Yanga yaivurugia Azam

Wachezaji wa Yanga, wakishangilia goli. Na Sweetbert Lukonge,Dar es Salaam YANGA leo Jumamosi inacheza na Mgambo JKT katika Ligi Kuu Bara, lakini imeonyesha jeuri ya fedha kwa kumuweka katika mawindo yake beki wa kushoto Samir Nuhu ambaye Azam FC ilikuwa katika mpango mkali wa kumrudisha kundini. Nuhu, kabla ya kuumia goti hivi karibuni na kupelekwa India kufanyiwa upasuaji, alikuwa akiitumikia Azam vizuri lakini tangu...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo03 Nov
Ni Yanga na Azam
MBIO za kukalia kiti cha uongozi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, sasa zimebaki kuwa za timu mbili za Yanga na Azam FC, ambao wamekuwa wakibadilishana katika nafasi ya kwanza na pili.
10 years ago
BBCSwahili16 Feb
Azam na Yanga zinamatumaini
10 years ago
Habarileo30 Jul
Yanga, Azam patachimbika
YANGA na Azam zinakutana leo kwenye mechi ya robo fainali ya michuano ya Kombe la Kagame katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
11 years ago
Mwananchi15 Mar
Yanga, Azam kikaangoni
11 years ago
TheCitizen26 Feb
Azam FC out to topple Yanga
11 years ago
Mwananchi19 Jan
Azam TV ni ajenda Yanga
10 years ago
Habarileo22 Aug
Yanga, Azam usihadithiwe
AZAM FC ina kibarua kigumu cha kufuta uteja kwa Yanga katika mechi za Ngao ya Jamii wakati zitakapomenyana leo katika mechi ya kufungua msimu wa 2015-16 kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
10 years ago
Mwananchi24 Sep
Yanga, Azam TV waelewana