WASTARA: WANASIASA WANATUTUMIA KAMA BIG G TU
![](http://api.ning.com:80/files/gikBPgJguSX7-fzK3kg5cpDZiVnWlYDzDe6g-L5gm0JjFDbU6xVdcF3e3eP2EK3QcEic-zGhNXHudovZD10WlWqX3B8xDDgj/Wastara.jpg)
Hamida Hassan Staa wa filamu za Kibongo Wastara Juma, ameibuka na kusema kuwa wanasiasa wanawatumia wasanii wakiwa na shida zao lakini wakishapata uongozi huwasahau na kuwaona ni wasumbufu pale wanapohitaji msaada. Staa wa filamu za Kibongo Wastara Juma. Akipiga stori na Ijumaa hivi karibuni, Wastara alisema kuwa kwa sasa wao watakuwa lulu kwa wanasiasa na kutumiwa ipasavyo lakini baada ya mchakato wa uchaguzi kuisha wataonwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies23 Feb
Wastara: Cheka Kinafiki Kama Ulienae Mnafiki!
Mrembo na mwigizaji wa filamu, Wastara Juma alifunguka mtandaoni kama ifuatavyo;
"Siku zote napenda kusmile hata kama nina magumu napitia, siku zote moyo wangu baridi upoza machngu ninayopewa na ninayotwikwa na kulazimishwa kuumizwa hata kama staki lakini tabasamu moyo wangu uliyopoa sura yangu ya upole isiyo na hatia ndio imekuwa fimbo ya kuchapwa kwa kuamini nina moyo wa kusahau mabaya na mwepesi wa kusamehe".
"Kweli niko hivyo lakini nikikusamehe kwa mabaya uliyonitendea auwezi kuwa na...
10 years ago
Bongo Movies21 May
Wastara: Siwahi Kuona Kiongozi Kama Steve Nyerere
Staa wa Bongo Movies, Wastara Juma amempongeza na kumsifu aliyekuwa mwenyekiti wa klabu ya Bongo Movies Unity, Steven Mengere 'Stive Nyerere' kwa kumuelezea kuwa ni kiongozi anayeweka wajali na kuwafikiria anaowaongoza.
Wastara alieleza hayo mtandaoni mara baada ya kuweka picha hiyo hapo juu ya Steve Nyerere akiwa kwenye kaburi la marehemu Adam Kumbiana.
“Hongera kaka kwa kikubwa ulichokifanya maneno yasikuludishe nyuma ukiona unasemwa sana ujue umewashika sijawahi kuona kiongizi wa...
10 years ago
Bongo Movies12 Aug
Ray: Wasanii Tusitumike Kama ‘Big G’
Staa wa Bongo Movies, Vicent Kigosi amewatahadhalisha wasanii wenzake kuwa wasitumike kwenye kampeni za uchaguzi za mwaka huu bila kuangalia nani hasa atakaesaidia tasnia ya sanaa.
Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao picha wa instagram, Ray aliandika
Wasanii tuwe makini sana na campaign za siasa za mwaka huu tusitumike kama bigijii watutafune alafu watuteme, tuwe makini kumsapoti mgombea atakayesaidia tasnia ili maisha yetu yasogee hata kumi mbele, si kwa kudaganywa na pesa. Utabaki kuwa...
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/hKWWybVeX_0/default.jpg)
5 years ago
MichuziTAASISI YA AMANI TANZANIA YAWATAKA WANASIASA KUACHA KUTUMIA JANGA LA CORONA KAMA MTAJI WA KISIASA, WAUNGA MKONO HOTUBA YA RAIS MAGUFULI
10 years ago
Bongo511 Sep
Big Brother Africa ‘Hot Shots’ kufanyika Uingereza kwenye nyumba ya ‘Big Brother ya UK’?
10 years ago
BBC![](http://c.files.bbci.co.uk/25FE/production/_84262790_ohene144.jpg)
5 years ago
The Next Web03 Mar
New research sheds light on the big bang that was bigger than the Big Bang
10 years ago
Bongo Movies10 Jul
Ray: Napata Wasiwasi Kama Tunaweza Kumpata Rais Kama Kikwete
Napata kigugumizi na mgagasuko mkubwa sana ndani ya kilindi cha moyo wangu, kama tutaweza kumpata Rais atakaye tuthamini kama wewe baba yetu, Mh. Rais Jakaya Mrisho Kikwete.
Wewe ni kiongozi wa mfano wa kuigwa na hao watakaokupokea kijiti chako, nimeilewa sana hotuba yako siku ya leo (jana) hasa pale uliposema Bongo Fleva na Bongo Movie wameitangaza sana nchi yako ya Tanzania kimataifa na kusahau hata yale machungu unayoyapataga kwenye soka tutakukumbuka sana rais wetu
Vicent Kigosi “Ray”...