Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VITISHO: NCCR wataka Serikali imlinde Kafulila

>Chama cha NCCR-Mageuzi kimeitaka Serikali kumpa ulinzi wa kutosha mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila kutokana na vitisho anavyopata baada ya kusimama kidete bungeni akitaka suala la uchotaji fedha kwenye akaunti ya Escrow kutoka Benki Kuu (BoT) lichunguzwe.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

TheCitizen

NCCR's Kafulila to take results to court

The outgoing Kigoma South Member of Parliament on the opposition NCCR-Mageuzi ticket, David Kafulila is set to go to court to challenge the results of the October elections which saw him losing the seat to the ruling party’s (CCM) candidate.

 

11 years ago

Habarileo

NCCR-Mageuzi yamkingia kifua Kafulila

David KafulilaKITENGO cha Vijana wa Chama cha NCCRMageuzi kimesema kinamuunga mkono mbunge wa Kigoma Kusini kupitia chama hicho, David Kafulila, kuhusu harakati za kutaka uchunguzi huru kuhusu suala la fedha za akaunti ya Escrow iliyokuwa Benki Kuu (BoT) inayoihusu kampuni ya IPTL.

 

10 years ago

Habarileo

Kafulila: Sina sababu ya kuhama NCCR-Mageuzi

Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kusini, David KafulilaMBUNGE wa Kigoma Kusini, David Kafulila, ambaye ni Katibu Mwenezi wa Chama cha NCCR-Mageuzi, amesema hana sababu yoyote ya kuhama chama chake na kujiunga na chama kipya cha siasa cha Alliance for Change and Transparency (ACT-Tanzania).

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kigoma wataka waunganishwe kesi ya Kafulila

WANANCHI wa Kigoma Kusini, wamesema wapo tayari kuunganishwa katika kesi ya mbunge wao, David Kafulila (NCCR-Mageuzi), wakidai kuwa sasa kiburi cha Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), inabidi kifike mwisho....

 

10 years ago

Mwananchi

NCCR-Mageuzi wataka Rugemalira, Tibaijuka, Chenge wafikishwe mahakamani

>Chama cha NCCR-Magezi kimesema, vigogo wote waliohusika kutoa na kupokea mgawo wa fedha kutoka akaunti ya Tegeta Escrow wafikishwe mahakamani akiwamo Mkurugenzi wa VIP Engineering Ltd, James Rugemalira .

 

10 years ago

Michuzi

MHE.DAVID KAFULILA ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE TENA KATIKA JIMBO LA KIGOMA KASINI KUPITIA CHAMA CHA NCCR-MAGEUZI

 Mhe Kafulila akihutubia maelfu ya wakazi wa Nguruka mara baada ya kupokea fomu ya kugombea ubunge katika jimbo lake.aliyokabidhiwa na wazee wa jimbo hilo Mhe David Kafulila ikiingia katika viwanja vya shule ya msingi Nguruka kwaajili ya kuchukua fomu ya kugombea ubunge kwa awamu ya pili jimboni kwake.  Mhe Kafulila akiwaaga wananchi wa Nguruka baada ya kumaliza mkutano wake wa hadhara.Baadhi ya wananchi wa Nguruka waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Mhe.David Kafulila na kushuhudia...

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali: NCCR Mageuzi fuateni taratibu

>Siku moja baada ya Chama cha NCCR-Mageuzi kuitaka serikali kumpa ulinzi Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila kutokana na vitisho anavyopata baada ya kusimama  Bungeni na kutaka suala la upotevu wa fedha Escrow lichunguzwe, Serikali imesema ni lazima chama hicho kifuate taratibu zinazotakiwa ndipo waweze kupatiwa ulinzi wanaoutaka.

 

11 years ago

Mwananchi

Kafulila adai Serikali inataka kumuua

Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila amesema endapo itatokea kwa namna yoyote akafa, mhusika mkuu wa kifo chake itakuwa “Serikali ya CCM” na ameagiza kuwa kamwe wasifike kwenye msiba wake wala kutoa rambirambi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani