Mnyika atishia kuwataja vigogo
Wakati huohuo, Waziri Kivuli wa Nishati na Madini, John Mnyika ametishia kuwataja kwa majina vigogo wa Serikali na CCM aliosema wako nyuma ya ‘kashfa’ kuhusu mgogoro huo ili waweze kuhojiwa kwa umma iwapo Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo hatajitokeza kufafanua kauli alizozitoa bungeni kutuhumu IPTL.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo28 Oct
Mnyika atishia kushtaki
MBUNGE wa Ubungo John Mnyika amemtaka Waziri Mkuu ambaye ni Msimamizi Mkuu wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utaokafanyika Desemba mwaka huu, kufanya marekebisho ya kanuni za uchaguzi kwa kuwa zina upungufu mwingi, la sivyo atafungua kesi mahakamani kupinga kanuni hizo.
10 years ago
Raia Tanzania23 Jul
Masaburi atishia ubunge wa Mnyika
KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Didas Masaburi, ametamba kuwa ana uwezo wa kupambana na kumng’oa Mbunge wa Ubungo, John Mnyika (Chadema) kwenye Uchaguzi Mkuu ujao.
Akizungumza katika mkutano na wanafunzo wa vyuo vikuu mbalimbali jijini Dar es Salaam jana, Dk. Masaburi ambaye ni Meya wa Jiji la Dar es Salaam aanayemaliza muda wake alisema amefanya utafiti wa kutosha na kugundua kuwa anakubalika na anaweza kulibadili jimbo hilo.
Jimbo la Ubungo kwa miaka mitano iliyopita...
11 years ago
Tanzania Daima08 Feb
Mnyika: Vigogo wa ujangili waanikwe
MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika (CHADEMA), ameitaka serikali kuyaweka wazi majina ya vigogo wanaotuhumiwa kujihusisha na matukio ya ujangili wa kuua tembo na faru kwenye hifadhi za taifa kabla ya...
11 years ago
Tanzania Daima07 Feb
Polisi yashindwa kuwataja waliomjeruhi Kitange
JESHI la Polisi jijini Dar es Salaam limeendelea kupata kigugumizi cha kutaja hadharani majina ya askari wake wanaotuhumiwa kumpiga na kumvunja mikono Kulwa Kitange (40) mkazi wa Kigamboni wakimtuhumu kwa...
11 years ago
Habarileo17 Dec
SMZ yatafakari sheria kuwataja wauza ‘unga’
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema bado inatafakari kuhusu kuwepo kwa sheria ya kuwataja watu wanaojishughulisha na dawa za kulevya hadharani kama ilivyo Tanzania Bara.
11 years ago
GPLSTEVE NYERERE AGOMA KUWATAJA MASHOGA BONGO MOVIE
10 years ago
Mwananchi08 May
JWTZ kuwataja waliouawa DRC miili yao itakapowasili nyumbani
10 years ago
Habarileo05 Feb
RC atishia kukwamisha bajeti
MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo ametishia kutopitisha bajeti ya halmashauri ya wilaya ya Magu, iwapo kijiji cha Kahangara hakitakuwemo kwenye bajeti ya kuvutiwa maji ya bomba.
10 years ago
Vijimambo30 Oct
Muuguzi atishia kuvunja karantini
Kaci Hickox, ambaye hadi kufikia sasa amekuwa akishirikiana na maafisa wa afya wa jimbo la Maine, anasema kuwa yeye ni mzima kabisa na hana dalili zo zote za maradhi hayo.
Hali yake imemulika tofauti kubwa zilizopo kati ya idara za afya za Serikali ya Taifa na Serikali za majimbo katika...