Ray: Wasanii Tusitumike Kama ‘Big G’
Staa wa Bongo Movies, Vicent Kigosi amewatahadhalisha wasanii wenzake kuwa wasitumike kwenye kampeni za uchaguzi za mwaka huu bila kuangalia nani hasa atakaesaidia tasnia ya sanaa.
Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao picha wa instagram, Ray aliandika
Wasanii tuwe makini sana na campaign za siasa za mwaka huu tusitumike kama bigijii watutafune alafu watuteme, tuwe makini kumsapoti mgombea atakayesaidia tasnia ili maisha yetu yasogee hata kumi mbele, si kwa kudaganywa na pesa. Utabaki kuwa...
Bongo Movies
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania