Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWIMBIE KAMA KWELI UNAMPENDA NA KUMJALI NA KAMA ANAKUJALI PIA

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KAMA KWELI UNAMPENDA UNAKUBALIJE KUMUACHA KIRAHISI?

Ninachotaka kukizungumzia leo ni kuhusu watu kuachana katika mazingira ambayo wengi wasingetarajia. Zipo ndoa ambazo zimefungwa kwa mbwembwe sana lakini hazikudumu na ukiuliza utaambiwa chanzo ni mambo madogomadogo tena ya kuvumilika. Yapo ambayo kiukweli hayavumiliki kabisa. Kuna sababu ambazo ukitajiwa kuwa ndizo zilizosababisha  flani na flani kuachana, utasema hata ingekuwa wewe usingeweza kuvumilia lakini kuna nyingine...

 

9 years ago

Bongo5

Young Killer atoa ufafanuzi kuhusu kama kweli amejiunga rasmi Mtu Chee, na kama ana beef na Young Dee baada ya kum-unfollow Instagram

Wiki iliyopita mmoja wa waanzilishi wa kundi la Mtu Chee, Country Boy alisema kuwa Young Dee amejiengua kwenye kundi hilo na nafasi yake imechukuliwa na Young Killer. Wiki hii kuna cover imeanza kusambazwa ya ngoma mpya ya Mtu Chee ambayo kweli wanaonekana Country Boy, Stamina na Young Killer. Bongo5 imemtafuta Young Killer kutaka kufahamu kuhusu […]

 

11 years ago

Michuzi

hoja ya haja: Mimi wa Ughaibuni kama Diaspora pia ni Mtanzania

Swali muhimu tunaloulizwa Watanzania tunaoishi ughaibuni ni: tunataka nini hasa kwenye katiba mpya? Na ni kwa namna gani tunataka changamoto zetu ziingizwe kwenye katiba mpya? Katika kipindi hiki cha Bunge Maalumu la Katiba tumeonelea ni muafaka kuyapatia majibu maswali haya.
Kwa kuanzia na bila kupoteza muda, Watanzania wa ughaibuni tunataka masuala yafuatayo yaingizwe kwenye katiba mpya: ·      Uraia wa nchi mbili; ·      Haki ya kurudi Tanzania kwa Watanzania na Watu wenye asili ya...

 

11 years ago

Michuzi

aluta kontinyua: hoja ya haja: Mimi wa Ughaibuni kama Diaspora pia ni Mtanzania...

Kwa muda wa wiki sasa Watanzania tunaoishi ughaibuni tumekuwa tukiendesha kampeni yakuelimisha umma kuhusu maombi yetu ya kupatiwa haki ya kikatiba ya kuwa na uraia pacha. “Mimi ni Mtanzania” ni ukweli uliopo kwa mtu yeyote mwenye asili ya Tanzania bila ya kujali anaishi Tanzania au ughaibuni.  Leo tunapenda kutoa wito kwa serikali, kwa Bunge Maalumu la Katiba na kwa vyama vyote vya kisiasa katika jitihada zetu za kuwasilisha maombi yetu ya uraia pacha kwenye Bunge Maalumu la Katiba ili...

 

9 years ago

Global Publishers

Ray C, kama ni kweli unamuaibisha JK kwa makusudi

ray-c1 (1) Rehema Chalamila Ray C.

MIONGONI mwa wasanii ambao wanabeba nembo ya Muziki wa Kizazi Kipya upande wa wanawake, huwezi kuacha kulitaja kwa kujiamini kabisa jina la Rehema Chalamila, ambaye mashabiki wanamtambua zaidi kama Ray C.

Alifanya kazi kubwa, siyo tu kuonesha kuwa wanawake wanaweza, bali pia kuthibitisha kiasi kikubwa cha ubora wake katika tungo, uimbaji na zaidi, uwezo wa kutumia mwili wake kuvutia mashabiki kwa kuonesha manjonjo jukwaani.

Jambo hili lilisababisha kupata wafuasi...

 

10 years ago

Mwananchi

NEC ijipambanue kama mtoa haki wa kweli

Hakuna anayeweza kubisha kwamba Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), sasa inakabiliwa na wakati mgumu pengine kuliko wakati mwingine wowote katika kipindi cha miaka 38 ya uhai wake.

 

10 years ago

Vijimambo

KAMA KWELI BASI KILA LA KHELI SAMATTA

Mshambuliaji Mbwana Samatta.Na Mwandishi Wa:GPL
HUU utakuwa ni mwaka wa neema kwa mshambuliaji Mbwana Samatta wa TP Mazembe kwa kuwa timu nne za Ulaya zimeonyesha nia ya kumchukua.Habari za uhakika zimelifikia gazeti hili kuwa, timu nne kati ya hizo ambazo ni kutoka katika nchi za Ufaransa na Italia, zimeonyesha nia ya kufanya kazi na mshambuliaji huyo Mtanzania.
“Kweli tunayajua majina ya timu nne, kumekuwa na mawasiliano kupitia meneja wake Tanzania pamoja na uongozi wa TP Mazembe,”...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kweli itashinda kesho kama leo haitoshi!

RAIS wangu kilio chako ulichokitoa Uchina, Dunia imekisikia na kwa watu wako wa Tanzania kimewafikia, lakini Ulimwengu unakitafakari kilio hicho! Baba kwanini ulikwenda kulilia kwa watu baki wasiokujua? Kama kazi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani