taarifa ya mipaka ya Mjini Kati (CBD) baada ya juhudi za mawasiliano na Hamashauri ya Jiji kushindikana.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Waendesha Pikipiki Wilayani Temeke wakutana

Umoja wa Waendesha Pikipiki wilayani Temeke ( UWAPITE) umekutana na kufanya mkutano wao mkuu leo katika ukumbi wa CCM kata 14 Temeke. Mgeni rasmi alikuwa ni Mjumbe wa NEC Ndg. Phares Magesa, ambaye aliwataka wanaboda boda hao kutii sheria na taratibu zote kama walivyotakiwa na Mamlaka husika, pia Ndg. Magesa aliwaasa wanabodaboda hao kuimarisha Umoja wao ili waweze kufanikiwa kufikia malengo yao. Ndg. Magesa aliahidi kufikisha katika Mamlaka husika mambo mbalimbali ambayo wanabodaboda hao...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Waendesha pikipiki, abiria wafa ajalini

WATU watatu wamefariki dunia jijini Dar es Salaam juzi kwenye matukio tofauti, likiwemo la dereva wa pikipiki, Ramadhani Bakari (22), mkazi wa Yombo kumgonga mtembea kwa miguu. Kamanda wa Polisi...

 

11 years ago

Habarileo

Waendesha pikipiki wafa wakionesha mbwembwe

VIJANA wawili ambao ni waendesha pikipiki maarufu kwa jina la bodaboda, wamekufa papo hapo baada ya kugongwa na gari la Serikali mali ya Idara ya Afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Bunda mkoni Mara.

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA RUVUMA AKUTANA NA WAENDESHA PIKIPIKI SONGEA

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu akizungumza na waendesha pikipiki (Maarufu kama  Boda Boda) leo hii katika ukumbi wa Songea Club uliopo Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma. Mwambungu amewataka dereva Boda boda kuepusha ajali za barabarani kwa kufuata sheria,kutotumiwa katika maandamano ya kisiasa ambayo yanapelekea uvunjifu wa amani na kuwafanya wapoteze maisha ama kuwafanya kuwa walemavu. Pichani ni umati wa waendesha pikipiki wa Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma wakimsikiliza...

 

11 years ago

Michuzi

MTUHUMIWA WA WIZI WA PIKIPIKI AOKOLEWA NA ASKARI POLISI MOSHI ,NUSURA WAENDESHA BODABODA WAMTOE ROHO

Askari polisi wa kituo cha kikuu cha Polisi cha kati akiwa amemshikilia kijana mmoja baada ya kumokoa toka mikononi mwa madereva bodaboda ambao walikwishaanza kujichukulia hatua mkononi kwa kumuadhibu baada ya kutaka kuiba pikipiki. Askari katika ofisi za kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro walilazimika kufunga geti kuzuia kundi kubwa la madereva boda boda na watu wengine wakilazimisha kuingia ili kumfuata mwizi wao wa pikipiki. Madereva hao walionekana kukerekwa na kuzuiwa...

 

11 years ago

GPL

WAENDESHA BODABODA JIJI LA MBEYA WAPATA VIONGOZI WAPYA

Baadhi ya waendesha Bodaboda jiji la Mbeya wakiwa wamekusanyika kujiandaa kuchagua viongozi watakaowaongoza uchaguzi huo ulifanyika katika kiwanja cha Luanda Nzovwe jijini Mbeya.…

 

10 years ago

Michuzi

GREEN WASTE PRO ltd WAENDESHA KAMPENI YA WIKI TATU YA KUFANYA USAFI KATIKATI YA JIJI

DSC_0355
Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya usafi ya Green Waste Pro Ltd. wadau na wananchi wakijipanga tayari kuanza kampeni ya wiki tatu ya kusafisha maeneo mbalimbali ya katikati ya jiji iliyozinduliwa rasmi na Mkuu wa wilaya ya Ilala, Raymond Mushi ikiwa ni awamu ya kwanza kwa mwaka huu kabla ya kuelekea kwenye kata nyingine mbili zilimo ndani ya manispaa ya Ilala wakishirikiana na wananchi.
Na Mwandishi wetuWILAYA ya Ilala imeanzisha kampeni ya wiki tatu ya usafi katika maeneo yaliyopo katikati...

 

10 years ago

GPL

GREEN WASTE PRO LTD WAENDESHA KAMPENI YA WIKI 3 YA KUFANYA USAFI KATIKATI YA JIJI‏

Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya usafi ya Green Waste Pro Ltd. wadau na wananchi wakijipanga tayari kuanza kampeni ya wiki tatu ya kusafisha maeneo mbalimbali ya katikati ya jiji iliyozinduliwa rasmi na Mkuu wa wilaya ya Ilala, Raymond Mushi ikiwa ni awamu ya kwanza kwa mwaka huu kabla ya kuelekea kwenye kata nyingine mbili zilimo ndani ya manispaa ya Ilala wakishirikiana na wananchi. Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya usafi...

 

10 years ago

Michuzi

NGO's YA APEC KWA KUSHIRIKIANA NA JESHI LA POLISI DODOMA YAFUNGA MAFUZO KWA WAENDESHA PIKIPIKI (BODABODA) MKOANI HUMO

 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma,SACP David Misime akiongea katika kufunga mafuzo kwa waendesha pikipiki (Bodaboda) wa Manispaa ya Dodoma yaliyoendeshwa na Shirika lisilo la kiserikali la –APEC - kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi.Muwakilishi wa Waendesha Pikipiki (Bodaboda) Mkoa wa Dodoma, Bw. Erasto Kasugu akisoma risala kwa mgeni rasmi,wakati wa kufunga mafuzo kwa waendesha pikipiki (Bodaboda) wa Manispaa ya Dodoma yaliyoendeshwa na Shirika lisilo la kiserikali la –APEC - kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani