KAMA KWELI BASI KILA LA KHELI SAMATTA
Mshambuliaji Mbwana Samatta.Na Mwandishi Wa:GPL
HUU utakuwa ni mwaka wa neema kwa mshambuliaji Mbwana Samatta wa TP Mazembe kwa kuwa timu nne za Ulaya zimeonyesha nia ya kumchukua.Habari za uhakika zimelifikia gazeti hili kuwa, timu nne kati ya hizo ambazo ni kutoka katika nchi za Ufaransa na Italia, zimeonyesha nia ya kufanya kazi na mshambuliaji huyo Mtanzania.
“Kweli tunayajua majina ya timu nne, kumekuwa na mawasiliano kupitia meneja wake Tanzania pamoja na uongozi wa TP Mazembe,”...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/fXC81QWTphU/default.jpg)
9 years ago
MillardAyo22 Dec
Kama watatengeneza ndege kama hii, basi ajali ikitokea inawezekana abiria wakaokolewa wote
Wanasema usafiri wa ndege ni usafiri salama zaidi duniani…. kwenye hii jamaa wamewaza ni jinsi gani abiria wanaweza kutolewa kwenye ndege bila shida… kwenye hii video hapa chini utaweza kujionea mwenyewe… ili kuitazama video subiria sekunde kadhaa itatokea. A inovação na tecnologia e indústria aeronáutica continua a surpreender. Este modelo apresenta uma estrutura completa maciça […]
The post Kama watatengeneza ndege kama hii, basi ajali ikitokea inawezekana abiria wakaokolewa wote appeared...
9 years ago
Mwananchi08 Nov
Kila kona ni Samatta, Ulimwengu
9 years ago
Bongo513 Oct
Young Killer atoa ufafanuzi kuhusu kama kweli amejiunga rasmi Mtu Chee, na kama ana beef na Young Dee baada ya kum-unfollow Instagram
10 years ago
Mwananchi11 Aug
NEC ijipambanue kama mtoa haki wa kweli
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DIpsX3jcHzPVa-l9CiFdpFaT5OElnMMqg5ZUb-ewKN0EfoZFvtmYOdl2HENB04L6jMGL82pO-QwoCzDMjnF-1X5YM8CB-umm/1.jpg)
KAMA KWELI UNAMPENDA UNAKUBALIJE KUMUACHA KIRAHISI?
9 years ago
Global Publishers01 Jan
Ray C, kama ni kweli unamuaibisha JK kwa makusudi
Rehema Chalamila Ray C.
MIONGONI mwa wasanii ambao wanabeba nembo ya Muziki wa Kizazi Kipya upande wa wanawake, huwezi kuacha kulitaja kwa kujiamini kabisa jina la Rehema Chalamila, ambaye mashabiki wanamtambua zaidi kama Ray C.
Alifanya kazi kubwa, siyo tu kuonesha kuwa wanawake wanaweza, bali pia kuthibitisha kiasi kikubwa cha ubora wake katika tungo, uimbaji na zaidi, uwezo wa kutumia mwili wake kuvutia mashabiki kwa kuonesha manjonjo jukwaani.
Jambo hili lilisababisha kupata wafuasi...
10 years ago
Tanzania Daima29 Oct
Kweli itashinda kesho kama leo haitoshi!
RAIS wangu kilio chako ulichokitoa Uchina, Dunia imekisikia na kwa watu wako wa Tanzania kimewafikia, lakini Ulimwengu unakitafakari kilio hicho! Baba kwanini ulikwenda kulilia kwa watu baki wasiokujua? Kama kazi...
5 years ago
BBCSwahili03 Mar
Huyu ni shabiki wa Samatta maarufu kama ‘Ujugu’ ambaye amekuwa akimfuatilia unyounyo.