DK.KIGWANGALA AUNGANA NA KAFULILA, ADAI KUNA WIZI MKUBWA UMEFANYIKA ESCROW

Makala: Elvan Stambuli MBUNGE wa Nzega (CCM), Dk. Hamisi Kigwangala ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ameungana na Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila kwa kudai kuwa ni kweli kuna wizi mkubwa umefanyika katika akaunti ya Escrow. Mbunge wa Nzega, Dkt. Hamis Kigwangala akiongea na wanahabari wa Global Publishers (hawapo pichani). Akizungumza na safu hii Dk.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi16 Jul
Kafulila adai Serikali inataka kumuua
11 years ago
Mwananchi06 Oct
Kafulila azidi kukomaa na Escrow
10 years ago
Mwananchi29 Apr
Escrow yampa tuzo Kafulila
10 years ago
Habarileo07 Feb
Kafulila akwama kufufua ya Escrow
MBUNGE wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi) ameshindwa kuwasilisha hoja binafsi, kuitaka Serikali iwasilishe bungeni ripoti ya Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (Takukuru), kuhusu uchunguzi wa tuhuma za rushwa katika sakata la iliyokuwa Akaunti ya Tegeta Escrow.
11 years ago
Mwananchi09 May
Kafulila awalipua mawaziri akaunti ya Escrow
10 years ago
Habarileo25 Nov
Escrow yazuia Kafulila kwenda fungate
SAKATA la wizi wa fedha katika akaunti ya Tegeta Escrow, limesababisha Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila kutokwenda fungate baada ya kufunga ndoa mwishoni mwa wiki.
10 years ago
TheCitizen07 Jun
Kafulila’s escrow battle in Parliament thwarted
10 years ago
Mwananchi14 Jun
JESCA : Mke wa Kafulila anayeiota Escrow