Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAY VIPI, AU WALIYOKUWA WAKISEMA NI KWELI?

SEKTA ya filamu katika Tanzania ni kama imesimama, haionekani kwenda au kurudi, ingawa kwa kawaida hali inapokuwa hivi, ni kama inaangamia. Sinema inayotengenezwa mwaka huu, inatakiwa iwe tofauti kabisa na iliyoshutiwa mwaka jana au juzi. Licha ya watu wengi kuipenda fani hii na hivyo kuwa wanunuzi wazuri wa kazi zao, bado wasanii wetu hawaonekani kuelewa kelele zinazopigwa juu ya ubora wa kazi zao, kwa maana ya mtiririko mzuri...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

REMEMBERING MEZ B: moja ya nyimbo zake bora; KAMA VIPI Feat Ray C & Noorah

Hii video ni moja ya nyimbo zake bora hayati Mez B R.I. P; KAMA VIPI Feat Ray C & Noorah

 

9 years ago

Global Publishers

Ray C, kama ni kweli unamuaibisha JK kwa makusudi

ray-c1 (1) Rehema Chalamila Ray C.

MIONGONI mwa wasanii ambao wanabeba nembo ya Muziki wa Kizazi Kipya upande wa wanawake, huwezi kuacha kulitaja kwa kujiamini kabisa jina la Rehema Chalamila, ambaye mashabiki wanamtambua zaidi kama Ray C.

Alifanya kazi kubwa, siyo tu kuonesha kuwa wanawake wanaweza, bali pia kuthibitisha kiasi kikubwa cha ubora wake katika tungo, uimbaji na zaidi, uwezo wa kutumia mwili wake kuvutia mashabiki kwa kuonesha manjonjo jukwaani.

Jambo hili lilisababisha kupata wafuasi...

 

10 years ago

Bongo5

Kilio cha Ray C chazusha mjadala kama kweli Methadone ni tiba inayomfaa!

Rehema Chalamila aka Ray C aliyesifika kwa sauti tamu ya kuimba na kiuno chake bila mfupa, bado anakabiliwa na vikwazo vingi katika vita yake ya kurejea kwenye hali yake ya kawaida baada ya kuwa mwathirika wa madawa ya kulevya. Kwa wengi ukiangalia na mahala alipokuwa amefika kabla ya kuanza kupewa tiba, Ray C alipata ‘second […]

 

11 years ago

GPL

MASOGANGE, WAKISEMA UNAJIUZA UTAKATAA?

Agnes Jerald 'Masogange'. AGNES Jerald, binti anayetumika sana kunengua na pozi katika video za nyimbo za wasanii mbalimbali wa muziki wa kizazi kipya, amejipatia umaarufu mkubwa sana baada ya kufanya kazi na mkali wa Morogoro, Belle 9 katika kibao chake cha Masogange. Limegeuka kuwa jina lake na mwenyewe analitumia kikamilifu katika harakati za kimjini. Lakini aligeuka kuwa kipusa zaidi baada ya kukamatwa katika Uwanja wa...

 

10 years ago

GPL

MAKOMANDOO WA NEPAL WAONYESHA NYUMBA YA MNYARWANDA WALIYOKUWA WAKILINDA UWANJA WA NDEGE DAR

Komandoo Sidhee Bahadurkatuwal (kulia) kutoka Nepal akionesha nyumba ya Mrwanda aliyokuwa akiilinda kupitia kampuni ya Ulinzi ya Advanced Security karibu na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, akiwa na makomandoo wenzake kutoka Nepal. Maofisa wa Uhamiaji wakimhoji mama wa…

 

10 years ago

Vijimambo

Utajua Marafiki wa kweli na Mburulazzz, Lulu Michael Ndio Rafiki wa Kweli

The King Of All Bongo Social Media Network, Le Mutuz ukipenda muite Mzee wa mabebezz amemshukuru mrembo na mwigizaji lulu kwa kuonyesha kumjali wakati wa matizao na kuwashukia baadhi ya marafiki zake ambao huwa wao pamoja nae wakati wa raha tu, ila wakataki washida wote hupoatea. Le mutuz alifunguka“Kwenye shida ndio utajua marafiki wa kweli na le super gademu mburulazzz ..nilipotangaza my House warming Party yanapiga simu kila dakika kuomba mualiko lakini nimesema Mama yangu anaumwa hamna...

 

10 years ago

Mwananchi

Unaposoma unaweza kutambua taarifa anazoandika mtunzi zilizo kweli na zisizo kweli?

Katika makala yangu yaliyochapishwa gazetini tarehe Julai 6, iliyokuwa na kichwa : “Fahamu namna ya kuboresha uwezo wako wa kusoma,” nilieleza kuwa sharti moja la kusoma vizuri ni kuwa na uwezo wa kusoma huku ukitathmini ukweli wa habari unayosoma. Kuna wasomaji kadhaa wameniomba nieleze jinsi mtu anavyoweza kutathmini anachokisoma.

 

10 years ago

Bongo Movies

Ray Feki Awatapeli Watu Facebook, Ray Waukweli Atoa Angalizo!

“Wadau na wasanii wote mnaotaka kuigiza msidanganyike na account hii ya Facebook SIYO YANGU NI FAKE.

Maana napata tabu sana Ofisini kwangu watu wanakuja kudai Hela wakisema kuwa Eti Mimi nimetangaza usahili kupitia kwenye account hiyo hapo juu fake Kuwa nahitaji wasanii ni uongo mtupu mnaibiwa pesa zenu na namba anayotumia kuwaibia Watu Hela ni hiii hapa 0779 946440.

Msidanganywe ni matapeli hao Mimi Sijatangaza Chochote kwenye Facebook. Im done hope That You Have All understood...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani