Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga yashindwa kuikamata Azam

01(3)NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
TIMU ya Yanga jana ilishindwa kuwakamata vinara wa Ligi Kuu ya Vodacom, Azam FC walio kileleni kwenye msimamo baada ya kulazimishwa sare ya bila kufungana na Ndanda ya Mtwara, mchezo uliofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Sare hiyo imeifanya Yanga kufikisha jumla ya pointi 19 ikizidiwa pointi mbili na vinara Azam, Mtibwa Sugar ni ya tatu ikiwa na pointi 18 sawa na Polisi Morogoro na JKT Ruvu zilizo nafasi ya nne na tano, Simba yenyewe ipo nafasi ya saba...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Yanga yashindwa kufutukuta mbele ya Ndanda,zatoka suluhu kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar leo

 Mshambuliaji Machachari wa timu ya Ndanda,Masoud Ally akitoa pasi maridadi kabisa mbele ya beki wa timu ya Yanga,Juma Abdul wakati wa mtanange wa ligi kuu Tanzania Bara,uliomalizika hivi punde kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Mechi hiyo imemalizika kwa suluhu ya 0-0.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI. Mshambuliaji wa timu ya Ndanda,Omega Seme akiangalia namna ya kumtoka Beki wa Yanga,Oscar Joshua mtanange wa ligi kuu Tanzania Bara,uliomalizika hivi punde kwenye Uwanja wa Taifa jijini...

 

9 years ago

MillardAyo

Picha kutoka chimbo la Alikiba na watu wake wakijiandaa kuikamata stage Escape 1 December 26

Mwaka 2015 unaisha huku staa wa Bongofleva akiandika rekodi nzuri na ya nguvu kabisa, ni rekodi ya kurudi kwenye game na kuachia ngoma nyingi ambazo zote zimepokelewa kwa mikono miwili. December 26 2015 stage ya Escape One, Mikocheni Dar es Salaam itashuhudia Alikiba akidondosha burudani ya nguvu kama shukrani kwa watu wake waliompokea vizuri kwenye […]

The post Picha kutoka chimbo la Alikiba na watu wake wakijiandaa kuikamata stage Escape 1 December 26 appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

Habarileo

Ni Yanga na Azam

MBIO za kukalia kiti cha uongozi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, sasa zimebaki kuwa za timu mbili za Yanga na Azam FC, ambao wamekuwa wakibadilishana katika nafasi ya kwanza na pili.

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga waikataa Azam Tv

Wanachama wa Yanga wameikataa Azam Tv kurusha mechi zao na kuwataka viongozi wao kuipeleka mahakamani kama itakaidi na kuendelea kurusha mechi za Yanga bila idhini ya klabu hiyo.

 

9 years ago

Habarileo

Yanga, Azam usihadithiwe

AZAM FC ina kibarua kigumu cha kufuta uteja kwa Yanga katika mechi za Ngao ya Jamii wakati zitakapomenyana leo katika mechi ya kufungua msimu wa 2015-16 kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

10 years ago

GPL

Yanga yaivurugia Azam

Wachezaji wa Yanga, wakishangilia goli. Na Sweetbert Lukonge,Dar es Salaam
YANGA leo Jumamosi inacheza na Mgambo JKT katika Ligi Kuu Bara, lakini imeonyesha jeuri ya fedha kwa kumuweka katika mawindo yake beki wa kushoto Samir Nuhu ambaye Azam FC ilikuwa katika mpango mkali wa kumrudisha kundini. Nuhu, kabla ya kuumia goti hivi karibuni na kupelekwa India kufanyiwa upasuaji, alikuwa akiitumikia Azam vizuri lakini tangu...

 

9 years ago

TheCitizen

Yanga down Azam on penalties

The National Stadium turned into a sea of green and yellow when Mainland champions Young Africans beat Azam FC 8-7 on post-match penalties in the Community Shield match yesterday.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani