Ray: Napata Wasiwasi Kama Tunaweza Kumpata Rais Kama Kikwete
Napata kigugumizi na mgagasuko mkubwa sana ndani ya kilindi cha moyo wangu, kama tutaweza kumpata Rais atakaye tuthamini kama wewe baba yetu, Mh. Rais Jakaya Mrisho Kikwete.
Wewe ni kiongozi wa mfano wa kuigwa na hao watakaokupokea kijiti chako, nimeilewa sana hotuba yako siku ya leo (jana) hasa pale uliposema Bongo Fleva na Bongo Movie wameitangaza sana nchi yako ya Tanzania kimataifa na kusahau hata yale machungu unayoyapataga kwenye soka tutakukumbuka sana rais wetu
Vicent Kigosi “Ray”...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi22 Aug
UCHAMBUZI: Kwa Kikwete, Magufuli ni kama rais mteule
11 years ago
GPL
CHUCHU NA RAY KAMA KIM NA KANYE
10 years ago
Bongo Movies12 Aug
Ray: Wasanii Tusitumike Kama ‘Big G’
Staa wa Bongo Movies, Vicent Kigosi amewatahadhalisha wasanii wenzake kuwa wasitumike kwenye kampeni za uchaguzi za mwaka huu bila kuangalia nani hasa atakaesaidia tasnia ya sanaa.
Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao picha wa instagram, Ray aliandika
Wasanii tuwe makini sana na campaign za siasa za mwaka huu tusitumike kama bigijii watutafune alafu watuteme, tuwe makini kumsapoti mgombea atakayesaidia tasnia ili maisha yetu yasogee hata kumi mbele, si kwa kudaganywa na pesa. Utabaki kuwa...
9 years ago
Global Publishers01 Jan
Ray C, kama ni kweli unamuaibisha JK kwa makusudi
Rehema Chalamila Ray C.
MIONGONI mwa wasanii ambao wanabeba nembo ya Muziki wa Kizazi Kipya upande wa wanawake, huwezi kuacha kulitaja kwa kujiamini kabisa jina la Rehema Chalamila, ambaye mashabiki wanamtambua zaidi kama Ray C.
Alifanya kazi kubwa, siyo tu kuonesha kuwa wanawake wanaweza, bali pia kuthibitisha kiasi kikubwa cha ubora wake katika tungo, uimbaji na zaidi, uwezo wa kutumia mwili wake kuvutia mashabiki kwa kuonesha manjonjo jukwaani.
Jambo hili lilisababisha kupata wafuasi...
10 years ago
GPL
JOHARI: SIHITAJI MUME STAA KAMA RAY
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Bongo Movies05 Feb
JB na Ray Kucheza Filamu Wakiwa Kama Watoto wa King Majuto
Ndani ya mwaka huu panapo majaliwa, tutajionea filamu kali kutokakwa wakali wa filamu wa hapa Bongo, Jacob Stephen ‘JB’,Vicent Kigosi ‘Ray’na King Majuto.
Akidokeza kuhusu ujio huo, JB alisema kwenye filamu hiyo yeye na Ray watacheza kama watoto wa King Majuto na kwasasa wanatafuta mwigizaji wa kike ili mpango mzima ukamilike.
“Panapo uzima tutakuwa na filamu ya pamoja na king majuto na mwigizaji mmoja wa kike ambaye bado tunamtafuta.mimi na ray tutakuwa watoto wa king”. <span...
10 years ago
Bongo513 Jun
Kilio cha Ray C chazusha mjadala kama kweli Methadone ni tiba inayomfaa!
10 years ago
Vijimambo