Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ray C, kama ni kweli unamuaibisha JK kwa makusudi

ray-c1 (1) Rehema Chalamila Ray C.

MIONGONI mwa wasanii ambao wanabeba nembo ya Muziki wa Kizazi Kipya upande wa wanawake, huwezi kuacha kulitaja kwa kujiamini kabisa jina la Rehema Chalamila, ambaye mashabiki wanamtambua zaidi kama Ray C.

Alifanya kazi kubwa, siyo tu kuonesha kuwa wanawake wanaweza, bali pia kuthibitisha kiasi kikubwa cha ubora wake katika tungo, uimbaji na zaidi, uwezo wa kutumia mwili wake kuvutia mashabiki kwa kuonesha manjonjo jukwaani.

Jambo hili lilisababisha kupata wafuasi...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Kilio cha Ray C chazusha mjadala kama kweli Methadone ni tiba inayomfaa!

Rehema Chalamila aka Ray C aliyesifika kwa sauti tamu ya kuimba na kiuno chake bila mfupa, bado anakabiliwa na vikwazo vingi katika vita yake ya kurejea kwenye hali yake ya kawaida baada ya kuwa mwathirika wa madawa ya kulevya. Kwa wengi ukiangalia na mahala alipokuwa amefika kabla ya kuanza kupewa tiba, Ray C alipata ‘second […]

 

10 years ago

Bongo Movies

Ray: Napata Wasiwasi Kama Tunaweza Kumpata Rais Kama Kikwete

Napata kigugumizi na mgagasuko mkubwa sana ndani ya kilindi cha moyo wangu, kama tutaweza kumpata Rais atakaye tuthamini kama wewe baba yetu, Mh. Rais Jakaya Mrisho Kikwete.

Wewe ni kiongozi wa mfano wa kuigwa na hao watakaokupokea kijiti chako, nimeilewa sana hotuba yako siku ya leo (jana) hasa pale uliposema Bongo Fleva na Bongo Movie wameitangaza sana nchi yako ya Tanzania kimataifa na kusahau hata yale machungu unayoyapataga kwenye soka tutakukumbuka sana rais wetu

Vicent Kigosi “Ray”...

 

10 years ago

GPL

RAY VIPI, AU WALIYOKUWA WAKISEMA NI KWELI?

SEKTA ya filamu katika Tanzania ni kama imesimama, haionekani kwenda au kurudi, ingawa kwa kawaida hali inapokuwa hivi, ni kama inaangamia. Sinema inayotengenezwa mwaka huu, inatakiwa iwe tofauti kabisa na iliyoshutiwa mwaka jana au juzi. Licha ya watu wengi kuipenda fani hii na hivyo kuwa wanunuzi wazuri wa kazi zao, bado wasanii wetu hawaonekani kuelewa kelele zinazopigwa juu ya ubora wa kazi zao, kwa maana ya mtiririko mzuri...

 

9 years ago

Bongo5

Young Killer atoa ufafanuzi kuhusu kama kweli amejiunga rasmi Mtu Chee, na kama ana beef na Young Dee baada ya kum-unfollow Instagram

Wiki iliyopita mmoja wa waanzilishi wa kundi la Mtu Chee, Country Boy alisema kuwa Young Dee amejiengua kwenye kundi hilo na nafasi yake imechukuliwa na Young Killer. Wiki hii kuna cover imeanza kusambazwa ya ngoma mpya ya Mtu Chee ambayo kweli wanaonekana Country Boy, Stamina na Young Killer. Bongo5 imemtafuta Young Killer kutaka kufahamu kuhusu […]

 

10 years ago

Habarileo

Wanaoambukiza Ukimwi kwa makusudi kushughulikiwa

SERIKALI wilayani Kiteto mkoani Manyara imewataka watu wanaoishi na Virusi Vya Ukimwi kuacha kuambukiza wengine kwa makusudi kwa kufanya ngono zembe.

 

5 years ago

BBCSwahili

'Ninajuta kutoa mimba 5 kwa makusudi'

Martha Anne Bwore mwanaharakati anayepinga uavyaji mimba nchini Kenya azungumzia hofu na mahangaiko aliyoyapitia yeye na wasichana wengine.

 

11 years ago

GPL

CHUCHU NA RAY KAMA KIM NA KANYE

KUKOPI na kupesti bila kuboresha! Mastaa wenye mapenzi kama ya njiwa kutoka kiwanda cha filamu za Kibongo, Chuchu Hans na Vincent Kigosi ‘Ray The Greatest’ wamekuwa wakitupia swaga za picha kama zile za Kim Kardashian na mwandani wake, Kanye West. Wasanii wa filamu za Kibongo, Chuchu Hans na Vincent Kigosi ‘Ray The Greatest’ wakijiachia. Kupitia kurasa zao za mitandao ya kijamii, Chuchu na Ray ambao...

 

10 years ago

Bongo Movies

Ray: Wasanii Tusitumike Kama ‘Big G’

Staa wa Bongo Movies, Vicent Kigosi amewatahadhalisha wasanii wenzake kuwa wasitumike kwenye kampeni za uchaguzi za mwaka huu bila kuangalia nani hasa atakaesaidia tasnia ya sanaa.

Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao picha wa instagram, Ray aliandika

Wasanii tuwe makini sana na campaign za siasa za mwaka huu tusitumike kama bigijii watutafune alafu watuteme, tuwe makini kumsapoti mgombea atakayesaidia tasnia ili maisha yetu yasogee hata kumi mbele, si kwa kudaganywa na pesa. Utabaki kuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani