Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kafulila adai Serikali inataka kumuua

Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila amesema endapo itatokea kwa namna yoyote akafa, mhusika mkuu wa kifo chake itakuwa “Serikali ya CCM” na ameagiza kuwa kamwe wasifike kwenye msiba wake wala kutoa rambirambi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MLINZI AKANUSHA KUMUUA SLAA, ADAI ALILAZIMISHWA KUKIRI

Khalid Kangezi akitoa ufafanuzi mbele ya wanahabri (hawapo pichani). …Akiwa na mwanaye Adam Kangezi (kushoto).…

 

5 years ago

CCM Blog

MKE WA PILISI ANAYETUHUMIWA KUMUUA MMAREKANI MWEUSI ADAI TARAKA

  Kellie Chauvin, Mke wa Derek Chauvin Polisi ambaye anatuhumiwa kwa kumkanyaga shingoni Mmarekani mweusi George Floyd hadi kupelekea kifo chake, amedai talaka kwa Mumewe, kupitia kwa Wakili wake Kellie amewapa pole Ndugu wa Marehemu Floyd na kusema Mumewe amefanya ukatili.

 

11 years ago

GPL

DK.KIGWANGALA AUNGANA NA KAFULILA, ADAI KUNA WIZI MKUBWA UMEFANYIKA ESCROW

Makala: Elvan Stambuli
MBUNGE wa Nzega (CCM), Dk. Hamisi Kigwangala ambaye pia ni  Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ameungana na Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila kwa kudai kuwa ni kweli kuna wizi mkubwa umefanyika katika akaunti ya Escrow. Mbunge wa Nzega, Dkt. Hamis Kigwangala akiongea na wanahabari wa Global Publishers (hawapo pichani). Akizungumza na safu hii Dk.… ...

 

9 years ago

CHADEMA Blog

KAMA KWELI SERIKALI INATAKA KUTIBU MAJIPU IWEKE WAZI RIPOTI ZA MWAKYEMBE NA SITTA - MNYIKA

Mbunge wa Jimbo la Kibamba, John Mnyika, ameomba ripoti za kamati za uchunguzi zilizoundwa na mawaziri wa Wizara ya Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe na Samuel Sitta, kuhusu Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) ziwekwe hadharani.Amesema kuwekwa hadharani kwa ripoti hizo kutaondoa usiri na kusaidia kubaini ufisadi uliokithiri katika mamlaka hiyo ili hatua za kuwasimamisha vigogo wa TPA na wa Mamlaka

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mnyika, Kafulila waitoa jasho serikali

SIKU moja baada ya mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), David Kafulila kuwalipua mawaziri na vigogo wa Wizara ya Nishati na Madini kuhusika katika ufisadi wa sh. bilioni 200 za IPTL,...

 

11 years ago

Mwananchi

VITISHO: NCCR wataka Serikali imlinde Kafulila

>Chama cha NCCR-Mageuzi kimeitaka Serikali kumpa ulinzi wa kutosha mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila kutokana na vitisho anavyopata baada ya kusimama kidete bungeni akitaka suala la uchotaji fedha kwenye akaunti ya Escrow kutoka Benki Kuu (BoT) lichunguzwe.

 

10 years ago

BBCSwahili

Rwasa alaumu serikali kwa kutaka kumuua mkewe

Kiongozi wa upinzani Agathon Rwasa amezilaumu idara za usalama nchini humo kwa kuhusika na jaribio la kutaka kumuuwa mkewe.

 

10 years ago

Vijimambo

Mbunge adai watumishi wa serikali wanadhoofisha maendeleo

Mbunge wa Jimbo la Tanga Mjini, Omari Nundu Mbunge wa Jimbo la Tanga Mjini, Omari Nundu, amesema watumishi wa serikali wanachangia kurudisha maendeleo ya wananchi nyuma.

Alisema halmashauri zimeshindwa kutimiza ahadi ambazo serikali imezitoa kwa wananchi kutokana na watumishi kukosa uaminifu.

Nundu ambaye aliwahi kuwa Waziri wa Uchukuzi, aliyasema hayo jana katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Tangamano mjini hapa ikiwa ni sehemu ya ziara ya Katibu Mkuu wa Chama Cha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani