Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakulima wa miwa kupewa mashamba

Ofisi ya Rais kupitia Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (Mkurabita), imewataka wakulima wa miwa katika Wilaya za Kilosa na Kilombero kujitokeza katika zoezi la urasimishaji mashamba.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Kilimo sasa kujikita kwenye mashamba ya mpunga, miwa

Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika, Sophia KadumaWIZARA ya Kilimo, Chakula na Ushirika imetangaza maeneo ya kipaumbele katika utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa, miongoni mwake ikiwa ni kuendeleza mashamba makubwa ya kibiashara kwa mazao ya miwa na mpunga.

 

11 years ago

Mwananchi

Walima miwa kupewa hatimiliki

Wakulima wa miwa wa vijiji 10 vya Wilaya za Kilosa na Kilombero mkoani Morogoro, wameanza kupimiwa mashamba yao ili wapatiwe hatimilki za kimila.

 

9 years ago

Mwananchi

Kero za wakulima wa miwa Mikumi zatafutiwa dawa

Mbunge wa Mikumi, Joseph Haule maarufu kwa jina la ‘Profesa J’ amewaomba wakulima wa miwa wa bonde la Ruhembe kumpa wiki mbili za kujibu kero za Kiwanda cha Sukari Kilombero baada ya kukutana na viongozi wa kiwanda hicho na wa Serikali.

 

9 years ago

Mwananchi

Bodi: Miwa ya wakulima Kilombero ilikosa ubora

Bodi ya Sukari Tanzania imesema Kiwanda cha Sukari cha Kilombero cha mkoani Morogoro, kilitakaa kuchukua miwa kwa wakulima wanaokizunguka kutokana na kukosa ubora baada ya kukatwa na kuchomwa moto.

 

9 years ago

Michuzi

TAARIFA KUHUSU UTATUZI WA MGOGORO WA WAKULIMA WA MIWA KILOMBERO

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU UTATUZI WA MGOGORO WA WAKULIMA WA MIWA KILOMBERO Bodi ya Sukari Tanzania imefuatilia na kubaini chanzo cha malalamiko ya wakulima wa miwa wanaozunguka Kiwanda cha Sukari cha Kilombelo (ILOVO).  
Akizungumza katika taarifa yake, Mkurugenzi Mkuu Bodi ya Sukari Tanzania Bwana Henry Semwanza alisema kuwa, chanzo cha malalamiko yanatokana na kiwanda kuharibika bila kutarajia na kusimamisha uzalishaji kuanzia tarehe 14 hadi 18...

 

9 years ago

Michuzi

TAARIFA KUHUSU MADAI YA WAKULIMA WADOGO WA MIWA WA KILOMBERO KUKOSA SOKO

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika Bibi Sophia Kaduma ameiagiza Bodi ya Sukari Tanzania, kushughulikia mara moja madai ya wakulima wadogo wa  miwa (outgrowers) katika Kiwanda cha Sukari cha Kilombero kilichopo Mkoani Morogoro  yaliotokana na miwa yao kutonunuliwa na kiwanda. 
Katika agizo hilo, Katibu Mkuu Bibi Sophia Kaduma ameiagiza Bodi ya Sukari Tanzania kukuta  na Uongozi wa Kiwanda  cha Sukari cha Kilombero na  ule wa wakulima wadogo wa miwa  ili kupata ufumbuzi wa kudumu...

 

11 years ago

Mwananchi

Wakulima wa ufuta wapanua mashamba

Wakulima wa ufuta kwenye kata tano za Tarafa ya Mbugwe, wilayani Babati, mkoani Manyara, wanatarajia kunufaika na kilimo hicho msimu huu baada ya kulima na kupanda mbegu kwenye ekari 5,625 za mashamba yao.

 

5 years ago

Michuzi

WAHITIMU WA VYUO VYA KILIMO WATAKIWA KUANZISHA MASHAMBA YA MFANO,KUELIMISHA WAKULIMA





Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Omari Mgumba akikagua bidhaa za sola power kutoka  kampuni ya Poa Portable Power wakati wa kongamano la vijana lililofanyika Mkoani Arusha katika ukumbi wa Golden Rose hivi karibuni kushoto ni muoneshaji bwana Emanuel Godwin wa kampuni hiyo.Naibu Waziri Kilimo Mhe. Omari Mgumba akihutubia vijana wakulima wakati wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani