Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi yashindwa kuwataja waliomjeruhi Kitange

JESHI la Polisi jijini Dar es Salaam limeendelea kupata kigugumizi cha kutaja hadharani majina ya askari wake wanaotuhumiwa kumpiga na kumvunja mikono Kulwa Kitange (40) mkazi wa Kigamboni wakimtuhumu kwa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MAHAKAMA YASHINDWA KUSOMA HUKUMU YA KESI YA KUZUIA POLISI KUFANYA KAZI INAYOMKABILI MKURUGENZI JAMII FORUMS

Na Karama Kenyunko, Michuzi Globu ya jamii
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa mara nyingine tena imeshindwa kusoma hukumu ya kesi ya kuzuia Jeshi la Polisi kufanya uchunguzi, inayomkabili, Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jamii Forums Maxence Melo na mwenzake Micke William kwa sababu Hakimu aliyesikiliza kesi hiyo leo amepata udhuru.
Kwa mara ya kwanza kesi hiyo ilipangwa kutolewa hukumu Novemba 26, mwaka 2019 lakini iliahirishwa kutokana na Hakimu kutomaliza kuandaa hukumu na kupanga...

 

11 years ago

Mwananchi

Mnyika atishia kuwataja vigogo

Wakati huohuo, Waziri Kivuli wa Nishati na Madini, John Mnyika ametishia kuwataja kwa majina vigogo wa Serikali na CCM aliosema wako nyuma ya ‘kashfa’ kuhusu mgogoro huo ili waweze kuhojiwa kwa umma iwapo Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo hatajitokeza kufafanua kauli alizozitoa bungeni kutuhumu IPTL.

 

11 years ago

Habarileo

SMZ yatafakari sheria kuwataja wauza ‘unga’

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema bado inatafakari kuhusu kuwepo kwa sheria ya kuwataja watu wanaojishughulisha na dawa za kulevya hadharani kama ilivyo Tanzania Bara.

 

11 years ago

GPL

STEVE NYERERE AGOMA KUWATAJA MASHOGA BONGO MOVIE

Na Shakoor Jongo MWENYEKITI wa Klabu ya Bongo Movie, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amekataa katakata kuwataja wanachama wanaodaiwa ni mashoga ndani ya klabu hiyo ya jijini Dar. Pichani ni baadhi ya wasanii wa Bongo Muvi. Akizungumza na Amani juzikati jijini Dar baada ya kuombwa kuwataja wadaiwa hao, Steve alisema hashindwi kuyaanika majina yao, bali uongozi wake kwenye chama hicho si kuingilia mambo binafsi bali...

 

10 years ago

Mwananchi

JWTZ kuwataja waliouawa DRC miili yao itakapowasili nyumbani

>Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ), limesema majina ya wapiganaji wa Tanzania waliofariki dunia kwa kushambuliwa na waasi wa ADF huko Jamhuri ya Demokrasia ya Congo (DRC) yatatajwa baada ya miili hiyo kuwasili nchini.

 

11 years ago

BBCSwahili

EU yashindwa na hali Ukraine

Wajumbe wa Umoja wa Ulaya wamelazimika kuondoka mjini Kiev bila kukutana na Rais Vitor Yanukovic kutokana na utovu wa usalama

 

9 years ago

BBCSwahili

Kenya yashindwa kwenye Marathon

Kinyume na matarajio ya wengi wanariadha wakenya hawakutamba katika mbio za kufungua makala ya mwaka huu ya mashindano ya riadha ya dunia Beijing

 

10 years ago

BBCSwahili

NASA yashindwa kubaini vimondo

Shirika la safari za anga la juu nchini Marekani NASA,imeoneshwa ukinzani kutokana na kushindwa kung'amua vitu vya hatari angani.

 

10 years ago

Mtanzania

Yanga yashindwa kuikamata Azam

01(3)NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
TIMU ya Yanga jana ilishindwa kuwakamata vinara wa Ligi Kuu ya Vodacom, Azam FC walio kileleni kwenye msimamo baada ya kulazimishwa sare ya bila kufungana na Ndanda ya Mtwara, mchezo uliofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Sare hiyo imeifanya Yanga kufikisha jumla ya pointi 19 ikizidiwa pointi mbili na vinara Azam, Mtibwa Sugar ni ya tatu ikiwa na pointi 18 sawa na Polisi Morogoro na JKT Ruvu zilizo nafasi ya nne na tano, Simba yenyewe ipo nafasi ya saba...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani